mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wazee wa Kubet njoo tukumbushane mbinu tulizotumia lakini Mhindi Bado AKATUCHAPA!

    Betting ni kitu kitu addiction ya ajabu sana. Kila siku tunachezea kichapo lakini Bado hatukomi. Sasa Kuna Ile time, umeshachambua Games lkn Hali Iko pale pale, unaanza kwenda prediction zako😁, ukiamini pengine mambo yanaweza kuwa tofauti🍾... twende kazi ngoja nitoe zangu😋 Mm nilishawah...
  2. Msaada wa mbinu ya kuruka Mtego

    Iko hivi wadau, kuna Manzi mimi nilikua namuimba.. Karuka, na kudai tuwe marafiki. Nikaforce sana huo urafiki badae nikakata tamaa alikua anakwepa tusionane. Zilipopita kama week tatu, nikampandia hewani tena, kubembeleza, nikaona respond ipo kidogo Sasa Leo nimeenda kwake Manzi, na...
  3. Mbinu ya kijasusi - kutengeneza chuki dhidi ya Serikali ili kuacha ombwe la kiuongozi!

    Tunaposheherekea miaka 63 ya Uhuru ni vyema kama Taifa kutafakari katika maeneo kadhaa ambayo ni muhimu. 1-Tanganyika ilipata uhuru bila kumwaga damu yaani vita. 2-Kupitia Waasisi wetu hususani Mwalimu Nyerere tuliona njia bora ni kudai Uhuru wetu kwa njia ya kidiplomasia. 3-Hata baada ya kupata...
  4. Usitumie hii mbinu kwenye mapenzi utakuja kufa!

    Waswahili wanasema "Kata mti panda mti!". Huu msemo usiulete kwenye mapenzi utakuja kufa ulimi nje!. Baada yakubwagana na mpenzi wangu chapchap kuuponya moyo,roho na nafsi yangu nikaamua kutafuta mpenzi harakaraka ili ku cover nafasi iliyoachwa wazi!. alikuwa binti fulani hivi ndembendembe...
  5. Polisi wetu mtuhumiwa hakamatwi kwa uvamizi, badilisheni mbinu za ukamataji

    Nitoe Rai kwa jeshi la polisi pamoja na yote upepo unaopita kwa sasa kwenye nchi yetu sio mzuri! Badilisheni namna ya kumkamata mhalifu kinyume chake wananchi wataanza kujihami kwa siraha yoyote nife ama ufe wewe ! Kwa sababu Hali sio shwari! Mnaenda kumkamata mtu kwa kumvamia mnataka aamini...
  6. Huwa unatumia mbinu Gani kumuomba mwenza wako msamaha

    Sisi wanaume wa Kanda ya ziwa ni kosa la jinai kutamka samahani mbele ya mkeo au watoto hata ukosee vipi na kosa liwe wazi Tunaamini kulitamka hilo neno ni udhaifu Kwa mwanaume Huwa tunaomba msamaha Kwa vitendo sio Kwa kusema na mwanamke ataelewa kabisa kwamba Kwa matendo haya naombwa msamaha...
  7. S

    Ripoti inayoelezea mbinu za Marekani kuidhoofisha Urusi iitwayo Rand Corporation 2019

    Leo katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa Rand Corporation 2019. Hii ni ripoti yénye kuelezea mbinu ambazo Marekani na washirika wake wanaweza kutumia kwa ajili ya kuidhoofisha Urusi pamoja na uwezekano wa kila mbinu kutimiza lengo hilo. Kilichonishtua zaidi ni kuona kwamba yale...
  8. Mbinu gani zinaweza kutumika kubaini watu wasiojulikana wanaotekeleza uhalifu wa utekaji na uuaji wa raia?

    Matukio ya utekaji bado tishio nchini Utekaji na mauaji yanayoendelea nchini yameendelea kuwa changamoto kubwa, huku vyombo vya usalama vikionekana kushindwa kubaini kwa haraka wahusika wa uhalifu huu. Maswali mengi yanazuka ni teknolojia gani za kisasa zinazoweza kutumika kufuatilia na...
  9. Mbinu mpya ya CCM kuingiza kura fake vituoni ni kutumia Plice na magari yao.

