mchepuko wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mke wangu amegundua meseji za mchepuko wangu, nifanyeje?

    Nimeingia kwenye wakati mgumu sana nyumbani na sijui nianzie wapi. Jana nilikuwa nyumbani, nikaacha simu yangu kwenye meza nikaenda kuoga. Mke wangu, kama ilivyo kawaida yake, akachukua simu na kuanza kukagua. Bahati mbaya akakuta namba fulani ambayo nilikuwa nimechati nayo tukipeana miadi —...
  2. kyagata

    Mchepuko wangu umemkomoa wife,nimefurahi sana

    Wife huwa ana kawaida ya kunivizia nimelala anachokonoa simu yangu. Sasa jana kakutana na malaya wangu flani wa bar ana majibu mabovu sio poa,kampigia kumuonya eti aachane na mimi,mchepuko kamjibu kuwa mwanaume wa peke yako yuko kaburini tu,hawa wengine wanaopumua tutashare mpaka mwisho wa...
  3. Equation x

    Nimefurahi sana mchepuko wangu kunijulisha ana ujauzito wangu.

    Huyu mdada nilikuwa namtamani sana miaka 2 iliyopita nyuma, lakini hakunipa nafasi. Na kilichofanya ni mtamani, ni uzuri alionao, shepu, rangi, usafi na kupelekea watu wengi kutamani kuwa naye. Nilimwekea mazingira ya kila namna ya kumuhitaji, na nilishamtakia nataka uwe wangu nioteshe...
  4. K

    Mchepuko wangu kajifungua, hana uhakika kama mtoto ni wangu au wa mumewe

    Wakuu Mimi na mchepuko wangu tuko dilemma. Kajifungua mtoto,ila hana uhakika ni wangu au wa mumewe as mtoto anafanana na yeye. Tunasolve vipi hii case wataalamu?
  5. fimboyaukwaju

    Siku nilivyoagana na mchepuko wangu

    Ni miaka 5 iliyopita jijini dar,nilikuwa na mchepuko wangu ambae tuliishi kwenye mapenzi miaka 4.Nikaenda kumtembelea alinipokea vizuri sana na nilikaa kwake hapo mwezi mzima.Na tulijadiliana mambo mengi na tuliishi kwa raha sana na tulikuwa tunanyanduana sana sana kiasi ambacho shuka zilikuwa...
  6. Sheffer95

    Mchepuko wangu aliyeolewa kanipigia simu

    Kwanza ngoja kwanza nicheke, Ujue haijapita hata wiki maana kaolewa jmosi iliyo pita Mambo ni hivi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
  7. Sheffer95

    Mchepuko wangu kaolewa, haya maumivu sijui nifanye nini

    Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka. Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa. Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha watatu ya "kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa wewe unakonda". Wife...
  8. KUKULU- KAKALA

    Najutia kuoa kwa kukurupuka na kutumia hisia sehemu ya kutumia akili

    Wakuu habari! Poleni na majukumu na hongereni pia.... Nimepewa ruhusa na mhusika wa tukio hili niweze kushare humu ndani kisa kilichomtokea kutoka Kwa Binti aliyemuoa yapata miezi mitano Sasa. Nina Jamaa angu ni mwenyeji wa Mara Lakini kwasasa anaishi Mbeya na tunaishi Naye Kwenye apartment za...
  9. kwisha

    Naombeni ushauri ili nitoke kwenye kurizika na mpenzi mmoja

    Katika maisha yangu sijui kama nimeumbwa na moyo ambao uko tofauti na wanaume wenzangu Moyo wangu umeumbwa na asili ya kurizika Kwasababu hiyo basi mimi sinaga uwazo wa kupenda au kutamani mwanamke mwingine tofauti na yule niliyenaye na ikitokea nimependana na mwanamke mwingine lazima ni msahu...
  10. hp4510

    Swali kwa wanawake tu, ni kwanini mkiwa na mahusiano mengine nje/mchepuko, huwa mnawaongelea vibaya waume zenu?

