mazingira

The Mazingira Green Party of Kenya is a Kenyan green party. It was formerly known as Liberal Party of Kenya (LPK). At the 1997 Kenyan General Elections LPK fielded a presidential candidate, Wangari Maathai, who later became a Nobel Peace Prize laureate. Maathai was only a minor candidate. She did not win a parliamentary seat. In 2002, the next general elections were held and the Maathai-led party was part of the victorious NARC coalition. Maathai herself won the Tetu Constituency parliamentary seat.At the Kenyan general election, 2007, Mazingira was part of the newly created Party of National Unity led by President Mwai Kibaki. However, Mazingira also fielded own candidates. Mazingira won one parliamentary seat at the elections, after Silas Muriuki beat PNU candidate David Mwiraria to clinch the North Imenti Constituency parliamentary seat. Maathai was first outvoted at the PNU primary elections and therefore vied on Mazingira ticket, but at the parliamentary elections lost again to the PNU candidate.
The word Mazingira is Swahili for environment.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Kiwanda cha kutengeneza matofali katika Mtaa wa Mkanada, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni kinatupigia kelele sana

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Mkanada, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni. Kwa muda sasa, tumekuwa tukikabiliwa na kero kubwa ya kelele zinazotokana na kiwanda cha kutengeneza matofali kilichopo katika eneo letu, hali inayotunyima utulivu na kuathiri maisha yetu ya kila siku. Mashine zinazotumika...
  2. Parabolic

    MAIPAC, THRDC wawanoa waandishi wa habari za mazingira

    Taasisi ya Waandishi wa Habari za Jamii za Pembezoni (MAIPAC), kwa kushirikiana na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), imewataka waandishi wa habari nchini kuimarisha uandishi wa habari za uchunguzi kuhusu mazingira ili kuongeza uwajibikaji na kusaidia kulinda rasilimali za...
  3. Y

    Je, CHADEMA iingie kwenye meza ya maridhiano au laa?

    Habari wana jamvi. Leo nimekuja tena tuzungumze mambo mazuri kuhusu hili taifa. Wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2025 ni wazi ulingo wa kisiasa uligubikwa na aina fulani hivi ya komedi. Joto la uchaguzi lilikuwa kali ingawaje lilijaa vichekesho vya hapa na pale ktk mitandao ya kijamii...
  4. A

    KERO Mazingira magumu ya Kazi ya Watumishi wa Idara ya Uchimbaji walitokea RUWASA na kwenda ofisi za Bonde

    MAZINGIRA MAGUMU YA UTENDAJI KAZI YA WATUMISHI WA IDARA YA UCHIMBAJI WALIOTOKEA RUWASA NA KUHAMISHIWA OFISI ZA BONDE. Watumishi wa Idara ya Uchimbaji tuliokuwa ofisi za RUWASA kutoka mikoa mbalimbali tulipatiwa barua za kuhamishiwa katika ofisi za Mabonde kama Bonde la mto Rufiji, Bonde la mto...
  5. Prakatatumba abaabaabaa

    Kwanini watu wa ulaya wana akili/kujitambua mapema kuliko Africa? Je ni malezi au mazingira?

    Nilikuwa naona video moja streamer huko Instagram, akakutana na mtoto wa kiume miaka 6, huyo streamer akamuuliza what's the meaning of life? Huyo dogo akajibu "I don't know but I think Practice (kujijenga) , love (upendo), creativity (kuumba) imebidi nitafakari kitu kitu kimoja kwanini mtoto wa...
  6. BabaMorgan

    Unaweza kuhisi kujenga mazingira rafiki kwa watu wenye ulemavu ni kwa ajili ya majengo ya Umma pekee

    Kumbe hata unapojenga nyumba yako binafsi lazima uzingatie Kuwa ni rafiki kwa watu wenye mahitaji maalumu sababu maisha hayana guarantee maana unaweza kujikuta wewe mwenyewe mmiliki unakuwa mlemavu. Ukianza kutumia Wheelchair ama magongo utaweza kufika restroom na kujisitiri.
  7. Gumasa

    Wakati wa masika ndiyo wakati sahihi wa kununua kiwanja,kwa wenye hofu ya mazingira.

    Wakati wa masika utagundua kwa usahihi kama eneo au kiwanja unachonunua panapitika au la! utagundua kama ni kwenye madimbwi ya maji au la! Utagundua kama ni kwenye chemichemi ya maji au la! Utagundua kama ni kwenye njia ya maji au la! Utagundua kama ni kwenye majaruba au la.....! Kama unaweza...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Tibeli Code: Ni hatari kuonekana tajiri katika mazingira yenye watu maskini

    Habari za Sabato! Nilishakuambia Low key ndio mbinu ambayo itakusaidia. Danganyanisha kwamba upo broke. Lengo ni kuwa tajiri sio kuonekana kama tajiri. Umetoka ukoo fukara. Unanuka Mavi ya maskini. Mawazo ya kimaskini kila mitaa. Sura zimechoka. Mavazi masurupwete na maronya ronya. Hao ndio...
  9. Parabolic

    Waziri Masauni ashiriki mkutano wa mawaziri wa Mazingira wa Afrika nchini Armenia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) ameshiriki Mkutano wa Mawaziri kutoka Barani Afrika waliokutana kujadili msimamo wa Afrika na vipaumbele vyake ikiwa ni maandalizi ya mkutano wa ngazi ya juu wa Mkutano wa 17 wa Nchi...
  10. M

    HOJA Chuo cha DIT kuwa na hosteli haitoshi, Wanafunzi wanastahili mazingira bora ya kuishi!

