1 Thimoteo 5:8 "Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini".
Wakuu ninaandika huu uzi nikiwa ninakumbuka mambo niliyokuwa ninayaona wakati naishi kwenye mtaa mmoja wa uswahilini hapa mjini Dar. Ni mtaa...