mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Mama Ntilie na wauza chips, wauza pweza wanaharibu miundombinu ya mwendokasi. Mabwana afya wasimamie na watoe maelekezo

    Kwanini wahusika wa miondo mbinu nyingi ya mwendokasi imewaacha mama ntilie na wauza chips wanaofanya kazi pembezoni ama karibu na miundombinu hii wamwage maji machafu na mataka taka kwenye mitaro ya hizi bara bara hali inayopelekea kujaa na muda mwingine kutoa harufu mbaya sana. Bwana afya wa...
  2. Tafadhali mlio nje ya Tanzania mtatumia Mbinu gani kuangalia katika Simu haya Matukio ya tarehe 3, 4 na lile Kubwa la 'Kufa Jitu' la tarehe 8?

    Ni matukio ambayo GENTAMYCINE sitaki kabisa kuyakosa hasa hasa lile la tarehe 8 August, 2024 litakalokufa Jitu huko.
  3. Mgawanyiko wa makanisa, ni mbinu ya shetani?

    Kanisa likikuwa moja hapo awali, ilikuwaje tukapata mgawanyiko.? Mfano:Pentekoste, Orthodox na roman catholic, wasabato, nk. Mwenye uelewa atujuze.
  4. Mbunge Tauhida Gallos Atoa Wito kwa Wajasiriamali Kushirikiana na Kubuni Mbinu

    MBUNGE TAUHIDA GALLOS: WAJASIRIAMALI SHIRIKIANENI NA KUBUNI MBINU Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi Mhe.Tauhida Gallos amewataka wajasiriamali kushirikiana na kubuni mbinu mbalimbali zitakayoweza kuwaletea maendeleo katika familia zao. Mhe. Tauhida ameyasema hayo huko Mazizini mara...
  5. Mbinu gani Mwalimu atumie Ili kuelewa somo hili

    Mwalimu atumie mbinu gani mwanafunzi kuelewa somo hili. Msaada wa haraka unahitajika.
  6. F

    Chadema tushukuru kwamba CCM wameanza kuropoka hadharani mbinu zao za kushinda chaguzi. Nape ni mkweli tusimlaumu, tatizo ni mfumo CCM.

    Badala ya kuona kuwa Nape amekosea kusema aliyosema, tumwone Nape kama mtu aliyesema ukweli kuhusu chaguzi za Tanzania. Ni kweli kwamba matokeo ya kura hutegemea nani anahesabu kura na mara nyingi sana matokeo hupangwa kabla hata ya kura kupigwa. Tatizo sio Nape bali ni mfumo CCM. Mnakumbuka...
  7. Mbinu 6 za kumsahihisha Mkeo pale anapokosea pasipo kuumiza Hisia zake

    MBINU 6 ZA KUMSAHIHISHA MKEO PALE ANAPOKOSEA PASIPO KUUMIZA HISIA ZAKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ukiishi na Mwanamke utagundua Wanawake NI viumbe weñye makosa mengi madogo madogo àmbayo Kwa kiasi kikubwa hawayafanyi Kwa kupenda. Uchunguzi wàngu unaonyesha kuwa makosa mengi yanatokana...
  8. Ulitumia mbinu gani kumuondoa mwanamke aliyeng'ang"ania gheto?

    Makubaliano ilikuwa aje for weekend, ile weekend uliyopita, jumatatu nikamuachia posho ya uchafuzi na nauli nikamuonyesha sehemu ya kuweka funguo nikaenda kibaruani. La haulaaa jioni kurudi nakuta ile hela kanunua masufuria, msosi wa nguvu nguo zetu zimefuliwa yupo kwenye khanga moko. Sasa ni...
  9. L

    Mbinu za kuwa msiri

    Habari zenu Wana jukwaa, Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kua msiri. Baadae ya kuwa mtu mzima kKuna namna ninawaona ndugu na watu wa karibu kama watu wenye choyo na wengi hawapendi mtu afanikiwe iwe ni ndoa kazi au biashara. Sasa ninaomba mnipe mbinu gani nitumie...
  10. Ni mbinu gani Mwanaume unaweza kutumia ili Usirogwe na Mkeo au Hawara hasa ukishamshtukia kuwa ni Mshirikina au anataka Kukutengeza / Kukuroga?

