SERA YA KILIMO BORA CHA PARACHICHI MBUNGE RUHORO AIWASILISHA BUNGENI.
BUNGENI - DODOMA
11/06/2025.
Mhe. Ndaisaba G Ruhoro Mbunge wa Ngara ameiuliza Wizara ya kilimo kuhusu mkakati bora wa kukuza kilimo Cha zao la Parachichi Jimboni Ngara.
Mhe. David Silinde Naibu Waziri Wizara ya Kilimo...
"...Ligi yetu inaelekea mwisho lakini kumekuwa na mvutano wa hizi timu mbili na Viongozi wa TFF, ipi kauli ya Serikali...." Mbunge wa Makete - Festo Sanga.
Waandamanaji na vijana wenye hasira kali wamemfukuza kwenye mochwari mbunge wa Wanawake wa Kaunti ya Homa Bay, Joyce Atieno, anayejulikana kama 'Bensouda'.
Bensouda alikuwa ameendaa kutazama mwili wa mwalimu Albert Ojwang' aliyeuawa, na kabla hajaweza kuzungumza na waandishi wa habari, vijana...
Mbunge nchini Kenya aiba vifaa vya simu,venye thamani ya milioni 1.9 ya Kenya.akamatwa kwa kupitia CCTV camera.Mbunge huyo ni wa Kitui.Polisi wameweza kumjua,baada ya uchunguzi.
MBUNGE WANU AMEIR ATUNUKIWA TUZO MAALUM NA UWT WILAYA YA KATI, ZANZIBAR
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Unguja Kusini na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Mhe. Wanu Hafidh Ameir ametunukiwa Tuzo Maalum na viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)...
Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.
Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote...
Mbunge wa Jimbo la Ole, mkoa wa Kusini Pemba, Juma Omar amesema wanajeshi wastaafu wamekuwa wakipata pensheni chini ya kima cha chini, huku na yeye akiwa miongoni mwa wanaopokea kiasi hicho.
Amesema kwa mwezi amekuwa akipata laki moja na arobaini, huku wanajeshi wengine makanali waliopigana...
Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesema Serikali inatakiwa kuelekeza nguvu katika kudhibiti matumizi ya Dawa za P2 kwa maelezo kuwa zimekuwa na athari kubwa katika kizazi cha Wanaotumia ikiwemo kupata saratani ya uzazi, ujauzito kutoka, kutokwa na damu nyingi au kidogo.
Amesema hayo...
Baada ya Kanisa lake kupigwa pini ifuatacho kwa Askofu Josephate Gwajima ni kuvuliwa uanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) na kukosa sifa ya kuwa Mbunge
Lengo la CCM na Serikali yake yake ni mkunyoosha Gwagima ili akose fedha na kumnyong'onyesha kiuchumi awe anyone asiwasemee wananchi...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, amesema ana matumaini kuwa Bunge lijalo baada ya uchaguzi litakuwa chombo makini chenye hoja nzito, kitakachohoji mambo ya msingi kwa maslahi ya wananchi, badala ya kuwa jukwaa la lelemama.
Akihutubia wananchi wa Mwandu Itinje, Jimbo la Kisesa...
Nichukue nafasi hii kumtakia kheri na kumpongeza mbunge wangu wa Kawe Askofu Gwajima.
Ukweli misingi ya siasa zaleo Kwa nchi nyingi Afrika zinahitaji rohonyeusi, uongo,uchawa,mihemuko na kutizama upepo unapoelekea na wakati mwingine ulozi.
Natambua Askofu kujishirikisha na mambo hayo ni kazi...
Mbunge wetu kutoka Jimbo la Kyerwa, Innocent Bilakwate,amekuwa bungeni Kwa mihula miwili, Vipindi vyote hajawahi kuchangia hoja au mawazo yoyote bungeni,
Mbunge wetu hajawahi kutuliza swali la msingi wala la nyongeza bungeni,
Tukimuuliza vipi mbona bungeni hatukusikii na bunge liko live...
Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni.
Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi Wachaga wanapiga fimbo mikoa karibia yow Tanzania hii.
Ila kwa Wachaga huwezi sikia wachaga wanakaa...
Mwaka wa uchaguzi na mambo yanazidi kunoga sana. Hakika tutayaona mengi tu!
Mbunge kupitia jimbo la Kusini Unguja Ndugu Khamis Hamza Chilo akiwasaidia wananchi wake Kukuna nazi 🥥 na Kupeta Mchele.
Ulitutangazia kuwa serikali imetoa bilioni 15 kujenga kipande hicho cha barabara. Mchina/MKANDARASI alikuja siku mbili tu, akaweka mambo/vijiti pembeni kuainisha upana wa barabara na vifusi kama 50 akaondoka. Hajarudi tena
KULIKONI?
Naona sasa 2025 kila mtu wa ccm anaweza kuja na ukora wake.
Huyu mbunge erick shigongo kwanza nilianza kumuona muongo na vitabu vyake kama kile cha raisi anamtaka mke wake.
Sasa jimboni ana wadanganya kuwa greda lao limechukua miaka 4 kufika jimboni na lishafika kwa uchaguzi.
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.