mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fahamu Mbinu za Kupenya ktk Soko lenye Ushindani

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na shughuli za ujenzi wa Taifa. Kwanza kabisa nianza kwa kuanza kuwapongeza wote ambao mnapambania Biasha zenu.Mungu awasimamie na kuwapa Ushindi. Leo naleta mjadala unahusu eneo nyeti sana katika biashara.Eneo hili linahusu...
  2. Mbinu za kupata Mishangazi ya JF

    Hizi mbinu ninazo wapa haimaanishi kwamba mimi binafsi nimezitumia au nilishawahi kuzitumia ila hii inatokana na uzoefu wangu mdogo humu jamvini Kwakuwa wanawake wanapenda mambo mazuri basi hupenda kuwa na wanaume ambao walau wako njema hata kama hawana pesa mingi kivile ili mradi wapate...
  3. Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

    Wakuu, unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana, halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya. Hapa mi namaanisha mishangazi ya kuanzia miaka 45 na kuendelea.
  4. J

    Serikali yatoa Tsh. Bilioni 66 Kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua

    Serikali ya Tanzania imetoa Jumla ya shilling billion 66 Ili kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua Fedha hizo zimegawanywa Kwenye mikoa Yote iliyoathirika --- Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa Bilioni 66 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara...
  5. India yafanikisha Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Umoja wa Mataifa juu ya Miundo mbinu ya Umma ya Kidijitali

    Mkutano wa Kimataifa wa Kwanza wa Umoja wa Mataifa kuhusu Miundombinu ya Umma ya Kidijitali ulifanyika chini ya uongozi wa India wa kutumia teknolojia kukuza Malengo Endelevu ya Maendeleo (SDGs) na kukuza ushirikishwaji, amesema Ruchira Kamboj, Mwakilishi wa Kudumu wa India kwa Umoja wa Mataifa...
  6. R

    Unatarajia wanasiasa watakuja na mbinu gani kuwalaghai watumishi Mei Mosi,2024?

    Tumekaribia siku ya wafanyakazi Duniani. Kitaifa siku hii kwa Tanzania na nchi baadhi za Afrika utumika kuwalaghai watumishi wa umma kwa kuwapa Maneno matamu na ya faraja Tupo kwenye tatizo lililoanzishwa na CCM kupitia bunge linaloitwa kikoakotoo...naamini hapa patakuwa na siasa siku ya mei...
  7. G

    Kama umeweza kupunguza stress zako bila kilevi tusaidie mbinu uliyoitumia

    Umeshindwa kulipa deni, benki wanakuja kuchukua nyumba Magonjwa yasiyo na tiba unasubiri kifo Kufilisika na huna ujuzi wala mtaji Kugundua watoto sio wako kuingia 18 za vyombo vya dola, N.k. Wengi kimbilio la kupunguza stress huwa ni pombe, ngono, bangi, madawa, n.k. na mwishowe huwa waraibu...
  8. G

    Teknolojia inaonyesha wazi hakuna offside, Tukubali yaishe Yanga wamepata ushindi kihalali

    Ni goli la wazi kabisa hakuna offside
  9. Mbinu gani ya kudai pesa bila kuonekana msumbufu kwa boss?

    Kama mda inavyojieleza rafiki yangu anauliza njia nzuri ya kudai haki yake anauhitaji ila boss wake hajamlipa pesa week ya 3 leo toka mwezi umekishwa tunaombeni ushauri
  10. R

    Kuna wakwepa kodi wamebuni mbinu ya kubandika picha ya Rais kwenye biashara na mali zao

    Hii imeshindikana, mfumo wa maisha umewafanya watu watamani kuwa matajiri asubuhi bila kuvuja jasho. Kuna mbinu zinatumika zinaumiza uchumi, lakini pia zinachafua taswira ya ofisi ya mkuu wa nchi. Wafanyabishara wa Magari hasa DSM wana magari mengi sana ya transit au yaliyoingizwa nchini kama...
  11. Wadau mnatumia mbinu gani kupambana na matangazo kwenye Android Phones?