    CCM ni sawa na yale magenge ya Madawa za kulevya kule Mexco, ambako kila mbinu ikijulikana huingia chimbo na baadae kuja na mbinu mpya ya kusafirisha Dawa za kulevya. CCM baad ya kugundua mbinu nyingi za wao kuiba kura hasa kura fake zinajulikana now day sana wanatumia police hao hao kuiba...
  10. Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

    Israel kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800. Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha...
  11. LGE2024 Wenje awapa mbinu Wagombea CHADEMA kupata kura, CCM yakomalia ulinzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amewataka wagombea wa chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa kuomba kura kwa unyenyekevu, mbinu aliyodai itawasaidia kuzioata za wafuasi wa CCM na vyama vingine vya upinzani. Wenje ametoa ushauri...
  12. Naonya Mbinu Chafu isitumike hasa ile ya 4-4-2 ndani ya Vyumba vya Guinea leo, kwani Tutaumbuka vibaya na Kufungiwa

    Nasikia kuna Umafia umefanyika sasa kwakuwa sitaki Taifa Stars ishinde leo nawasanua Guinea ili FIFA na CAF wajue.
  13. Serikali iingilie kati au kuja na mbinu kuzuia kuvuja kwa pesa kwenye mzunguko wa uchumi

    Angalizo ; huu uzi hauna maana mbaya wala kupangia watu namna ya kutumia pesa zao..!!! Tanzania tumeingia kipindi ambacho tunaona magari mengi sana ya kifahari, ukiwa barabarani sasa hivi kupishana na gari za 500M or less ni kitu cha kawaida, waTanzania wengi sasa wakipata pesa tumeingia na...
  14. Kwa wale tusiokuwa na makaratasi ya kukaa hapa state tupeane mbinu za kukwepa mass deporting ya huyu mzee Trump

    Harakati za mtu mweusi zinaendelea Lazima tukubali bepari Trump ameshinda uchaguzi na wazungu wamepiga kura za hasira kwa mzungu wao Biden kukatazwa na kina Obama asigombee Wazungu walikasirika Sana hata wasiokuwa na mpango wa kupiga kura wakajitokeza Sasa tunaoishi hapa bila makaratasi...
  15. PreGE2025 Ni mbinu ya kupata kura?, Utekelezaji wa miradi na miundombinu kipindi cha Uchaguzi: Je, Usalama wa Mazingira na Uendelevu unazingatiwa?

    Muda wa uchaguzi ni kipindi cha kipekee katika mchakato wa kisiasa, ambapo wagombea na vyama vya siasa hutumia kila mbinu kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda kura. Katika mazingira ya Tanzania, utekelezaji wa miradi ya miundombinu na maendeleo wakati wa uchaguzi umejikita kama sehemu muhimu...
  16. M

    Nchi yetu siyo salama, Tujifunze mbinu za kujikinga na watekaji

    Sasa hivi hali nchi siyo salama, ni vizuri tukaelimishana mbinu za kujikinga na kujinusuru dhidi ya watekaji . Ndugu zangu hawa watekaji ni wauaji, ni makatili na inaonekana serikali ya Tanzania siyo ya kuaminika katika suala hili, Kiufupi imeshindwa kusimamia usalama wa raia. Wananchi wamepiga...
  17. LGE2024 Kwa takwimu hizi siasa ya vyama vingi ni mbinu tu ya kuombea misaada toka kwa wafadhili

    Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ENEO LA UCHAGUZI IDADI CCM UPINZANI WOTE CCM PEKEE MITAA 4,265 4,265 3,256 1,009 VIJIJI 12,274 12,274 5,879 6,395 VITONGOJI 63,863 63,863 20,000 43,863 80,402 80,402 29,135 51,267
  18. Mtendaji Mkuu wa TANROADS: Tanzania inashika nafasi ya 9 kwa miundombinu ya barabara na madaraja kati ya nchi 54 za Afrika

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.6. Aidha, Serikali kupitia TANROADS...
  19. Ikibainika Wanao hujumu miundo mbinu ya SGR wahusika katika kijiji husika basi Kifutwe!!

    Kama kichwa cha habari, Naiomba serikali na Wizara husika ikibainika miundombinu imehujumiwa basi Uongozi wakijiji ukamatwe na kijiji husika kifutwe. Hii itasaidia hujuma hili ni pendekezo langu.
  20. M

    Mbinu za biashara

    Namna sahihi ya kupata wateja na kukuza biashara yako
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…