The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.
Jana Nilikuwa Napiga Stori na Rafiki Yangu Mmoja hivii, Akaniuliza Sasa Mwanangu Umemaliza Chuo Una Mipango Gani !? Nikamwambia January Tunaenda internship Hivyo Mpaka tunamaliza Nitahakikisha Nimekusanya Laki 5 ya Mtaji wa Chips.
kusikia hivyo jamaa Aka'panic Akaanza kusema "Chips Mtaji wake...
Kwa mfano unamdai mtu 500K lakini akawa hapokei simu yako wala sms hajibu. Kwa miezi mitatu sasa anakuzungusha.
Alipoona unamsumbua sana akaamua kukublock. Ukakaa kimya kama wiki mbili. Siku moja ukaamua kutumia namba mpya kumpigia.
Hakupokea. Akaingia kwenye app ya kutuma pesa ajaribu...
Stand kuu ya mabasi msamvu vyoo vyake vinatoa harufu mbaya sna upande wa mabasi yanayoelekea dsm huwezi kukaa kwa sababu ya harufu inayotoka mule usimamizi wa stand tunaomba mmwage dawa ya kukata harufu abiria tunateseka
Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi Msamvu vinatoa harufu kali na mbaya kiasi cha kuwafanya abiria washindwe kukaa kwa amani katika eneo la mabasi yanayoelekea Dar es Salaam.
Hali hiyo inasababisha usumbufu mkubwa kwa abiria wanaosubiri usafiri, kwani harufu inayotoka kwenye vyoo hivyo imeenea hadi...
Ebwana eeeh, najua nyuzi za kuhusu kesi na hukumu ya Tundu Lissu zipo nyingi ila hili jambo bado linashtua, linasikitisha na kushangaza sana.
Nimesikiliza mahojiano fulani Jambo TV na mawakili wawili, mmoja ni wakili kanjanja ila mwingine nondo zake aisee ukiorodhesha makosa na mapungufu...
Najua huyo aliyeposti hana ubavu wa kufanya chochote zaidi ya kuwa shujaa wa nyuma ya keyboard (keyboard warrior), lakini bado mawazo haya si ya kubeza.
Hata nchi ikija kutawaliwa na viongozi wa kiimla kama Mobutu Sese Seko, msithubutu kufanya maamuzi ya kuomba msaada kwa Watutsi. Watu hawa...
gani
hali
hata
kamwe
kilio
kujikomboa
kujikwamua
kulia
kuomba
kusaga
kusaga meno
kutoka
kutumia
kwenda
mbaya
meno
mlango
msaada
mtakuja
mtego
nchi
vijana
Hakuna laptop nzuri au mbaya,
Na kama hukujua ni hivi unaweza ukanunua laptop ambayo unasema ni "Nzuri"
Lakini baadae ukaona ni mbaya kwa sababu tu sio laptop ambayo inakufaa,
Uzuri ni jambo moja,
Muhimu zaidi ni kukufaa wewe,
Je ni kwa ajiki ya kazi gani?
Ili kufanya kazi hiyo kwa ubora...
Kuna wale waliobahatika kukuta mifereji kwenye familia zao.
Nimeona watu wakipata kazi wako chuo mwaka wa kwanza, wengine mwaka wa pili na wengine wanasubiriwa tu wamalize chuo waanze kazi bila kujali matokeo wala nini .
Wengine wanashindwa waende wapi, baba ana kituo cha Afya , serikalini kaka...
Hii ni hotuba yangu kwa wananchi wa nchi ya wadanganyika mara baada ya kula kiapo;
Ndugu wadanganyika;ukiona kulipaswa kuwepo maridhiano kabla ya kuchaguana na kisha hayo maridhiano ya wadanganyika hayakufanyika na yakatokea ya kutokea na sasa kuna utaratibu wa kulazimisha maridhiano na baadhi...
Watawala wauaji na wapambe zao huwa mwisho wao ni mbaya.Hii ni kwa sababu damu hudai na pia huwa wanaviburi kiasi kwamba wanahalalisha mauaji.huu ndo muelekeo wa utawala huu ovu wa nchi yetu.haiepukiki.
Hivi inakuwaje mtu unaingia social media, let's say TikTok au Instagram unaona video ya mtu mwenye confidence amejipost anadance, au anaimba nyimbo, au anafanya chochote kile kinachompa furaha halafu unaanza kuandika comments za kumbully. Why do you feel the need to destroy someone's happiness...
Nchi masikini, hauna rasilimali lakini mnamwaga mwaga kila kona
Hao watoto wengi wao ni fatherless, wanalelewa na mama pekee , au wana lelewa na ndugu au bibi maana mama anatamba kujitafuta kwenye mabaa ya sinza na tabata, baba yeye aliikataa mimba amekimbilia mkoani huko na tena huko amempa...
Aisee hii inakera sana utakuta mdada amevaa vizuri na anavutia vizuri tu ila ukimsogelea ukitaka kumuongelesha ile anafungua tu mdomo wake anatoa harufu mbaya ya mdomo tena mbaya mpaka inafikia anaharibu hali ya hewa aisee hii sio mara moja yaani kati ya Maslay quuen 10 ninaoongea nao 8 au 9...
Kwa siku mbili sasa anga za elimu zinajadili uamuzi wa UDSM kufuta mitihani ya marudio kipindi cha Septemba/Oktoba. Ninachokiona ni uzembe wa TCU kushindwa kuangali taratibu za vyuo ambazo zinaathili ubora.
Nilipouliza huku na huko, nilichokiona ni kwamba kumbe vyuo vya TZ pole pole vinaingiza...
Je Tanzania tuna bahati mbaya ya viongozi wabovu na wabinafsi? Au tatizo kati yetu ambao ni wanafiki wapo ambao wanajua ukweli lakini wamekuwa machawa. Mfano mzuri ni bro Pascal hapa na Kabudi ni watu waelewa na wanajua ukweli lakini hawana muwezo wa kusema ukweli kwasababu ya manufaa yao.
Ni...
Nimecheka sana kukumbuka hili neno "mchezo mbaya", kwanini watu wazima walilipa kitendo hicho jina la mchezo mbaya? Ukidakwa hizo fimbo zake ni balaa, ni kama dunia imeisha, mtaa mzima unajua umechapwa sababu umebambwa ukifanya mchezo mbaya😂😂. Usiombe kubambwa na watoto wa wenzako - redio mbao...
Hii changamoto haipo ofisi za utawala mkuu pekee, bali hata utawala wa college yangu niliyokuwa nasoma ya ndaki ya sayasi asilia na hisabati (cnms)
Viongozi hawajibiki kwa wakati , calls na message zetu zinasomwa tu na hazifanyiwi kazi kwa wakati au pengine hazifanyiwi kazi kabisa na wakati...
Kama kuna Rushwa Serikalini ni Viongozi wa Dini ndio wameshindwa kuthibiti Rushwa kwa kushindwa kuwaombea waumini wao waache
Rushwa” - MAKONDA
My Take
Nchi hii ipo kinyume sana katika uongozi, watu wanaongea pumba ndio wanapewa majukwaa makubwa.
Mama kabaki na machawa tu. Hakuna wa kumuamini zaidi ya Wanzanzibari wenzake tu. Huku bara kabaki na machawa tu. Na asipokuwa makini watamaliza kama Magu hukohuko hospital na kusema alikuwa na strock au ugojwa wa moyo. Hawezi kuweka madaktari wote wa Zanzibar kila wakati. Umashuhuri mdogo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.