mchina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frank Wanjiru

    Mfanyakazi alieharibu mali za Bosi wake Mchina akamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Halidi Seleman Kalaghe (45), Mwendeshaji wa Mtambo wa Excavator kwa tuhuma za kuharibu mali za Kampuni ya ujenzi wa barabara baada ya kutofautiana na Mwajiri wake katika eneo la Mvumoni, Somangila, Kigamboni. Kwa mujibu wa taarifa...
  2. Frank Wanjiru

    Mtanzania aharibu mali za Bosi wake Mchina baada ya kutolipwa mshahara

    Mtanzania aliyekuwa akifanya kazi katika kampuni ya kichina nchini huko Kigamboni afanya uharibifu mkubwa wa mali za mchina mara baada ya kudhulumiwa pesa zake ambazo zilikuwa ni malipo ya kazi yake aliyoifanya kwa mchina huyo ambayo ni mishahara ya miezi mitatu na kila alipodai boss wake...
  3. Pdidy

    Waziri husika nakuomba kuchunguza makampuni ya China ya afya kutoa huduma bila wataalamu wenye sifa

    WAZIRI HUSIKA AOMBWA KUCHUNGUZA MAKAMPUNI YA AFYA YANAYODAIWA KUTOA HUDUMA BILA WATAALAMU WENYE SIFA Kwa heshima na taadhima, Mheshimiwa Waziri husika, naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi. Kwa sasa, kuna makampuni mengi ya afya yaliyojitokeza katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam...
  4. M

    David Kafulila: Kupitia PPPs tunajenga nchi ambayo kijana wa kitanzania mwenye ufanisi wa 40% aweze kushindana kwenye soko na Mchina mwenye 70%

    Akizungumza na vijana wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Mkurugenzi Mkuu wa PPPC, David Kafulila, alisema kuwa upande wa Serikali vijana ndiyo nguvu kuu ya kuleta mabadiliko na mageuzi yoyote ambayo taifa linayahitaji ili kusonga mbele. David Kafulila alisema kuwa ili kufanikisha hilo...
  5. min -me

    Hivi mnaamini haya magari ya kutembelea ya mchina yanayokuja Africa?

    Gari ya nifa , ya mchina haina mda( jokes).😆😆😆 ila kwa voice within me Pascal Mayalla naiona kama ni nzuri kwa muonekano ila haina ubora 🤔 Wachina kwa kuzalisha vitu kwa ajili ya Afrika ,vyenye ubora unaotakiwa sina imani nao kabisa. Kama hizi basi ndio bure kabisa, kila siku zinawaka...
  6. X

    Kariakoo inatufundisha somo moja: Bila Mchina bidhaa nyingi za kisasa zingekuwa za wachache

    Ukitaka kujua mchango wa China kwenye maisha ya Mtanzania wa kawaida, usianzie Beijing, anzia Kariakoo Leo mtu mwenye budget ya kawaida anaweza kuingia dukani na kutoka na bidhaa ambayo miaka kadhaa iliyopita angeiona kama luxury 1. FRIDGE Samsung/LG zikiwa na features za kisasa zinaweza...
  7. Nafaka

    Dunia inapaswa kumuelewa Mchina anapokuwa anapambana na Marekani na hata kumuunga mkono

    Kama kuna jambo ambalo dunia inapaswa kujifunza ni kutoka kwenye utawala wa Trump. Jamaa anaanzisha timbwili kila kona. Nataka nigusie timbwili lake na Canada. Jamaa ana mapendekezo ya mikataba kwa Canada ambayo serikali yoyote yenye kujielewa haiwezii kuyakubali. Yani ni sawa ukaue uchumi na...
  8. Natty Bongoman

    Watu weuzi tumewazaa wanadunia... changia wazawa wengineo, naanza na mchina

    https://www.youtube.com/shorts/O-YCqLell7w?feature=share Afu angalia wachina wa kale...
  9. Roving Journalist

    Naibu Waziri akifungia kiwanda cha nondo ambacho amekuta kikiwa na risasi na kubaini ukiukwaji wa sheria za mazingira

    Kiwanda cha kuzalisha nondo cha Hanging Steel Factory Tanzania Limited kilichopo Kisenvule, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, kimefungwa kwa muda baada ya Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Reuben Kwagilwa, kubaini ukiukwaji wa sheria za mazingira pamoja na kukutwa...
  10. Sifi Leo

    Alipouawa Mchina, wauaji walikamatwa haraka sana, wapopigwa WATANZANIA na Wachina, je kuna Mchina amekamatwa?

