mawakili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    CHADEMA hamko juu ya Sheria, gerezani kuna wafungwa wengi si Lissu pekee. Nyie mlipeleka mawakili lukuki na mkashindwa Leo mnasema Lissu aachiwe

    Tanzania kuna magereza takribani 200, kuna wafungwa wengi. Wengine wamekosa mawakili wazuri ndio maana wamefungwa. Lissu mwenyewe ni wakili mbobezi, pia chama kilitoa mawakili kadhaa kumtetea Lissu na mwisho wa siku akaonekana ana hatia. Ilifanyika busara tu asitiwe hatia kwenye kesi ya uasi ...
  2. Pascal Mayalla

    Fani ya Uwakili Inazidi Kukua, Mzigo Mpya wa Mawakili 577 Unapakuliwa Desemba 2026, Wakili Msomi Mpya Ally Salum Happi Ndani ya Nyumba!.

    Wanabodi, Leo naendeleza motoo ya JF, wewe kama mwana jf, unapata kitu kinaitwa The JF Advantage, Be The First to Know, hivyo leo nawaletea habari njema kuhusu fani ya uwakili, inazidi kukua kwa kasi, ambapo mzigo mpya wa mawakili wasomi 577 unapakuliwa mwezi Desemba 2026, kwa mawakili hao...
  3. T

    Ni kwanini mawakili wengi wazuri wako CHADEMA na Upinzani?

    Ni ajabu sana inavyoonekana ni kwamba mawakili wengi walioko upinzani ni wazuri sana na wana umaarufu na majina makubwa Ila huku serikalini wapo wa kawaida sana. Nadhani ndio maana serikali yetu ikishtakiwa nje na Tanzania serikali inashindwa Mawakili wa serikali wanakuwaga jeuri tu kesi...
  4. O

    Mawakili Waandamana Jogoo House Kudai Polisi Waeleze Aliko Abshir Abdi

    Mawakili wameandamana nje ya makao makuu ya polisi ya Jogoo House jijini Nairobi wakitaka maelezo kuhusu kutoweka kwa mwenzao, Abshir Abdi. Waandamanaji hao walikusanyika nje ya jengo hilo wakiwa na mabango na bendera za Kenya, wakitaka vyombo vya usalama kutoa majibu kuhusu aliko mwenzao...
  5. R

    Mawakili wa Lisu kuweni macho sana tena sana na TIME LIMITATION TO INSTITUTE APPEAL, ni kwa tahadhali tu!!!

    Ni tahadhali! Wala si kwamba hukumu itakuwa vile au hivi, NO. Hizi figisu alizokuwa akifanyiwa Lisu na prison eg za kunyumwa usiri, kuwekwa na wafungwa wa kunyongwa na " ukatili" wote aliofanyiwa, Rugemeleza Nshala be vigilant. Wanaweza kumwekea vigingi akakuta muda say wa ku lodge notice of...
  6. Parabolic

    Lissu aanza mgomo wa kula. CHADEMA yasema mawakili wake wamezuiwa kumwona gerezani

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, ameanza mgomo wa kula kuanzia Oktoba 26, 2026, huku chama hicho kikilalamikia kuzuiwa kwa mawakili wake kumwona gerezani. Hatua hiyo inafuatia taarifa iliyotolewa na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Dk...
  7. kavulata

    Kesi imesikilizwa tunasubiri hukumu. Mawakili wa Lissu wanafuata nini gerezani, kuna siri gani hawataki isikike?

    CHadema wanajaribu kila kitu ili kupata la kulalamikia na wakumlalamikia. Huu ni muda wa kusubiri hukumu kutoka kwa majaji waliosikiliza kesi ya Lissu. Inakuwaje mawakili wafunge safari kwenda kumuona Lissu kabla ya hukumu kutoka? Si wangojee huku itolewe kwanza ili waende wakiwa na kitu kamili...
  8. R

    Mawakili wa Lisu kuongea na wana habari leo 24.10.2025 saa tano

    The placard tells it all Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, wanatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari leo, Oktoba 24, 2026, katika Makao Makuu ya chama hicho, Edwin Mtei House, Mikocheni jijini Dar es Salaam...
  9. instinct desire

    Watanzania tulitegemea tusikie uchaguzi wa Rais mpya wa TLS sasa mbona kimya, sasa tutafanyaje uchunguzi wa tuhuma wakati mhusika bado yupo ofisini?

    Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS. Matukio ya Rais wa...
  10. Pascal Mayalla

    Wito Mawakili Kushikamana, Kusimama Imara Kudai Haki, Heshima na Utu kwa Kusimama na Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi.

