maumivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 2v2

    Je, unaweza kuwa kwenye uhusiano mpya lakini bado ukawa unaathirika na maumivu ya uhusiano uliopita?

    Nimekuwa nikitafakari jambo hili na nimejiuliza maswali kadhaa. Je, kuna watu ambao tayari wana wapenzi wapya, wanawapenda na wanaendelea na maisha yao, lakini bado wanabeba maumivu, hofu au kumbukumbu za mahusiano yao yaliyopita? Kwa mfano: Bado unaogopa kuachwa tena kwa sababu ya...
  2. MakinikiA

    Mwamba Putin ananguruma huko,German wakae mkao wa maumivu..

    Stay tuned
  3. realMamy

    Sio Kila maumivu ni Hospital mengine ni Pesa tu

    Kuna siku Mwanamke anaweza kuamka na maumivu makali sana ya mwili. Wakati mwingine maumivu hayo hayahitaji dawa ya Hospital. Maumivu ya wanawake huweza kusababishwa na vitu vingi ikiwemo mawazo tu ya kupata vitu vizuri kutoka Kwa mwenzi wake. Siku ukisikia "mume wangu/Mpenzi naumwa" hatutaki...
  4. min -me

    Kuna maumivu halafu kuna haya maumivu yangu🤔

    Leo nimenyoa ila sioni akitokea , 🤔 napiga simu ananiambia nisubiri tu , hapa dude lina pumulia mipira tu, kama black mamba , huku likifutuka kama cobra 😄 NawZa nipotezee au niilowekee tu , au niipime kwanza halafu niiloweke kibabe mno, kwa hawa wahaya hapa nilipo au ni vunge tu🤔
  5. BIOTOXINS

    Ukweli Mchungu: Mwanaume akifa na kuacha mali, mwanamke halii maumivu ya kifo, analia kupoteza "Boya" na hofu ya majukumu

    Wakuu salama, Leo nataka tuguse ule ukweli mchungu ambao jamii yetu inaukwepa sana, hasa linapokuja suala la misiba ya ndoa zetu za kiafrika. Hivi mshawahi kukaa chini na kuchunguza kwa makini vilio vya wanawake wengi wa zama hizi waume zao wanapofariki? Ukichunguza kwa jicho la ndani kabisa...
  6. K

    Uchambuzi: Siri, maumivu na tiba ya kisaikolojia nyuma ya wimbo "Sexual Healing" wa Marvin Gaye

    Wakuu, habari za wakati huu. Leo naomba tuangalie kidogo upande wa pili wa sarafu wa moja kati ya nyimbo za R&B na Soul zenye mvuto mkubwa zaidi kuwahi kutokea duniani—wimbo "Sexual Healing" wa maestro Marvin Gaye, uliotoka mnamo Oktoba 1982 kwenye albamu ya Midnight Love. Kinyume na maoni ya...
  7. Zack Abdul

    Uzazi Bila Maumivu: Daktari Bingwa Aeleza Epidural

    Daktari Bingwa wa Usingizi na Ganzi Tiba, Lugano Wilson, kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodona anatupitisha zaidi kwenye hduma hii kuanzia historia yake, sababu za kuanzishwa kwa huduma hii ya uzazi, faida yake, malengo ya huduma hii kwa miezi sita ya kwanza na usalama wa huduma hii...
  8. A

    KERO Vyuma vilivyopo barabarani eneo la Waterfront vimekuwa chanzo vya maumivu kwa Watu, TANROADS mbona hamshughulikii?

    Kuna sehemu hapa Arusha ukitoka kwenye Taa za Sanawari kama unaelekea Moshono kwenye diversion ya service road maarufu kama Waterfront karibu na rafiki Juice Bar, kuna vyuma za kutenganisha barabara kuu na service road hazina alama juu ya uwepo wake. Hii sehemu imekuwa chanzo cha kuumiza watu...
  9. Gunner11

    Kifo Chafichua Maumivu

    Kilicho tokea leo ni kielelezo cha maumivu na manung'uniko ya watanzania.. Kifo cha mume wake mama Abduli kimegeuka kuwa ahueni ya wananchi. Kuna namna ambayo watu wamekaa kimya mpaka nilikuwa nadhani labda ni nayehisi maumivu ya October 29, na kutekwa na mauaji ni mimi pekee ila leo kilicho...
  10. O

    Endometriosis Kenya: Maumivu yanayofichwa, gharama zinazobebwa na Mwananchi

    “Period pain ni kawaida.” Kwa miaka mingi, kauli hii imewafanya wanawake wengi kuvumilia maumivu makali bila kujua kuwa huenda kuna tatizo kubwa zaidi linalohitaji matibabu. Simulizi ya Natalie Githinji imefungua tena mjadala kuhusu endometriosis nchini Kenya. Natalie, ambaye amekuwa...
  11. Jannatul Firdaus

