mchawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Forrest Gump

    Tangia nizaliwe sijawahi sikia mchawi kadondoka pembeni ya benki au wakala. Utawakutaga tu wameanguka pembeni ya jamaa wenye uchumi wa mandoo ndoo

    Tangia nizaliwe sijawahi sikia mchawi kadondoka pembeni ya benki au wakala. Utawakutaga tu wameanguka pembeni ya jamaa wenye uchumi wa mandoo ndoo Wajinga sana nyie washirikina.
  2. Dogoli kinyamkela

    Baada ya kugombana naye umeona uje uzurure huku ONLINE kama mchawi 😄 🤣 😂 😆 😄 Kunywa maji baridi

    Baada ya kugombana naye umeona uje uzurure huku ONLINE kama mchawi 😄 🤣 😂 😆 😄 Kunywa maji baridi
  3. livingroom_espionage

    Nasikia Vise mchawi ni Kili tu, akipiga tano tu. Tumswalie Mtume. Lakini mbona vijana wa GSM sio walevi sasa kuna shida gani wakuu ?

    Ndio Maana yule kijana wenu anaitwa NURUVUZI watu wamvutia kasi tu anavyofanya ngonjera zake. Wewe hujui hapa JF tunakaa na wandewa.. Nawasilisha
  4. Alexido jz instagram

    JAMAA ALIEIBAA SIMU DUKANI KWA SURARAIYA , ASHAIRUDISHA, HAKUA NA NAMNA, CCTV MCHAWI

    Mitandaoni huko, Kuna tukio lilisambaa likimionesha jamaa, akiingia kwenye duka la nguo na kubeba simu, hakukuwa na mtu wao wanavo dai walikua store. Ebhanaeee kama kawa CCTV camera ikamchora tu mwamba, akasepa walipo Rudi shop hawaoni simu, kupitia camera wakamuonea mdau ila hawamtambui...
  5. M

    Wajua mchawi anaweza kumuuwa mtu ampendaye huku analia kuliko ambao hawajui marehemu kafa na nini?

    Huu ni ukweli kabisa,kwanza siku zote kwenye chama cha kichawi hawatakagi kula nyama za mataira,yaani watu wenye matatizo ya akili,au mtu mwenye roho mbaya,wao humtaka mtu mwenye adabu heshima anayekubalika na jamii inayomzungu na mwenye uwezo wa kimaisha, Sasa pindi anapoambiwa mchawi amtoe...
  6. Ibilisi Mjalaana

    Angefanya babu yako kule mbozi au Namanyere angeambiwa mchawi

    Picha inajieleza Taikuni la kuwastua wanaotapeliwa kiimani hasa wakristo Kubwa la Maadui
  7. Sifi Leo

    Rais, kwa Nini unatufumba WATANZANIA? nani anataka kutugawa sisi? tusitafte mchawi ukweli upo wazi

    Adui mkubwa wa nchi yetu so mwingine ni Hawa; 1. Ukosefu WA ajira kwa vijana wetu. 2 UTAWALA usiofata Sheria za nchi hata kama katiba yetu ni mbovu lakini haifatwi( mfano kijana wa CCM kukemea maccm wenzake anakamatwa wanapiga mijeredi), NATAMBUA mh raia una MKONO mrefu utakuwa umeona clip ya...
  8. K

    Hotuba ya Rais Samia na Lawama za "Mkono wa Nje": Kwanini Mchawi wa Maendeleo Yetu Yupo Ndani ya Mifumo Yetu

    Utangulizi Katika ulingo wa siasa za kimataifa na diplomasia ya kiuchumi, maneno ya viongozi wakuu wa nchi hubeba uzito mkubwa sana. Hivi karibuni, kumeibuka mjadala mpana nchini unaochochewa na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika hotuba hiyo, Rais...
  9. W

    CCM ilishindwa kumtumia Humphrey Polepole Sasa inatafuta mchawi

    CCM inapaswa kuacha kutafuta visingizio kuhusu kuporomoka kwa mvuto wake kisiasa. Tatizo kubwa haliko kwa wapinzani, bali kwenye maamuzi ambayo chama chenyewe kimekuwa kikiyafanya. Baada ya kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, kulikuwa na kundi kubwa la wanachama na wafuasi waliotaka kuona...
  10. Mshana Jr

    Wivu ni darasa la mwisho kabla hujawa mchawi

    Wivu mbaya na chuki ya kupitiliza ni sumu kali ya kiroho inayomfanya mtu aanze kufikiria au kutenda mambo ya kishirikina na kijicho. Huu usemi usemao "Wivu ni darasa la mwisho kabla ya kufuzu kuwa mchawi" una ukweli mkubwa kiroho. Kimaandiko na kiimani, wivu si tu hisia mbaya ya kibinadamu...
  11. Etwege

    Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa

    Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!! 1. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili ambae ametumika kuitibu na kuikinga jamii dhidi ya mabalaa mbalimbali kwa maelfu ya miaka...
  12. M

    Mchawi wa kwanza wa matatizo ya gari lako ni wewe mwenyewe, ni kitu gani huwa unakitatua mwenyewe au kumpa fundi maelekezo asilete ujuaji

    Kwenye oili ya usukani huwa nipo strict sana kuiweka mwenyewe, na nikipeleka kwa fundi huwa nampa maelekezo asiweke oili ya gearbox kama walivyozoea. Air filter – hii huwa naibadilisha mwenyewe au nikiwa kwa fundi namsisitiza aweke original, si zile za bei rahisi zinazoziba haraka. Engine oil...
  13. Tundusami

    Hivi mchawi anaweza kukuroga kama hujalala?

    Wachawi wanawanga usiku. Sasa kaka wewe sio mtu wa kulala usiku tufanye kazini unaingia usiku au unakesha usiku kucha unaperuzi bila kulala au upo sehemu unakunywa pombe mchawi atakupata kweli?
  14. Pakome

    Kwa miaka mingi sana Walimwengu tulimweshimu sana Nicki Minaj lakini hatukujua kama ni mwehu, shutuma za kumwita Jay Z mchawi zitamgharimu

    Nicki Minaj anaonekana kama ana ajitambua lakini bado ana tatizo kubwa sana la kukosa akili Hivi majuzi amemuita Jay Z mchawi na hii ni kwasababu ya utajiri alio nao Jay Z Watu wasiokuwa na uelewa kila wanapowaona matajiri huwa wanawatupia kashafa chafu hakuna siku watawapongeza wala kuwasifia...
  15. Mudawote

    PostGE2025 Mimi siyo Mchawi ila Wafuatao inabidi wapotee kiushahidi MO29 kabla ya kesi ya ICC

    GTs, Mimi siyo mtabiri ila naona kabisa wafuatao (ongezea) inabidi wapotezwe na yule aliyewatuma wafanye mauaji MO29. Yaani iko hivi kesi ya ICC ili iwe na nguvu lazima pawe na watu watakao kiri kuwa walitumwa na aliyewatuma kuua. Ila kama hawapo kesi ya MO29 itakuwa haina nguvu. Hivyo...
  16. Kanali_

    Tumekubali kuishi na mchawi ndani?

    Hakuna aliye salama. Kama mzazi wako ni mchawi, usicheke sana unapoona anamaliza majirani. Watakapokwisha ataanza na wewe.
  17. Lycaon pictus

    Jinsi Wazaramo walivyokuwa wanatafuta mchawi iwapo ndugu yao amefariki, na jinsi walivyomuadhibu

    NDAGU, KITALA NA ADHABU YA MCHAWI NDAGU maana yake ni ‘ramli'. Kwa desturi, baada ya kuondoa matanga, ndugu waliofiwa huenda kwa mganga wa ramli ili awajulishe sababu ya kifo kilichotokea. Ziko namna nyingi za ndagu, kwa mfano, ndagu ya kifo, ndagu ya ugonjwa, yaani ramli ya kubashiri maradhi...
  18. Surya

    Siku nimefatwa na mchawi kisa nimebeba hawala yake

    Nilikua usukumani, nikiwa kama mganga wa Zahanati ya kijiji, Kulikua na msimbe mmoja ambae tulikua tunafanana makabila, kazi yake alikuwa akifanya kazi Grocery, muuza vinywaji. Siku nazungumza nae alikuja ofisini kwangu, akaniomba nimtolee Njiti. Basi bhana nilikua na upwiru mwingi kijiji...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Kwa mara ya kwanza Sayansi inaweza kumgundu mtu mchawi

    Wahini siti nitaeleza elimu ya ndani sana. Vitu nitakavyo gusia ni 1. Mambo ya kidini (Kikiristo). Nitaongelea Mwili, Nafsi na Roho 2. Artificial Intelligence (AI) Technology na Machine Learning 3. Brain Computer Interface Technology (BCI) 3.Teknolojia ya BCI ya Kusoma na Kutafsiri Mawazo...
  20. Waufukweni

    Polepole: Msitafute mchawi kokote (eti kuna mtu nyuma yangu). Nipo peke yangu!

Back
Top Bottom