    Waliopigwa na Mchina, wamelazwa hosptalini, ili aliyewazuru akamatwe, imewabidi majeruhi kujirekodi huku wakiwa wanalia ndo mpigaji wa kichina alipokamatwa na polisi Hii imekaaje? Mbona yule mchina ALIYEUaWA, tuliwakamata wale Masai feki haraka?
  11. MakinikiA

    Mchina ni habari Ingine acha waendelee kura nyoka

  12. Fbn

    Hivi mchina ambaye ni mkongwe au HR wake anaweza kusema hawa ni wamasai wa ulinzi

    Tafakarini wenyewe kwa umakini na usije shangaa wachina wa marehemu waka wakataa kuwa sio hawa
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Kesi ya Mmasai anayeshutumiwa kumuua Mchina inavutia kimedani. Nipo interested nayo kuona kile jeshi letu litafanikiwa na kwa muda gani

    Habari za jumapili! 1. Wiki kadhaa zilizoisha taarifa za kuuawa mchina zilizagaa mitandaoni. 2. Mshukiwa wa mauaji hayo akiwa ni mtu mmoja ambaye jina lake halikutajwa isipokuwa kabila lake la maasai. Hii ni kusema taarifa inaripotiwa mchina auawa na mmasai. 3. Wamasai ni moja ya Makabila...
  14. Mchochezi

    Mchina kaleta pikipiki Sinoray cc 200 (umeme), vijana wa Arusha wanazitumia kusafirishia mirungi na bangi

    Hizi Sinoray mpya umeme ni mwisho wa matatizo. Zina speed kubwa sana kiasi cha kufanya sio rahisi kushikwa. Vijana wa kirangi na chuga wanazitumia kama fursa ya kusafirishia mirungi na bangi kutoka border za Kenya kuleta Tanzania. Ukikutana nao hiyo convoy kaa chonjo maana wanakuwa na mapanga...
  15. M

    Kuna ukweli biashara ya kubeba mizigo kwa kirikuu imeyumbishwa na maguta ya Kichina

    Hapo zamani biashara hasa za hardware walikuwa wanatumia sana kirikuu kubeba cement, mabati, nono, n.k. lakini sikuhizi tunazidi kuona kasi ya maguta yakichukua nafasi hii wafanyabiashara wanaoenda kununua vitu kama maduka makubwa nao hawachezi mbali wameanza kuyaelewa maguta Pia kirikuu...
  16. Pascal Mayalla

    Viwanda vya bidhaa ya Twyford Tanzania vyafanya makubwa ndani na nje ya Tanzania

    Wanabodi, Viwanda vya bidhaa ya Twyford Tanzania vyafanya makubwa ndani na nje ya Tanzania Viwanda vitatu vya bidhaa za Twyford vinavyofanya kazi chini ya KEDA (T) Ceramics Co. Ltd, vinavyojumuisha uzalishaji wa vigae na kioo, vinaendelea kutoa mchango mkubwa katika maendeleo ya viwanda nchini...
  17. R

    Video: Lugha gongana ya mchina

    Hivi inakuaje hawa wachina wanakuja huku kwetu huku hawajui hata lugha ya kiingereza wala kiswahili ambazo zinakutanisha watu wengi?
  18. Manyanza

    Mchina akamatwa uwanja wa ndege wa Kenyatta akisafirisha Siafu 2000 kwa njia ya magendo

    Raia mmoja wa China amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya na kufikishwa Mahakamani akituhumiwa kujaribu kuwasafirisha nje ya nchi kwa njia ya magendo zaidi ya Siafu 2,000. Raia huyo aliyejulikana kwa jina la Zhang Kequn alikamatwa wakati wa ukaguzi wa...
  19. Waufukweni

    Mchina akamatwa JKIA akijaribu kusafirisha zaidi ya siafu 2,000 kwa njia ya magendo

    Raia mmoja wa China amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya na kufikishwa Mahakamani akituhumiwa kujaribu kuwasafirisha nje ya nchi kwa njia ya magendo zaidi ya Siafu 2,000. Raia huyo aliyejulikana kwa jina la Zhang Kequn alikamatwa wakati wa ukaguzi wa...
  20. W

    Mchina amshtaki DPP kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82

    Raia wa China, Xiuzhu Yan amewasilisha maombi kortini (Habeas Corpus) dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82 tangu Novemba 2025. Katika maombi hayo namba 000002421 ya 2026, Yan anayewakilishwa na wakili...
Back
Top Bottom