mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbona Dkt. Mwigulu haeleweki? Yaaani madeni ya sekta binafsi ni ya Serikali? Mmemuelewa Watanzania?

    Haeleki kabisa
  2. Wanaume na Wanawake mnishauri mi mwenzenu nakosea wapi? Nifanye nini? Mbona nakutana na mabalaa hivi?

    Hili swali najiuliza kila mara sielewi. Nikijitazama nipo fresh tu na wala huwa sipendelei show off au sijui nini. Nina bahati mbaya na mademu. Binafsi napenda mademu wenye hips na makalio. But napenda pia wawe na akili. Hapo ndo changamoto kubwa sana. Nlianza urafiki na binti mmoja jumatano...
  3. Tundu Lissu na Godbless Lema rudini nchini, mbona mnang'ang'ania kwa wazungu?

    Magufuli is no more. Rudini nchini. Mama ameshasema muwe na amani rudini mjenge nchi. Naona hamtaki ili mkae huko then mpate Uraia. Maana sasa sioni sababu ya kutorudi nchini ni nini ikiwa Mlieykuwa mnamuogopa hayupo. Rudini nchini Tanzania. Acheni uchawa huko Ulaya.
  4. Watanzania huu ndio wakati wa kuchuja ngano na Magugu. Wanaoliibia taifa letu wanatamba hadharani. Mbona huu ndio wakati wa kuwakataa

    Tozo za kila namna. Mbona huko nyuma hakukuwa na tozo. Mgao wa umeme. Mbona huko nyuma hakukuwa na mgao wa umeme? Mbona hatuoni miradi mikakakati kama huko nyuma? Huu ndio wasaa wa kuchambua magugu na ngano na kufanya maamuzi.
  5. Zanzibar samaki zenu huwa mnauzia wapi? Mbona adimu sana

    Nipo hapa kwenye kisiwa cha marashi ya karafuu jioni nikaenada zangu barabarani kuzurura nikakutana na wauza samaki wa kukaanga sikuuliza bei maana huku bongo huwa tunawanunua kwa buku ikizidi sana buku jero, nikawagonga samaki watatu palepale nikamaliza natoa elfu tano ili nirudishiwe chenji...
  6. Wanaomuelewa Young Killer anaimba nini siku hizi, mbona kama simuelewi? Ameshindwa kuisoma gemu na kunyumbulika nayo

    Back in 2013 namkumbuka sana huyu dogo cheche zake kuanzia Dear Gamble, Mrs Superstar n.k, nilikuwa fan wake mkubwa, ukichanganya kule kuchana kwake kuchanganya swaggs kama young daddy. Nimemiss zile flavour real kutoka kwa huyu dogo, nashindwa kuelewa tatizo liko wapi? Ameshindwa kabisa...
  7. Farhan Kihamu Mchambuzi wa Sports Extra Clouds FM leo mbona Unachambua kwa Hasira baada ya Yanga Kufungwa na Ihefu?

    Watu wengi tunaokusikiliza ukiwa Hewani tulikuwa tunataka tu Kujua Wewe ni Shabiki wa Timu ipi za Kariakoo na hatimaye leo tumekujua kuwa kumbe Wewe ni Yanga SC. Mnafiki mkubwa Wewe muda wote Unaongea na Kuchambua kwa Hasira huku ukiitetea Yanga SC kwa kusema Kufungwa Kwao siyo Story. Sasa...
  8. Wanawake wa kizazi hiki mbona hawana hofu ya Mungu jamani?

    Nisikuchoshe ndugu yangu, ngoja nizame mazima kwenye mada kuna mwananmke nilikua nampenda sana (ndiyo kabla ya jana alikuwa kila kitu kwangu) anaitwa G, tulikuwa kwenye mahusiano mazito tangu 2019 mpaka jana tulipoweka nukta. Kilichonichosha mpaka nikaandika uzi huu ni kuwa, jana aliniomba...
  9. Hivi mbona Qatar hawajaja na sare zipasao wanaume ili kukidhi sheria za waislamu kwenye mpira wa kombe la dunia

    Nimesoma sehemu kwamba ni kosa kwa mwanaume kuonekana magoti kwa mujibu wa sheria za waislamu, sasa Qatar ambao ndio wenyeji wa michuano ya kombe la dunia wametoa miongozo kwa kuzingatia dini hiyo, mbona wameacha wanaume wanacheza mpira huku wakivaa sare zinazoonyesha mapaja nje nje, au ndio...
  10. Wakatoliki wenye Watoto wanaopokea Komunio ya Kwanza leo mbona hatualikani Kula Pilau?

