mawaziri

  1. Z

    Mawaziri hawa wanastahili kuendelea kumsaidia Rais

    1. Waziri wa Elimu anastahili kuendelea. 2. Waziri wa Maji anastahili kuendelea. 3. Waziri wa Kilimo anastahili kuendelea. 4. Waziri wa Tamisemi anastahili kuendelea. 5. Waziri wa Jinsia anastahili kuendelea. 6. Waziri wa Fedha anastahili kuendelea. 7. Waziri wa Mambo ya ndani anastahili...
  2. Lord Denning

    Uzi Maalum: Weka hapa makazi wa Mawaziri, Wabunge na Chawa wote

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza tunaomba wanabodi mtiririke hapa. Tuna kazi kubwa iliyotukuka Oktoba 29. Mimi ninashughulika na makazi ya Mbunge wangu wa Ukonga Jerry Silaa.
  3. Echolima1

    Baraza la Mawaziri lapiga kura kubadili jina la vita vya Gaza kutoka ‘Sword of Iron’ hadi ‘War of Revival”

    Baraza la Mawaziri lapiga kura kubadili jina la vita vya Gaza kutoka ‘Upanga wa Chuma’ hadi ‘Vita vya Uamsho -Serikali imeidhinisha kwa wingi pendekezo la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu la kuviita vita vya Gaza jina jipya “Vita vya Uamsho” licha ya upinzani kutoka kwa familia za mateka na...
  4. C

    Bunge lilipovunjwa Spika, Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu walipoteza vyeo vyao vilivyotokana na Ubunge

    Mara tu ya Bunge kuvunjwa rasmi Agosti 2025, Mawaziri wote pamoja na Spika walipoteza vyeo vyao vilivyotokana na Ubunge. Hii ya watu kukiita Spika, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Waziri Mkuu mpaka Oktoba 2025 imekaaje. Serikali mpya itaundwa baada ya uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025. Ambapo Rais...
  5. R

    Rais wa Indonesia awatimua Mawaziri watano kufuatia Maandamano ya wananchi

    Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, amefanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri Jumatatu Septemba 8, 2025 kufuatia maandamano yenye vurugu yaliyozuka nchini kote kupinga marupurupu ya wabunge na kupanda kwa gharama za maisha. Hatua hiyo imekuja baada ya kuongezeka kwa malalamiko ya...
  6. Bird Watcher

    Mawaziri Mjiandae Kupingwa Chini Baraza Lijalo

    Ndugu zangu Mawaziri Baada ya kusaidia kuvuka Mto salama, Basi Cabinet ijayo hamtakuwa tena na msaada kwenye Boti sana sana mtakuwa mizigo tu ambayo itahitaji Kutupwa nje Ili Chombo kiongeze speed zaidi. Kuna Namba kubwa ya Mawaziri wataachwa kwenye Cabinet ijayo na Kuna ambao hawataamini...
  7. Roving Journalist

    Tanzania yashiriki ufunguzi wa Mkutano wa 5 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Singapore (SAMEV), Agosti 26, 2025

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Singapore (SAMEV), uliofanyika tarehe 26 Agosti 2025 jijini Singapore. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo umeongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  8. Rufiji dam

    Katiba inasemaje kuhusu nafasi za Mawaziri mara baada ya Bunge kuvunjwa?

    Nadhani Watanzania tumekuwa wazembe sana kuhoji vitu muhimu. Tunashindwa kuhoji hasa kuhusu akina Bashungwa, Bashe na wengine kuendelea na majukumu ya Uaziri na huku Bunge limevunjwa. Sheria inasemaje nafasi ya Uaziri pindi Bunge linapovunjwa.
  9. J

    Uhalali wa Baraza la Mawaziri baada ya Bunge kuvunjwa ukoje?

    Naombeni kujua mwenye ufahamu atufahamishe inakuwaje hawa mawaziri wa Rais Samia mpaka sasa wako Ofisini wakati Bunge limeshavunjwa. Inavyoeleweka kikatiba Waziri hutokana na Mbunge, Mbunge anapo poteza haki ya kuwa Mbunge automatically anapoteza hadhi ya kuwa Waziri. Na iko wazi ki Katiba...
  10. N

    Kwanini bado mawaziri wapo ofisini ilhali bunge limevunjwa? Makatibu wakuu walipaswa kuendesha wizara wakati huu

    Leo katika pitapita zangu mitandaoni nimeona waziri Dakta Jafo amefanya uteuzi na amemteua Fred Vunjabei nikashangaa na kushtuka sana. Tanzania Ili uwe waziri ni lazima uwe mbunge (mhimili mwingine). Kwa Sasa bunge hilo lilishavunjwa, je uhalali wa kuendelea kuwa mawaziri na kutoa amri na...
  11. K

    Je, bunge likishavunjwa, waheshimiwa mawaziri wanaendelea kusimamia wizara wanazoongoza?

