mazungumzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Ridhiwani Kikwete afanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran aliyeongozana na Meneja wa Kanda ya Kati wa ATE, Bw. Leonard Mapha...
  2. Hamas yasema haina haja na mazungumzo mapya ya kusitisha vita

    Wapiganaji wa Hamas chini ya kiongozi wao mpya Yahya Sinwar imesema haitashiriki kwenye mazungumzo yaliyopangwa kufanyika wiki hii. Badala yake kundi hilo ambalo limepigana na Israel kwa takriban mwaka sasa limesema kinachotakiwa ni kutolewa kwa ratiba kamili ya kutekelezwa kwa makubaliano...
  3. VOA; Mshirika wa Putin afanya mazungumzo nchini Iran huku Mashariki ya Kati ikielekea ukingoni mwa vita vikubwa

    Wanaukumbi. MOSCOW - Mshirika mkuu wa Rais Vladmir Putin aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatatu kwa mazungumzo na viongozi wa Iran akiwemo rais na maafisa wa ngazi za juu wa usalama huku Jamhuri ya Kiislamu ikitathmini majibu yake kwa mauaji ya kiongozi wa Hamas. Urusi imelaani mauaji ya...
  4. Rais Tshisekedi adai Ruto amevuruga mazungumzo ya Amani kati ya Serikali na Waasi

    Rais Felix Tshisekedi amesema Rais wa Kenya, William Ruto amevuruga mazungumzo ya amani yaliyoanzishwa na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kati ya Serikali ya DRC na Makundi ya Waasi. Akizungumza katika mjadala wa hali ya DRC ulioandaliwa na Brookings Africa Security Initiative na Africa Growth...
  5. Mazungumzo ya Kevin De Bruyne kutua Al-Ittihad ya Saudi Arabia yafika pazuri

    Baada ya kudumu kwenye kikosi cha Manchester City kwa miaka 9, inadaiwa Kevin De Bruyne yupo njiani kuondoka kikosini hapo kuelekea Al-Ittihad inayoshiriki Ligi Kuu ya Saudi Arabia (Saudi Pro League). Inaelezwa mazungumzo yanaendelea kati yaklabu hizo mbili na tayari kuna makubaliano binafsi...
  6. Mazungumzo Sabasaba International Trade Fair Banda la UDSM

    MAZUNGUMZO SABASABA INTERNATIONAL TRADE FAIR BANDA LA UDSM 1 Nimetembelea Banda la Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam nimekuta nje wameweka vitabu vingi vya historia. Nimeanza kutazama kitabu kimoja baada ya kingine. Sikuona kitabu cha Abdul Sykes. Nimemuuliza niliyemkuta pale kulikoni...
  7. Tetesi: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC

    Habari nilizopata hivi punde. Klabu ya Simba imeanzisha mazungumzo rasmi na Azam FC ili kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Feisal Salum Fei Toto. Japo kuvunja mkataba wa Fei pale Azam kuna vipengele vigumu lakini hakuna linaloshindikana. Na deal ikikamilika Fei atakuwa ndio mchezaji anaelipwa...
  8. Hezbollah imekataa mazungumzo yoyote na Israel wataka vita waache kuwaonea raia wa Gaza

    Wamakumbi. BREAKING: 🇱🇧🇮🇱 Hezbollah imekataa mazungumzo yoyote na Israel. Vita vya kiwango kamili ni hakika zaidi Mjumbe Maalum wa Marekani, Amos Hochstein, anatangaza kwamba juhudi za kidiplomasia za kutuliza mivutano kati ya Israel na Hezbollah zimeshindwa rasmi, kwani Hezbollah...
  9. L

    Je Marekani itabadili mtazamo wake baada ya mazungumzo ya ngazi ya juu kuhusu akili bandia kati ya Marekani na China

    Matumizi ya Akili Bandia (AI) yanatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya nguvu za kiuchumi na kijeshi duniani katika siku za usoni. Ushindani wa matumizi haya ya teknolojia umeifanya Marekani ianze kudhibiti mauzo ya nje kwenye chip za hali ya juu, na kuiondolea uwezo China wa kupata chip za hali ya juu...
  10. L

    Rais Samia akutana na kufanya Mazungumzo na Danieli Fransisco Chapo Mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO Mheshimiwa Danieli Fransisco Chapo,Ikulu ya Dodoma hii leo June 12. Hii ni katika kuonyesha ushawishi wa...
  11. Ahmed Ally: Mazungumzo group la watsup la Champions league

    MAZUNGUMZO GROUP LA WATSUP LA CHAMPIONS LEAGUE Semaji Mamelod : Mnyamaaa 😭😭 Semaji Al Ahly : Pacha naumia sana kwa ajili yako Semaji Mazembe : Jirani tutakumic sana Champions League Mimi Mashine : Msijali wanangu narejea punde Semaji Raja : Ni Mapito tuu hayo Lunyasi mimi miaka miwili...
  12. B

    Mazungumzo ya kusimamisha vita Gaza, hati hati kukwama; Israel, HAMAS yupi ana hoja?