    Jamani nipeni tu hizi Mbinu haraka ili Nijihami mapema, kwani naziona kabisa dalili za Mimi Kutengenezwa / Kurogwa. ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA...
  11. S

    kwa mabechela wanaojitafuta tumia mbinu hii kupunguza gharama za mahari

    linapokuja swala la mahari jamii nyingi Tanzania hazina mchezo kabsa. kutoa 4m na kuendelea kama mahari ni kawaida mno .kama binti yao yupo kweny prime age ya ndoa. utalia upunguziwe watokomea 3m hii pesa ni nyingi kwa wapambanaji ambao ndo kwanza wanajijenga kiuchumi. sasa we fanya ivi uyo...
  12. E

    SoC04 Mbinu kwa ajili ya kuboresha sekta ya ufugaji, kilimo, na uvuvi

    Hii ni sekta ya muhimu katika uchumi wetu. Ikiwa usimamizi wa sekta hii utaendelea kusimamiwa vizuri uchumi wetu utapanda kwa miaka mitano (5),kumi (10) na kuendelea.katika sekta hii tunapata malighafi mbalimbali kwa ajili ya viwanda mbalimbali mfano, alizeti kwa ajili ya kutengeneza mafuta...
  13. Kukaa kimya ni mbinu wanayoitumia Watu wajinga kuficha udogo na ufinyu wa akili zao

    Mara nyingi sana ,popote pale, Mtu mjinga, ukamkuta amekoswa hata ule uelewa wa kitu kilicho mikononi mwake. Njia pekee anayotumia kutoonekana ni Mjinga Huwa ni kukaa Kimya , wao Huwa wanajificha kwenye Mwamvuli wa "Kukaa kimya pia ni Jibu". Watu wa aina hiii hata Makazin, hawaishi kwenda...
  14. Mbinu rahisi za kuwafikia wateja wa kike ni zipi?

    Mimi na biashara yangu ya viatu vya shule, wateja wengi ni wamama wenye watoto mashuleni. Sasa nawaza nitumie mbinu gani ili wamama wengi wanijue au waone biashara yangu.. wenye mbinu tafadhali nisaidieni. Na Mungu atawabariki.
  15. E

    SoC04 Mbinu kwa ajili ya kuboresha Sekta ya Uchukuzi

    Moja - Itengwe bajeti ya kutosha katika sekta hii; zitolewe fedha ambazo zitakidhi mahitaji ya sekta ya (UCHUKUZI), hata kama sio kwa asiilimia mia moja. Hii itasaidia miradi mfano reli,barabara,maji n.k kukamilika tena kwa wakati na uchumi wa watu na taifa utakuwa. Mbili - Kuwapa kazi ya...
  16. Naomba kufundishwa mbinu za kuepuka watu wa Jumuiya na Parokia

    Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki. Lililonileta ni kuwa nimekuwa sipendezwi na imani yoyote haswa hizi za dini naona kama uongo na ni mifumo ya watu...
  17. Mbinu ya kijinga ya kupunguza mkopo(Ada) na kuongeza boom

    Hivi professor Adolf mkenda na wizara yako ya elimu mmeona waTanzania ni wajinga sana? Do you really think we are going to buy that childish trick of yours'? Hivi mpaka lini mtaendelea kunyanyasa watoto maskini wa kiTanzania ndani ya nchi yao iliyojaa utajiri kupindukia? Professor on which...
  18. SoC04 Suluhu ya Ushoga nchini; Historia yangu binafsi na mbinu mbadala

    Awali ya yote, naomba nieleze historia yangu kwa ufupi. Nia na madhumuni niweze kujenga picha ya jumla katika lengo zima la uzi huu. Nilizaliwa katika mkoa wa Mwanza nchini Tanzania, Baba yangu alikuwa Polisi na mama yangu alikuwa Mama wa nyumbani. Wazazi wangu kwa pamoja walinipenda sana...
  19. CHADEMA mbinu ya maandamano haikuwa njia sahihi ya kukirudisha chama katika macho ya Watanzania

    Tunafahamu kuwa miaka 3 nyuma vyama vya upinzani havikupewa jukwaa stahiki la kuendeleza biashara/kazi na majukumu yao ili kuongeza tija na hamasa ya kupendwa zaidi,na kuvutia wanachama ilikuwa ni inactive political parties,havikuweza kuwa na uwakilishi wa kutosha katika bunge na hata katika...
  20. Mbinu gani nzuri ya kufanya ili watu fulani waondoke maishani mwako?

    Mfano mtu mlishatengana alafu UKa move on kuendelea na maisha lakini ukaanza Ku HEAL Ila sasa baada ya muda anakuwa anakutafuta tafuta utatumia mbinu gani ili aondoke kwenye maisha yako?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…