mawazo

  1. Mjusi Sharobalo

    Wakuu msaada wa mawazo tafadhari

    Wakuu salamu.... Moja kwa moja ndani ya mada wakuu. Kuna mdafa alinipenda sana na mimi nilimpenda, mimi nilizoea kumuita mshangazi sababu kanizidi kama miaka 5 hivi. Alikuwa na kazi yake na mimi kazi yangu, wakati huo tunaanza dhambi zetu alisisitiza sana kupata mimba huenda likawa janga ila...
  2. Samia atosha tukutane2030

    Wanaopiga kelele mitandaoni kukemea ushoga ni watu wenye msongo wa mawazo. Mtu ambaye mambo yake yako 🔥 hawezi kupoteza muda kisa watu kupakuana

    Unataka waache kupakuana wakupakue wewe? Juzi jamaa mmoja aliyefukuzwa kazi polisi nilikuwa tunapiga naye story na nikasema Mimi nimewahi kukwepa mitego kadhaa ya mashoga walitaka niwapakue. Mashoga 3 live kabisa watu ambao huwezi kudhani kuwa kipa kahama golini. Na wengine huko mitandaoni...
  3. M

    Wadau, naombeni mawazo yenu! Maana nahisi kuvurugwa...

    Mimi ni mwanaume wa miaka 39. Nimeoa na nina watoto kadhaa. Nje ya ajira, pia ni mjasiliamali. Kutokanna na kutingwa na majukumu ya kikazi, ilibidi nipate usaidizi wa uangalizi wa miradi kando ili kuhakikisha mambo yanaenda kwa kuwa kazi hizo baadhi ziliingiliana na miradi ya taasisi binafsi na...
  4. S

    Kufikiri kuwa mtuhumiwa ahukumiwe ili wewe utoe msamaha ukidhani itakuongezea umaraafu ni mawazo potofu

    Unashauriwa kwamba mwache huyu mtu ahukumiwe, kisha wewe utangaze umempa msamaha dhidi ya hukumu yake, ukidhani kuwa inakupa ujiko nchini na kimataifa ni kufikiri kuliko potoka sana. Suluhisho hapo ni kuacha ionekane hana hatia, hata kama kwa namna fulani itakudhalilisha.
  5. Moto wa volcano

    Mawazo ya me na ke wapumbavu

    Mawazo ya mwanaume mpumbavu anafikiri kila mwanamke mzuri anafaa kuwa mke na mawazo ya ke mpumbavu anafikiri kila mwanaume tajiri anafaa kuwa mume
  6. E

    NYERERE alianzisha TANU na baadae CCM kuepuka ukabila na utanganyika na uzanzibar, mawazo yake yamefeli CCM imekuwa kitu cha hovyo kuliko ukabila

    Nyerere ni muasisi wa CCM, alitumia short cut kuukwepa ukabila kwa kuanzisha CCM. Naweza kusema hakuona mbali kwa sababu mfumo haujaweza kufanya kazi bila yeye kuwepo. CCM ni zaidi ya makaburu wa south ambao Nyerere alipigana nao
  7. Lavit

    Wazoefu wa hizi gari naomba mawazo yenu( Impreza Xv, Mazda Cx3 na Mitsubishi RVR)!

    kulingana na bajeti yangu nimeona naweza pata hizo compact suv mwaka 2015 mpaka 2017! Sasa nimejaribu kusoma soma mitandaoni naona nazidi kuchanganyikiwa! Wakuu kama kuna mtu ana uzoefu kati ya hizi gari naomba mawazo yenu nisije nikajichanganya. Natanguliza shukrani!
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Ukimuamini Mungu usiwe na mawazo yachini, mawazo ya kiogaoga. Mungu anaaminiwa na wazee wa kujilipua. Risk taker

    UKIMUAMINI MUNGU USIWE NA MAWAZO YACHINI, MAWAZO YA KIOGAOGA. MUNGU ANAAMINIWA NA WAZEE WA KUJILIPUA. RISK TAKER. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Shahidi. Usiwe too low. Usiwe na mawazo mufilisi. Usiyahofie maisha hata kama yanaogopesha. Oooh! Sasa itakuwaje, mimi sina pesa. Mimi sina...
  9. manaina jr

    Nahitaji Mwongozo: MSc Data Science UDSM

    Wakuu habari ya muda huu Mimi ni mwajiriwa serikalini nimeomba admission UDSM ya Msc in Data Science na Mungu amesaidia nimepata. Naomba mwongozo kwa wazoefu waliosoma au wanaosoma hii kozi hapo chuo. Ni nini ugumu wake, gharama za zaidi ukitoa ada ni zipi (zile zinazohitajika zaidi kulipwa...
  10. S

    Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

    Mim nipo Banana ,hapa Dar Ni kijana wa miaka 24 nipo na 900k naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar ilimradi niwe napata kwa siku angalau 10,000/= na zaid . Mwenye wazo naomba
  11. 1995El

    Uzi wa mawazo ya usiku

    USIKU HUU NIMEKAA KIMYA, LAKINI NDANI NINA KELELE NYINGI SANA. Sina mzuka wa kitu chochote leo. Hata jambo la kawaida kabisa kama kupata chakula cha usiku limekuwa jambo kubwa kwangu. Nimekaa tu nikitazama maisha, nikijiuliza nimefika hapa kwa sababu gani na kesho nitainukaje. Kuna muda mtu...
  12. Wakusoma 12

    Makonda alitumia methodology gani kusema jezi ni mbaya? Au yeye mawazo yake ni sheria? Kikao cha wizara kinasemaje?