    Wanabodi, Hii ni Taarifa muhimu kutoka TLS. Nime C& P TAARIFA KWA UMMA Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026...
  11. Parabolic

    Mawakili wa Lissu waibuka kidedea, Gereza la Ukonga lapewa maagizo

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeuagiza uongozi Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kufuata taratibu za Kanuni za Uendeshaji wa Magereza kwa kutowanyima Mawakili na Washauri wa kisheria kuzungumza na mteja wao lakini pia maafisa magereza kusimamia maongezi hayo kwa kukaa umbali ambao wataweza kuona...
  12. Mkalukungone Mwamba

    Mwabukusi: Mawakili, huu si wakati wa unyonge, bali wa kuthibitisha maana halisi ya utawala wa sheria

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, leo Oktoba 15, 2026, baada ya kutoka Kituo Kikuu cha Polisi (Central) jijini Dar es Salaam, amesema: “Mawakili, huu si wakati wa unyonge. Ni wakati wa kuthibitisha maana halisi ya utawala wa sheria.” Soma Pia: Mwabukusi...
  13. R

    Hukumu ya kesi ya Kikatiba kwanini Magereza inawakataza mawakili kuonana na wateja wao kwa faragha akiwemo Tundu Lisu

    Oktoba 13, 2026, Jopo la Majaji watatu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam—Amir Mruma, Dkt. Angelo Rumisha na Dkt. Evaristo Longopa—linatarajiwa kutoa hukumu katika Shauri la Kikatiba Na. 7300. Shauri hilo limefunguliwa na mawakili Maduhu William, Nashon Nkungu na Paul...
  14. Sifi Leo

    Hii kesi inawavua nguo mawakili wa serikali nani wa kuwavisha tena? Njia pekee ni kuwateua wawe majaji

    Huu ni ushauri wangu kwa serikali, Yanayoendelea mahakamani ni aibu aibu aibu aibu, Tundu Lissu anawavua chupi mawakili wa serikali mchana kweupe. Ni aibu mh rais wateule wawe majaji tusiwe tunawaona mara kwa mara ni aibu
  15. Tlaatlaah

    Mtuhumiwa wa uhaini hajawahi kufanikiwa kisiasa bila kuomba kusaidiwa, unadhani imekuaje akakataa kusaidiwa kisheria na mawakili wote Tz?

    Je, alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia? Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
  16. N

    Ofisi ya DPP, Nassoro Katuga na mawakili wote wa serikali watanzania tunaomba ufafanuzi wenu maana ya neno 'uttering' kwenye tuhuma za kijinai.

    Sisi watanzania wa kawaida tumepata mkanganyiko sana kwa kitendo cha ofisi ya DPP na mawakili wa serikali kutumia neno 'uttering' kwenye kesi ya jinai. Tulioishia kidato cha nne,sita na waliosoma kozi tofauti na ya sheria tunajua maana ya 'uttering' ni kuongea / kutamka maneno kwa sauti ya...
  17. mrxtz2026

    Shauri la kikatiba: Mawakili wafungua shauri Kupinga katazo la mahakama kuu la tarehe 12 Agosti 2026 | C.M Tengwa

    Leo Tarehe 17 September 2026 mahakama kuu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Masjala Ndogo ya Tabora, ilioitishwa kwa ajili ya kutajwa kwa shauri la Kikatiba Na. 000023438 la mwaka 2026 linalopinga uamuzi uliotolewa tarehe 12 Agosti 2026. kuhusu zuio kwa mawakili kuzungumza na vyombo vya...
  18. Pascal Mayalla

    Je Wajua Mawakili ni Maofisa wa Mahakama?, Onyo la CJ Kuwa Mahakama Sio Sehemu ya Uanaharakati, Linawahusu!. Tujikite Kwenye Interest of Justice!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Fikra Mbadala kwenye gazeti l Nipashe la leo nikiuelimisha umma kuhusu mawakili, si wengi wanajua kuwa mawakili nao pia ni maofisa wa Mahakama, hivyo lile onyo la Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju kuwa Mahakama sio sehemu ya uanaharakati, pia linawahusu mawakili...
  19. K

    Wabunge wa CCM, Mawaziri, Askari polisi, mawakili na wanasheria wa serikali na viongozi wengine wa kiserikali; Jifunzeni kwa Hamis Kingwangwala

    Ndugu Hamisi Kingwangwala ni somo tosha kwa wabunge wa ccm kwasababu aliwahi kuwa mbunge; Ni darasa kwa mawaziri wa sasa kwasababu aliwahi kuwa waziri, Ni elimu inayoishi kwa kila kiongozi wa serikali anayedhani nafasi aliyonayo ataishi nayo milele, Ni fundisho kwa wote wanaodhani kwamba...
  20. K

    Mnyika amewakoboa mawakili uchwara hawatamsahau

    Lile genge la wahuni wanaoitwa mawakili wa Serikali wamepigwa za uso hadi wamechanganyikiwa kiasi kwamba Mnyika we can term him a man of the match.
Back
Top Bottom