Tarehe 30 Novemba taifa la China lilikumbwa na msiba mkubwa baada ya kumpoteza rais mstaafu wa China Jiang Zemin aliyefariki mjini Shanghai akiwa na umri wa miaka 96 kutokana na ugonjwa. Akiwa kiongozi mashuhuri wa awamu ya tatu ya China, Jiang aliiongoza China kupata maendeleo makubwa, na pia...
Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni Kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno.
Ureno inasonga mbele zaidi na inaonekana ni wazi bila hata Ronaldo timu inaweza kufanya vizuri tu,
Hi gentlemen!
Wakuu hivi mnalichukuliaje suala la kadi za michango ya sherehe kama hharusi na send-off?
Binafsi mtu anayenipa kadi ya mchango wa sherehe namwona kichwani hamnazo, amekosa akili kichwani.
Tubadilike, tuache kupenda mambo makuu, tufanye sherehe za kipato chetu.
Tusaidiane kwenye...
Habari 👋
Ikiwa ni siku ya wazee na siku muhimu ya kutambua mchango wao katika mataifa mbalimbali, ningependa kufahamu mchango wa wazee katika Taifa–Tanzania.
Maana ni rahisi kufahamu na kutambua mchango wa wazee kwa mataifa kama Malaysia, Indonesia, Qatar, Pakistan, India na mengineyo
Miaka...
Walengwa:
1. baba alietengana na mzazi mwenzake ila anaendelea kutuma pesa ya matumizi ya mtoto
2. Baba ambae anaishi nyumba moja na familia yake lakini anampa mke wake pesa ya chakula cha familia , mavazi, elimu, n.k bila watoto kujua.
aliotengana na ambao wanakuwa nje ya nyumba kikazi kwa...
Pili Mwinyi
China na Afrika zinaendelea kuwa na ushirikiano mkubwa kwenye sekta mbalimbali muhimu ikiwemo ya afya. Uwepo wa timu za madaktari wa China katika nchi za Afrika kwa sasa unaonekana ni jambo la kawaida na limeshazoeleka, ambapo madaktari hawa wanajitahidi kadiri wawezavyo kuokoa...
Uhai wa serikali yoyote unategemea mapato inayoyakusanya ili kuendesha mipango yake katika nchi. Na nguzo kuu ya mapato hayo huwa ni wananchi waliyoipatia dhamana serikali hiyo hasa kwa njia ya kodi. Lakini nakumbuka kanuni za ukusanyaji wa mapato kwa njia ya kodi zilizotolewa na mwanafalisafa...
MCHANGO WA UTALII KATIKA MAENDLEO YA TAIFA LETU. "TUUTHAMINI BASI"
Utalii una mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa letu la TANZANIA, hivyo basi ni jukumu letu sote kuuthamini utalii huu ili uendelee kuleta tija ndani ya nchi yetu na katika nyanja na idara mbalimbali, kama vile, miundo...
Wazalendo wote popote mlipo!nitumieni ujumbe huu kwa ndugu yetu Tundu lisu,Taifa lako linahitaji uchapakazi wako na taaluma YAKO ya sheria, sahau yote na urudi NYUMBANI ufanye kazi ya kulijenga Taifa lako Tanzania.
Team yenye Warioba ndani yake,Tundu Lisu,Mkandala na wadau wengine ni team nzuri...
Mchango wa Banda!
Na BabaDesi
Wazo nililipata wakati nikipopokea Kadi ya Saba kwa Mwezi huu ikinitaka kuchangia Sherehe za Harusi ya Binti mmojawapo wa ndugu zangu kadhaa nilio nao jijini. Ndugu ambao ajabu idadi yao inakuwa chax che...
Habari wakuu,
Naomba msaada wa kujua je, unaeza pata visit visa ya Canada then ukifika nchini humo ukapata kaz ukabidili kuwa work.
Naombeni mchango wenu kwenye hili ni muhimu sana.
1. Ukusanyaji wa tozo Tsh. bilioni 221 kwa mwaka 2021/2022 zilikwenda kusaidia kwenye mikopo ya elimu ya juu.
2. Kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati kama vile JNHPP na SGR kwa mara moja.
3. Kupitia tozo za miamala ya simu serikali imeweza kujenga vituo vya afya 234 kwa bilioni 117 na kila...
Katika mkutano wa 42 wa nchi za SADC unaoendelea huko DRC ambapo nchi mwenyeji DRC kupitia Rais wake Felix Tshesekedi amehutubia mkutano huo na bila kificho wala hiyana aliamua kutoa kongole zake za dhati kutoka kwenye mtima wa moyo wake kwa Tanzania kufuatia mchango wake mkubwa anaotoa katika...
Utangulizi:
Nchini Tanzania, Mtoto ni binadamu mwenye umri chini ya miaka 18, Ni tafsiri kutoka sheria ya watoto ya mwaka 2009, iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2019, sehemu ya pili, kifungu cha nne, kifungu kidogo cha kwanza
Rejea: TLS – Online Legal Aid Repository
Kila mzazi/mlezi huwa nania...
Nilileta uzi hapa wiki iliyopita Kuhusu Yanga kuchangisha mchango wa mganga kutoka visiwani.
https://www.jamiiforums.com/threads/yanga-wanachangisha-pesa-ya-mganga-kutoka-visiwani.2008077/
Tayari mchango umekamilika, na taratibu naambiwa hapa zimeshafanyika, Simba kesho kazi anayo
Binafsi...
Ndugu zanguni sote tunajuwa ya kuwa my Tulia no mbunge wa mbeya mjini, lakini katika Hali iliyowaacha Wana mbozi mdomo wazi Ni pale mh speaker alipokuja Jimbo la mbozi na wadau wake wa silent ocean na kuweza kusaidiaa mchango wa mabati karibu Mia mbili ili kuezeka vyumba vya madarasa katika...
Hakuna shaka ubovu wa vyombo vya usafiri una mchango mkubwa katika ajali zinazotokea nchini ikiwemo iliyochukua uhai wa watoto wa shule hapo majuzi.
Nashauri wizara husika ipeleke mswaada bungeni ili itungwe sheria ya ukaguzi wa magari , kama usivyoweza kuendesha gari bila bima , basi kuwe...
UTANGULIZI
Ufugaji Nyuki ni sanaa na ni sayansi pia inayohusisha ukusanyaji , usimamizi na uongezaji wa makundi ya Nyuki kwa lengo la kuzalisha mazao ya mbalimbali ya Nyuki kama vile Asali, nta , gundi ya nyuki , sumu ya nyuki , maziwa ya nyuki , watoto wa nyuki n.k , lakini pia kufanya ustawi...
Habari za wasaa wakuu.
Wakuu leo nilikuwa natafakari mwendo wa Uchumi wetu katika nyanja hizi mbili ila nikaona niwashirikishe wadau wa JF nione maoni yao .
Ila kwanza nianze na tafakari zangu binafsi kwa pande zote .
1.The Royal tour inamchango mkubwa kwasababu nchi yetu bado Uchumi wake uko...
Salaam Ndugu zangu,
Nimekuwa nafuatilia mienendo ya wanazuoni wetu wakiwemo walimu na maprofesa wa vyuo vikuu kadhaa nchini kwetu.
Nimegundua asilimia chache sana ndo inafanya kazi kwa ufasaha hasa linapokuja suala la mchango wao katika jamii kwa upande wa siasa.
Wengi wetu wametekwa na mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.