Moja ya vitu ambavyo hushangaza kwa sisi watu ambao tupo kwenye ulimwengu wa 3 ni namna tunavyofanya maamuzi.
Ukweli usiopingika ni kuwa tunahitaji wanasiasa watuongoze na ndio mfumo upo hivyo na wala sio jambo baya.
Siasa katika nchi zetu ni biashara kubwa pengine kuliko zilivyo biashara...