    1. Vita Gaza vinapaswa kukoma. "Enough is enough!" 2. Hilo ni lililotakwa la dunia, kutokea UN huko; mataifa: moja moja; mashirika ya kimataifa, mashirika ya misaada ya kiutu, nk. 3. Kuna azimio UNSC kutaka vita hivi kusimamishwa kabisa sasa na mateka wote kuachiliwa. 4. Raia, wahanga wa vita...
  13. B

    Uturuki yamkandia Natenyahu, yaipongeza HAMAS

    1. Hawa ndiyo wale vigogo wachache wa aina ya South Africa huko: 2. Kwamba Natenyahu ni kama yale mapanya road yale ya pande za kwetu tu? 3. Ana sifa gani, wapi, kiumbe huyu kwenye ulimwengu iliyostaarabika? 4. Kuwa tunatembea? 5. Tujikumbushe kinachotakiwa: 6. Viva resistance...
  14. B

    Mazungumzo Gaza, hati hati kukikwaa kisiki

    1. Tarehe 9/4/2024 kulitolewa siku 2 za tafakuri: 2. Kuelekea Tafakuri walisikika wawili hao: 3. Hata hivyo: kutokea Israel, somo lilisha eleweka: Natenyahu akubaliana na kilichopo mezani 4. Kutokea HAMAS, Ngoma Iko pale pale: 5. Kwamba, 6. Kumbe kulikoni kuhitaji shikizo kwa awaye...
  15. B

    Mazungumzo ya amani, Israel na HAMAS Cairo yanazaa matunda

    1. Kibri chote kwishney, amri ni moja; kila mtu kaufyata: Natenyahu maji ya shingo, Marekani yamwamuru kusitisha vita mara Moja! 2. Iran kaombwa kutulizana, Natenyahu kuufyata; mazungumzo kuwa ya kiutu uzima: 3. Hapo sasa kilichobakia "face saving" yaani kuwatoa wacheza kimaso maso. Tayari...
  16. J

    Waziri Nape afanya mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Tanzania

    Waziri Nape Afanya Mazungumzo na Balozi wa Finland Tanzania Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting Ofisini kwake jijini Dar es Salaam aliyeambatana na Mkuu wa...
  17. KWELI 1990 Muhamed Ali alikwenda Iraq kuwakomboa mateka wa Marekani kwa kufanya mazungumzo na Sadam Hussein

    Salaam Wakuu, Nimekutana na stori mtaani zinadai kwamba mnamo mwaka 1990 Bondia Maarufu Muhamedi Ali alienda nchini Iraq kuzungumza na rais wa nchi hiyo wakati huo Sadam Hussein kuwaachia mateka wa Marekani na kufanikiwa. Je, kuna ukweli wowote kuhusu sakata hili? Tunaombeni ufafanuzi
  18. Z

    Israel yashukiwa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Doghmush clan, Hamas yaua kiongozi wao

    Hamas yavamia kikundi chenye msimamo mkali Doghumosh Clan Gaza city (13/3.2024) na kuua idadi kadhaa ya wapiganaji wao akiwemo kiongozi wao. Hamas walichukua hatua hii baada ya kikundi hicho kushutumiwa kuwa na mazungumzo na Israel. Hamas imeshawahi kuonya kuwa kikundi au mtu yeyote ndani ya...
  19. T

    Papa Fransisco anaisihi Ukraine ipandishe bendera nyeupe

    MKUU WA KANISA Katoliki duniani, Papa Fransisco, katika mahojiano na chombo cha habari cha Uswisi, RSI, amesema Ukraine inapaswa kuwa na ujasiri wa bendera nyeupe, ambayo ni alama ya kukubali yaishe kwa kupisha mazungumzo ya amani. _______________ Pope Francis: Ukraine should have the courage...
  20. Uchambuzi: Kuvuja kwa mazungumzo ya siri ya kamanda wa Ujerumani, Russia yaonyesha kuwa ipo juu katika medani ya ujasusi duniani, NATO washangaa

    Balozi wa Ujerumani alieko nchini Uingereza bwana Miguel Berger aliitwa katika ofisi za wizara ya mambo ya nje ya Uingereza ili atoe maelezo kuhusu kuvuja kwa rekodi ya mazungumzo ambayo kamanda wa jeshi la anga la Ujerumani alisikika akikiri kuwepo kwa vikosi vya jeshi la Uingereza nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…