    Kama kichwa cha habari kinavyosema Napenda tu kujua ni kwanini mkiwa na michepuko huwa mnawongelea vibaya Sana waume zenu ambao ukitoka Kwa mchepuko wako unarudi nyumbani kwake? Mnapata ujasiri gani au assurance gani kuongea mambo yooooote mabaya ya mume wako Kwa mchepuko wako Huwa hamuoni...
  11. Brojust

    Mchepuko wangu anahitaji ushauri kuhusu biashara ya mbao

    Jamani huyu ni mchepuko wangu wa muda mrefu sana. Sasa alinunua shamba la miti huko iringa miaka mingi nyuma, na this time ndio ile miti imeshakuwa kwenye stage ya kuvunwa. Sasa walikuja wachina wakataka kumpa M50 akachomoa. Ndio jana baada ya penzi letu zito akiwa amelala kifuani mwangu...
  12. G

    Nimeachwa na mchepuko wangu baada ya yeye kuwa maarufu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nilikuwa na mchepuko wangu huko Mneya. Mara nyingi nilipokuwa nikitoka Dar na kwenda Mbeya nilikuwa napunguza gundi pale kwake. Ni Binti mzuri, mdogo na Mrembo. Dogo ana sura ya Mjomba ila kafungisha balaa mtoto yule wa Kinyaki. Hapo katikati...
  13. Mr Dudumizi

    Mwenzenu najuta kumtoa mam'dogo bikra. Nimeoa, ameolewa na baba yangu, lakini bado ananing'an'gania tu. Nifanyeje ili nimuepuke?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Kisa chenyewe kinaanzia mbali kidogo, hivyo naomba msomaji usome kwa kutulia ili kama una ushauri wowote wa maana, basi uendane similar na kile nilichoandika. Ok Soma sasa hapo chini.... Nikiwa nimeingia katika umri wa kubalehe (18 yrs old), nilijikuta naangukia...
  14. M

    Mke wangu kafumania SMS za mchepuko, anataka nimpe Tsh. Milioni 1 kumpoza machungu

    Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma SMS za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa. Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana...
  15. G

    Leo nimepewa ua jeusi 💝 💔 siku ya Valentine

    Dah, leo Mchepuko wangu Toto Moja la Mbeya Mwenye shepu ya haja japo Sura ni ya Mshua wake limenipa makavu na kunitukana kwenye siku ya Valentine. Huu ni mchepuko wangu sawa na Mama J mchepuko wa mdogo wangu @Deepond japo mi naishi Rungwe yeye anaishi Mbeya Mjini. Mara nyingi nikienda Mbeya...
  16. Wasomba

    Jinsi mchepuko wangu alivyotaka kuniambukiza gonjwa la UKIMWI

    Sehemu ya 1 Mimi ni mfanyakazi katika taasisi mojawapo iliyopo chini ya wizara ya elimu iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha (Tengeru). Makazi yangu yapo jijini Arusha. Muda mrefu nimekuwa kwenye mgogoro mkubwa wa ndoa na mke wangu jambo lililonipelekea kutafuta mchepuko wa kuupooza moyo...
  17. Teslarati

    Mchepuko wangu angekua na akili ningemfungulia hii biashara

    Habarini wanajamvi. Nimegundua kuna biashara moja akitokea mwanamke au hata mwanaume akaamua kuifanya itamlipa sana. Mimi niko bize siwezi anza kukimbizana nayo ndo maana nasema mchepuko wangu(sio mke wangu) angekua na akili nzr ningemfungulua hii biashara. Biashara yenyewe ni kusambaza...
  18. Mohammed wa 5

    Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

    Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu JF lakini kwa uchunguzi wangu mke bora hayupo JF, wanawake wengi wapo JF kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa. Embu niambie Kuna member gani waliwahi kukutana JF mpaka wakaoana, na kuwa na familia kabisa, mtakaonijibu mje na ushaidi...
  19. Kusini pride

    Mchepuko wangu wa Australia anataka niende kukutana nae inshort kumla mbususu

    Ama kweli huyu demu ananipenda sana sijui kwanini halafu ukistaajabu mimi sijawahi kumpa chochote kile zaidi ya kumla mbususu ttu yeye ni mzungu na hapa bongo alikuja kama internship katika taasisi moja ya kimataifa hapa bongo nilimla show mara kadhaa ila alioneka ameelewa shoo yangu Baada ya...
  20. DeepPond

    Kaniruhusu nikanunue kahaba aniridhishe. Nimenunua kweli, sasa analalamika

    Ukisikia mwezi wa shetani, Basi Ndo huu mwezi Machi na mwezi April. Yaan Hii miez Ni mwendo wa migogoro TU kila kukicha na Mchepuko wang mamaJ. Likibanduka hili linaibuka jingine. Kama mnavokumbuka kipind Cha nyuma nilishamuandaa kua akivunja Kikoba chake, kile Kias chochote atakachokua...
Back
Top Bottom