    Wakuu tupelekeni watoto shule.
  13. Alexido jz instagram

    OKTOBA 1, SAA SITA USIKU

    Nitatambulisha msanii wangu mpya, jina lake, sura yake, jina la record label. NITATOA TAREHE PIA YA KUACHIA KAZI YANGU YA KWANZA HIT SONG, DUNIA ITASIMAMA NA MVUA ISIYO NA MADHARA ITANYESHA KWA UWEZO WA MUNGU KUASHIRIA BARAKA TELEEEE. Pia tafanya press conference humu jamii forum kwani ni...
  14. ShesRise_1

    Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

    KARIBU KWENYE MADA WANA GREAT THINKERS 🧠 ☕️ Unaweza vipi kusoma mawazo ya mtu mwingine au kujua kinachoendelea kwenye akili yake? Unaamini kama kuna watu wanaoweza kusoma akili au mawazo ya watu wengine? Unadhani ni nini huwa kinatokea pale mtu anapoona maandishi ya mtu au akiwa kwenye...
  15. britanicca

    Melo aendelee kupewa maua yake kwa privacy zetu. Wengine si wa kuamini. Roma katofautiana kidogo mawazo na Mange, kamtisha kum-report wam-deport

    “Tukipishana mawazo na makada wa CCM wanatuchoma kwa watekaji tunadakwa tunauliwa!! Haya unapishana mawazo na mwanaharakati mwenzako anakuchomesha kwa ICE udakwe urudi home uuliwe!” Hapo kuna tofauti gani sasa? Hii mambo ya kujifanya tuna hati miliki ya mawazo inatesa sana nchi hii, kupishana...
  16. Crocodiletooth

    Tuyalinde mawazo yetu,tukatae kauli hasi,ni sumu kali,inayotengeneza mawimbi ambayo ni lazima yafuate njia hiyo hiyo!,kama agizo!

    Ulimi, wetu na mawazo yetu kwa asilimia kubwa almost 90% ndiyo,hutengeneza channel ya mfumo wetu wa maisha,tukumbuke binadamu kwa jinsi alivyoumbwa ana uungu kwa 5-10, katika matendo yake na maisha yake ya siku kwa siku,kauli zake azitoazo huweza kutengeneza effect fulani hasa pale anapozidi...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Yafuatayo ni mawazo mgando ya Wanaume wengi Mabwege na wenye Akili duni.

    YAFUATAYO NI MAWAZO MGANDO YA WANAUME WENGI MABWEGE na WENYE AKILI DUNI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Yule Shujaa. Moja ya mambo yaliyonifanya nisipende kukaa vijiweni na kuwaelewa wazazi na walezi wangu ni kutokana na mitazamo, fikara, na mawazo ya vijana na wanaume wengi wanaokaa...
  18. M

    Mnaoshi na wawazi wenu wazee naomba msada wa mawazo

    Ipo hivi , mama yangu ni mwalimu mstafu, Mimi ndiye kijana wake wa mwisho, mama yangu ni mgonjwa wa Bp, ni mwaka wa tatu tangia amegundulika kuwa na Blood pressure Ukizingatia umri wake na Hali yake ya kiafya vinanipa wakati mgumu sana, mazingira yalivyo Mimi ni MTU wake wa karibu zaidi,kwa...
  19. rafikiwamwananchi

    Serikali ina data, Vijana wana mawazo: Kwanini APIs za mifumo ya Umma Tanzania zisiwe rahisi kupatikana?

    Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kuhusu safari yetu ya digital transformation Tanzania. Serikali ina mifumo mingi yenye taarifa muhimu, na tayari ina miundombinu ya data sharing na interoperability kupitia GovESB. Miongozo ya e-GA yenyewe inaeleza kuhusu application integration, data...
  20. comrade_kipepe

    Ulikua na mawazo Gani kuhusu watumiaji wa JF ulivyojiunga??

    Mimi kipindi hicho najiunga nilikua JF ni mtandao wa wafanyakazi wa serikalini tuu, sikujua kama ni mtandao kwa wowote. Nilivyoingia sikuamin, baada ya kuona post za watu hapa JF nilihisi kila mtu ana nyumba Kali na gari na ana degree. Wewe ulifukiria Nini kuhusu watumiaji wa JF
Back
Top Bottom