    Habari wadau, Matangazo kwangu mimi yamekuwa kero kubwa sana. Yaani huwezi fanya jambo bila kukutana na adds, apps ambazo haina adds ni Whatsapp, Insta na X. Zingine kufungua kabla hujafanya lolote lazima ukutane na tangazo kama siyo video basi pop ups. Video zingine zinaenda Hadi dakika...
  12. Mbinu za upimaji maji aridhini

    Wazee habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kwa wale waliokwisha kuchimba visima vya maji na wale wenye ujuzi wa kutafuta maji yalipo. Je, njia hii inauhakika au ndo nijiandae kulia 😃
  13. Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

    Mkurugenzi mtendaji wa hospitali kuu ya taifa ya Muhimbili, Profesa Janabi ameelezea mbinu za kuepuka kuzeeka mapema ambapo ameelezea kama ifuatavyo; 1. Tembea hatua 10,000 kwa siku 2. Kula kwa wastani 3. Punguza wanga 4. Epuka vitu vyenye sukari 5. Epuka sigara, pombe 7. Pata muda kidogo wa...
  14. Yanga walitakiwa kutumia mbinu aliyotumia Hayati Magufuli kwenye Makinikia

    Kuna uhusiano mkubwa kati ya dhuruma na upole wa kimasikini. Masikini mtata huwa anapunguza uwezekano wa kuonewa na Matajiri. I Yanga kama hayati Magufuli ilitakiwa walete taharuki. Wagomee match wazue balaa ambalo litaleta attention ya FIFA na dunia nzima. Wamefanya kosa baya sana kukubali...
  15. C

    Elimu juu ya ku assemble gari kama madau alivyoeleza hapo chini, nahitaji kwa ufafanuzi zaidi kwa anayejua hiyo mbinu👇

    Naomba msaada wa elimu kwa anae jua hii mbinu anipe ufafanuzi zaidi kama alivyoeza hapo chini mdau.👇
  16. Ujuzi na mbinu miaka ya nyuma kukwepa polisi

    Miaka ya (1920-1933) huko nchini marekani wauzaji na wasambazaji wa pombe haramu waligundua njia za kuwa kwepa polisi kila wanapoelekea kusambaza pombe. Njia hiyo walitumia kuweka nyao za ng'ombe kwenye viatu ili kuwapoteza polisi kujua sehemu inapotokea pombe na kuelekea. UJUZI.
  17. Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

    Hello hello.. I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi) Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe:D") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati...
  18. Wanaume tunaokwenda kujitambulisha ukweni hivi karibuni njooni tupeane mbinu za kurahisisha jambo

    Binafsi mwezi ujao naelekea Tanga maeneo ya Muheza kujitambulisha. Nimejipanga kwa haya yafuatayo. 1. Sitolala ukweni. 2. Ikitokea kula ukweni ntakula mlo mmoja tu. 3. Ntavaa simple sana( shati yangu ya mikono mirefu, suruali na balaghashehe kichwani) na kiatu changu cheusi 4. Nitaongea kwa...
  19. G

    Kipindi mke/ girlfriend yupo siku zake unatumia mbinu gani kupunguza uchu?

    Kun mud Upwiru huwa unabana ila mwanamke ulienae kaumbwa kuwa kwenye siku zake 3 hadi wiki, huo moto unauzimaje? umetoka safarin umerud mke yuko sikuzake afu ndo siku ya kwanza kabisa kaanza na anaenda siku 5 afu kumbuka wiki nzima hamjaonana na mda wa kukaa naye ni siku tatu unarud job...
  20. Maoni: Mbinu ya Ushindi kwa Simba SC Leo 29.03.2024 dhidi ya Al Ahly

    Shalom, Simba SC Leo inatakiwa icheze kwa namna ifuatayo. 1. Umakini kwa dakika zote 2. Kucheza kwa speed dakika zote 3. Ujumuishi na haraka katika kulifikia lango la Al Ahly. 4. Kushambulia kwa pamoja na kukaba kwa pamoja, tunaenda wote na kurudi wote. 5. Wanaocheza 7 na 11 wajibu wao pia ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…