    Nichukue nafasi hii Kuwapongeza Watoto Wote wa Kikatoliki ambao leo wanapata Komunio yao ya Kwanza. Tafadhali Wazazi wa hawa Watoto GENTAMYCINE nawaomba hebu nipeni basi Code ili nije Kula nanyi hiyo Mipalau yenu mlioipika ili niokoe Bajeti yangu ya Chakula kwa leo Jumapili. Nijibuni upesi kwa...
  11. Wapi vishikwambi? Mbona mpaka Leo wahusika hawajapewa?

    Tar 4 nov 2022 waziri mkuu alizindua zoezi la ugawaji vishikwambi Kwa walimu na wadau wengine wa Elimu huko Dodoma, Kwa hotuba ile na maelekezo Yale nilitegemea ndani ya wiki tu Vishikwambi vifikishwe sehemu husika! Lakini mpaka Leo Kimya vipi kunani? Ni siasa tu au wanasubiri uchaguzi ukaribie? Loh
  12. Video: Hadi huruma, hivi Urusi mbona anatesa hawa vijana wake

    Hivi vita kuna wakati najikuta nahurumia Warusi badala ya kuwaombea kichapo, dogo mwanajeshi amelala zake mtaroni anapigwa bomu na drone, sema kaliondosha fasta, haya mateso ya nini kwa kweli....
  13. Miti inakua kutoka wapi? Mbona hatuoni shimo pale ulipotoka?

    Habari wakuu sana. Eti wakuu. Miti inakua kutoka wapi? Mbona unakuta mti mkubwa sana. Una kilo hata milioni moja(ukiwa mkavu), lakini pale ulipotoka hatuoni kama kuna kilo milioni moja zimetoka. Mti unatoka wapi?
  14. Waathirika wa ajali ya Precision Air kulipwa Tsh. Bilioni 396

    Kamishna wa Bima Tanzania, Dkt. Baghayo Saqware amesema ndege ya Precision Air iliyopata ajali ilikuwa na bima na kwamba fidia kwa shirika ni zaidi ya Dola Milioni 50 (Tsh. Bilioni 116) Amesema bima ya ndege hiyo ni halali na ilikatwa kutoka kwa wakala wa ndani nan je ya Nchi ambapo waathirika...
  15. M

    Kashfa ya Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere mbona Zitto Kabwe uko kimya kulikoni?

    BUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito kabwe ungetoa tamko juu ya suala hilo. Ukimya wa Zitto Kabwe kwenye mambo mazito kama haya...
  16. Unbeaten! Simba alikuwa unbeaten miaka mitano, mbona haizungumzwi?

    Jamani, Simba haikufungwa na timu yoyote Tanzania kwenye mechi za mashindano ikiwemo Ubingwa wa Tanzania tokea mwaka 1976 hadi 1980. Na Yanga hakupata hata sare miaka hiyo, hata katika mechi za kirafiki hakupata hata sare, na 1977 aliambulia kipigo cha 6 bila katika kugombea ubingwa wa nchi.
  17. S

    Jangwani hakuna miti ya maana wala misitu lakini mbona mvua zinanyesha?

    Najiuliza hili jambo mara nyingi kwani kuna wakati nilikuwa kule Sharjah,moja katika falme za kiarabu (IMARATI). Siku moja ikanyesha mvua kubwa tena ya kutisha na kwa muda mrefu. Nikajiuliza kule hakuna misitu kama huku kwetu tunayoitegemea kwa mvua,inakuwaje wapte mvua ?
  18. T

    Oppah Clement angekuwa anatokea Africa ya Magharibi sasa hivi angekuwa anachezea Real Madrid W/Barcelona W au Bayern Munich W, Mawakala mbona mmelala?

    Igweeee igweeee!! Nimekaa nikitafakari jinsi gani tunakosa mawakala wa kuwavusha wachezaji wetu kwenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya na Marekani. Nchi yetu imebarikiwa kuwa na mchezaji mahiri sana katika soka la wanawake naye si mwingine bali ni muwindaji wa magoli, Oppah Clement. Huyu...
  19. Ule uhamasishaji wa Nguvu na Kauli Mbiu tulipocheza na Al Hilal mbona siuoni tukicheza na Club Africaine leo?

    Kulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club Africaine ya nchini Tunisia? Vipi tumeshachungulia kwa Babu au?
  20. Hata kama kazi inaendelea. Mbona hatuoni miradi mkakati mipya zaidi ya kujikongoja kumalizia miradi aliyoasisi Hayati Magufuli?

    Mnakomaa kumalizia Sgr, daraja la Wami, daraja la Busisi na miradi kibao aliyoiasisi hayati JPM. Kwanini rais wa sasa asilete miradi mingine ya kuweza kisisimua uchumi? Ina maana hii miradi aliyoianzisha hayati JPM ikiisha ndio basi tena?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…