Nimeona humu Kuna kundi linampondea Freeman Mbowe kutangaza nia ya kugombea urais mwaka huu 2020,
Kwa maono yangu naona yupo sawa siyo kwa maana ya katiba ya nchi au chama,kwa vile mtangaza nia mkuu anaye tegemewa kwa Sasa hayupo nchini na inawezekana muda ukafika na ikashindikana kuingia...