    Naomba kuibua suala linalohusu hali ya Hosteli za Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), ambalo linaibua maswali kuhusu ubora wa mazingira ya makazi yanayotolewa kwa Wanafunzi. Inasikitisha kuona kwamba hosteli inaweza kuwepo, lakini mazingira yake yakawa hayaridhishi. Kuwepo kwa jengo la...
  11. S

    Niwaambie ukweli wa moyoni; ningekuwa raisi wa Tanzania katika mazingira yaliyopo, na mtazamo uliopo wa wananchi juu yangu na mwanangu, NINGEJIUZULU!

    Yaani nigekuwa raisi katika mazingira haya - nikiwa na stress kama ziivyoorodheshwa hapa chini,nadhani ningekubali yaishe nibwage manyanga. Stress kwamba mimi ndio mhusika mkuu wa mauaji ya wananchi wasio na hatia ya 29 Oktoba kwa sababu mimi ndio nilitoa amri ya kuua Stress ndani na nje ya...
  12. A

    KERO DAWASA waomba michango kukarabati bomba Pugu Mwakanga

    Naomba nitoe kero kuhusu huduma ya maji katika maeneo ya Pugu Mwakanga. Bomba kubwa la DAWASA linalosambaza maji kwa wateja limeharibika kutokana na kuchakaa. Taarifa zilitolewa kwa DAWASA, na wahusika walifika eneo la tukio na kujionea hali halisi. Hata hivyo, cha kushangaza, badala ya...
  13. Bikra unayo

    Huenda tatizo la jamii yetu si kwamba watu wamekuwa wabaya, bali tumetengeneza mazingira yanayowazawadia watu wenye tabia mbaya.

    Kuna jambo ambalo nimekuwa nikilitafakari kuhusu tabia za watu katika jamii yetu. Tunapozungumzia rushwa, unafiki, ubinafsi, udanganyifu na kupotea kwa uaminifu, mara nyingi tunahitimisha kwamba watanzania ni wajanja wajanja na matapeli kwa asili. Lakini je, tumewahi kujiuliza kama mazingira...
  14. S

    Naomba ufafanuzi: Kitu kisicho halali ni haramu, au kuna mazingira ya kufanya kisicho halali kisiwe haramu?

    Kuna mtu kanichanganya hapa, naomba ufafanuzi: Kitu kisicho halali ni haramu? Kuna mazingira ya kufanya kisicho halali kisiwe haramu?
  15. Zack Abdul

    Masauni LIVE TBC: COP12 na Mazingira ya Pwani

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Hamadi Masauni atakua LIVE kwenye kipindi cha JAMBO TANZANIA cha TBC kwa ajili ya kuzungumzia wenyeji wa Tanzania katika Mkutano wa 12 wa mkataba wa Nairobi (COP12) kuhusu usimamizi wa mazingira ya Pwani na Bahari ya Hindi
  16. Zack Abdul

    Fursa Uchumi wa Bluu Yadiliwa COP12 Dar

    Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara kwa ajili ya uchumi endelevu wa buluu katika Bahari ya Hindi ya Magharibi, ikiwa ni siku ya pili ya...
  17. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Panda mimea hii ili kufukuza nyoka kwenye mazingira ya nyumbani kwako.

    Nyoka wana mfumo mkali sana wa kunusa (kupitia ulimi wao na kiungo kinachoitwa Jacobson's organ), hivyo huwa wanajiepusha na mimea yenye harufu kali au inayochoma. Hapa kuna orodha ya mimea na maua ambayo nyoka hawayapendi: Mkitza / Kitunguu Saumu (Garlic) na Kitunguu Maji: Mimea hii hutoa...
  18. Wizara ya Ardhi

    Serikali kuweka mazingira wezeshi ushiriki wa wadau katika maendeleo ya makazi nchini

    DAR ES SALAAM Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa ushiriki wa wadau katika maendeleo ya makazi, kwa kuzingatia sera, sheria na mipango ya kitaifa. Hayo yameelezwa leo tarehe 30 Sept 2026 na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo wakati wa sherehe za...
  19. A

    KERO Njia ya Pugu Road (Vingunguti hadi Jet Corner) kuna harufu kali, sijui tatizo ni nini?

    Wale tunaoishi na kufanya shughuli zetu Pugu Road, kuanzia Vingunguti hadi Jet Corner kipindi cha nyuma eneo hilo lilikuwa na hali ya hewa nzuri, lakini siku hizi hali imebadilika, kumekuwa na harufu mbaya na nzito ambayo wakati mwingine inafanya iwe vigumu hata kufanya kazi na kuendelea na...
  20. M

    Tetesi:Pori la Kigosi limejaa ng'ombe za raia wa Rwanda wanaofanya uharibifu mkubwa wa mazingira. Kigogo mmoja anawakingia kifua.

    Kigogo huyo nae anasadikiwa wazazazi wake wana asili ya Rwanda. Alishakuwa na cheo kikubwa hapa bongo baadae akatoswa. Anawakingia raia wa Rwanda kurundika mifugo yao na kuharibu mazingira.
Back
Top Bottom