    Imekuwa kawaida kuwa Bunge likishavunjwa Waheshimiwa Mawaziri wanakuwa ni wananchi wa kawaida mpaka hapo Serikali mpya itakapoundwa tena. Serikali mpya inapoundwa basi Mhe. Rais anateua tena Mawaziri wake katika Baraza lake. Bunge likiishavunjwa wanaosimamia Mawizara mpaka Serikali mpya...
  12. Ojuolegbha

    Baraza la Mawaziri la SADC lahitimisha kikao chake jijini Antananarivo

    Kikao cha Kawaida cha Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambacho ni maandalizi ya Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC kimehitimishwa jijini Antananarivo Agosti 14, 2025. Ujumbe wa Tanzania katika kikao hicho umeongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje...
  13. L

    GE2025 Mawaziri Pekee Wamechangia na Kuimiminia CCM Kitita cha Millioni 365

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu, CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania,ndio chama chenye uchungu na Maisha ya watanzania,ndio daktari wa matatizo ya wananchi,ndio Bima kwa sote,ndio nuru na mwanga wa Taifa. Ndio sababu kila mtu anajitoa na...
  14. T

    Sie wakulima mtusaidie kuelewa, hivi bunge likivunjwa mawaziri wanaendelea na uwaziri? Nimemwona Bashe 88 anapiga kazi.

    Huku kijijini kwetu Masalawe Kongwa nilikotoka kuleta mhogo mkubwa kuliko yote hapa Nanenane Dodoma nimeshangaa kumwona Bashe anapiga kazi eti ni waziri na anatumia V8 ya serikali. Mbona mhe. diwani wetu kazi zake zote zinafanywa na mtendaji wetu wa kata. Au wizara ya Bashe haina katibu mkuu...
  15. Mkalukungone Mwamba

    Mawaziri wa Ulinzi na Mazingira Ghana Wafariki Katika Ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Mawaziri wa Ulinzi na Mazingira wa Ghana wamefariki katika ajali ya Helikopta ya Kijeshi katika eneo la kati la Ashanti, pamoja na watu wengine sita. Mkuu wa Majeshi Julius Debrah aliuambia mkutano na Waandishi wa habari kwamba Waziri wa Ulinzi Edward Omane Boamah na Waziri wa Mazingira...
  16. U

    Netanyau kuongoza kikao cha Baraza la Usalama la mawaziri kesho alhmasi Jerusalem ili kuidhinisha mpango wa kuitawala kijeshi Gaza

    Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene his security cabinet at 6 p.m. Thursday at his office in Jerusalem, according to the Prime Minister’s Office, where it is expected to approve fresh plans for the continuation of the war in Gaza. During a three-hour security discussion among a...
  17. Son of Israel from Africa

    Mimi Kibori Nangai naamini hadi leo January Makamba na Stephen Biabato wakiwa mawaziri kuna kitu walifanya

    Mimi binafsi Naamini huko serikalini JANUARY NA BIABATO kuna kitu cha ajabu sana walifanya wakiwa mawaziri wa Mambo ya njee Na aliyemponza Biabato ni JANUARY hakuna mwingine Na walijua fika hawatarudii Bungeni hata iwejeee . Sasa Biabato anapoteana akati January' anasindicate kubwa ...
  18. Ojuolegbha

    Mkutano wa 27 wa Mawaziri wa SADC - MICO

    Mkutano wa 27 wa Mawaziri wa SADC - MICO Karibu Tanzania Welcome to Tanzania Bienvenue en Tanzania Bem-vindos à Tanzania 📅 21 - 25 Julai, 2025 📍 JNICC Dar es Salaam, Tanzania
  19. Terrible Teen

    Special Branch, Naomba Mfanye Life Style Audit ya Mawaziri Wafuatao na Kisha Mmpe Report Mheshimiwa Rais

    Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais. 1...
  20. S

    POTOSHI Angelina Mabula na Juma Aweso ndiyo mawaziri pekee waliokaa wizara moja kwa zaidi ya miaka nane

    Wakuu nimeona Mbunge Angelina Mabula anasema ukitoa yeye na Waziri Juma Aweso hakuna waziri mwingine ambaye amekaa wizara moja kwa muda wa miaka minane mfulululizo, Je ni kweli?
Back
Top Bottom