    Siri kubwa 2 zilizojificha nyuma ya maumivu ya mapenzi unayokutana nayo

    Watu wengi hukutana na maumivu ya mapenzi. Kila mmoja anakutana nayo kwa namna tofauti. Wapo ambao wanapenda wasipopendwa. Wengine husalitiwa wakiwa ndani ya uhusiano. Wengine huachwa baada ya kuwa pamoja kwa muda mrefu. Kuna watu ambao hawajawahi kabisa kuyafurahia mahusiano. Kila wanapoweka...
  12. Gunner11

    Wazazi wote piteni hapa (miaka 20 ya maumivu)

    Juzi kati baada ya kusoma bandiko la mlevi min -me la kuhusu bintiye na kukosa upendo kwa mama yake, ambaye Wali kuwa separated na kumfanya min kuwa single father, so mtoto kukosa motherly presence ila fanya amchukie.. actually, ile issue ilinifanya nijione ndani yake. Why..? Kwa sababu...
  13. Mshana Jr

    Je unatambua maumivu ya wengine? Je unajali?

    Yanapozidi moyoni inabidi kuyatoa hdharani.. Lakini katika kuyatoa hakikisha unakuwa makini kwakuwa mwisho wa siku inabidi ubaki kuwa wewe! Yatoe lakini kwa tahadhari kubwa kwakuwa privacy yako ni kubwa na ni muhimu kuliko changamoto unazopitia... Ili mwisho wa siku usibaki na majuto yasiyo na...
  14. Panctuality

    Unapopatwa na huzuni, hasira, msongo wa mawazo AU maumivu ya moyo... Tulizo lako ni nini?

    Kila mmoja wetu hupitia nyakati ngumu. Wapo wanaopoteza wapendwa wao, hukatishwa tamaa, husalitiwa, hukosa kazi, hupitia matatizo ya kifamilia au ya kifedha. Wakati huo, kila mtu hutafuta njia yake ya kupata utulivu. Wengine husali na kumtegemea Mungu. Wengine husoma vitabu, husikiliza muziki...
  15. Sifi Leo

    NJIA PEKEE iliyobakia kwa Tundu Lissu KUFIKISHA TAARIFA za maumivu anayopitia ukonga ni NJIA ya kanisa katoliki, je Padri unae msalishaga.

    Moja ya changamoto iliyo ndani ya kanisa katoliki ni kitendo cha sisi waumini kwenda kanisani kusali na baada ya Ibada wale waumini utawanyika na kurudi majumbani mwao. Hali hii ni tofauti sana mathalani kwa WENZETU makanisa ya kilokole wao viongozi wao uwasikiliza waumini wao. Mfano mtu kama...
  16. Zack Abdul

    Vurugu za Zanzibar 2001: Historia ya Maumivu

    👉 Matukio ya vurugu yaliyotokea Zanzibar baada ya uchaguzi wa mwaka 2000 ni miongoni mwa matukio yaliyoacha maumivu makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Mgogoro huo ulitokana na mvutano mkubwa wa kisiasa ulioibuka baada ya matokeo ya uchaguzi kupingwa na baadhi ya wadau wa kisiasa...
  17. monotheist

    Msaada wa kuondoa maumivu ya meno na fizi

    Ninasumbuliwa na maumivu makali ya meno na fizi ila sina jino lolote lililotoboka wala kukatika maumivu hasa muda wa usiku nashindwa kulala ni makali mno maumivu yanaenda hadi kichani na kweye midomo ya juu na chini kama nimepakwa pilipili Je hili tatizo linatibika kwa dawa gani msaada wa...
  18. Cute Wife

    Mtu anakumbuka kosa alilofanyiwa miaka 20 iliyopita sababu mzazi hakumuomba msamaha!

    Kuna namna wazazi huwaona watoto kama hivi hawana hisia au wanaweza kuachilia vitu kirahisi kiasi kwamba anaweza kumfanyia kitu ambacho kitamuumiza na yeye atakibrush tu na kuendelea na maisha yake kama kawaida au hata kama akikubali kosa inakuwa ni ile ya ilimradi. Unakuta umekula mkong'oto...
  19. DogoWaNjombe

    Msichana, kubali kuwa wewe ni M-TAMISEMI, itakupunguzia maumivu kidogo

    Msichana Kubali Tu 😅 Afu weka Mikakati Yako Sawa 🥂 Mtaani kuna mengi yanazungumzwa kuhusu Watumishi wa Umma hasa hawa ndugu zetu wa Ajira Mpya ambao kila siku tunawaona wakilia kuhusu mazingira ya kazi na wengine wakiwemo wale wa Fedha za Kujikimu. Huyu dada Missywear amepost hii kitu huko...
Back
Top Bottom