mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mauaji ya raia wa China yanaendelea kuharibu taswira ya nchi yetu

    Jeshi la polisi lifanye uchunguzi mapema ,tuwahakikishe usalama wawekezaji. Suala la mchina aliyeuawa mabibo Dar ni suala ambalo linaweza kuwapa hofu wawekezaji juu ya usalama wao nchini kwetu na kufanya tukose wawekezaji hasa wa nchi kubwa kama china. Lakini kampuni hizi zisimamiwe kampuni...
  2. Taifa letu lingekuwa na katiba inaruhusu wananchi kumuwajibisha rais haya yote ya utekaji na mauaji yasingetokea

    Katiba ya sasa haifai maana ilitungwa na WanaCCM 22 na haiwapi wananchi madaraka juu ya taifa lao baada ya uchaguzi. Taifa letu linatakiwq liwe na katiba ambayo itawapa mamlaka wananchi kumfuta kazi rais mara baada ya kushindwa kutekeleza majukumu yake. Tuwe na katiba ambayo baada ya rais...
  3. Rio Ferdinand anatuhumiwa anatumika kufanya sportswashing kusafisha na kuyafanya mauaji ya Oct/29 kua halali kwa kupitia michezo

    Rio Ferdinand anatuhumiwa anatumika kufanya sportswashing kusafisha na kuyafanya mauaji ya Oct/29 kua halali kwa kupitia michezo naona mijadala imeanza huko times pia wamepost Reddit watu wanadisciss unajua zile Zama za kuficha ficha mambo zimeisha watu wengi tunaelewa vitu vinavyoenda
  4. Q

    Peter Msigwa: Tawala nyingi zilizofanya mauaji ya halaiki dhidi ya raia wake ziliporomoka

    Historia ya dunia ina mifano mingi ya serikali au tawala zilizohusika katika mauaji ya halaiki dhidi ya raia wao au makundi fulani ya watu. Mara nyingi matokeo yake yalikuwa: • kuporomoka kwa tawala, • majeraha ya kizazi kwa kizazi, • migawanyiko ya kitaifa, • hukumu za kimataifa, • au viongozi...
  5. 518 waliuwa,+ 10,000 waliokamatawa na kusamehewa si wanatosha au Sasa tunatafuta walio ua na walio toa amri ya mauaji?

    Nijibuni swali LANGU bhandungu.
  6. R

    Mke asimulia alivyokabidhiwa Mguu na Mkono wa mumewe aliyeuawa kikatili mgogoro wa Ardhi Rombo

    Kufuatia tukio la mwanaume mmoja aitwae Thomas Silayo, mkazi wa kata ya Tarakea Motamburu wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, kuuliwa na mtu anayedaiwa kuwa ndugu yake, wakati akisubiria muda wa kuanza kikao cha kunyoosha mipaka, kutokana na yeye kushinda kesi ya ardhi iliyodumu kwa zaidi miaka...
  7. Jeshi la Polisi Pwani lawakamata watu wanne kwa tuhuma za mauaji Vikawe

    Kufuatia majukumu ya Jeshi la Polisi kama yalivyoainishwa katika Ibara ya 147 (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sura ya 322 ya Sheria ya Jeshi la Polisi na Polisi Wasaidizi Katika kifungu cha 5 (1), Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linatimiza wajibu wake kuhakikisha Usalama wa...
  8. H

    Kwa Uadilifu wa Warioba, Ikitamkwa Kuna Tume ya Kuchunguza Mauaji ya 29 OCt Itakayoongozwa na Warioba, Kelele za kutaka Tume ya Nje zitapungua Sana

    Siku zote, historia ya mtu, na anavyotenda siku zote, ndiyo hujenga mazingira ya mtu huyo kuaminika au kudharaulika. Ni jambo lililo wazi kuwa watu wengi, hasa waliopo Serikalini, hawaaminiki kutokana na kuonekana kuwa wapo kwaajili ya tamaa ya matumbo yao, hata siku moja hawapendi kuwa wakweli...
  9. Nakataa kuihusisha serikali na mauaji ya Kijana James Temba

    Pamoja na uana Chadema wangu na kupenda haki kwangu ila haya mauaji ya Kijana mdogo mwanafunzi wa IFM Bado nagoma kwenye akili yangu kuyahusisha na serikali au Kisiasa Kijana James Temba hakuwa na threat yoyote Kwa watawala na inasemekana yeye na familia yake ni makada wa CCM Nadhani waharifu...
  10. Mbunge Ujerumani ahoji bungeni mauaji ya Oktoba 29 Tanzania na kesi ya Lissu

    Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliyosema inakiuka...
  11. Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026. Polisi tayari...
  12. SWALI TATA: Maiti za mauaji ya 29/10/2025 ambazo Chande na tume yake walizichunguza Muhimbili zilitoka wapi? Walikwenda kuzifukua walikozizika au?

    Moja ya hoja iliyoibuliwa na CHADEMA wakichambua ripoti ya Tume haramu ya Othman Chande na wazee wenzake walioamua kuuza utu wao kwa kuamua kuwa "wazee wa kutunga uongo" ni suala la wao kujigeuza kuwa madaktari wa kuchunguza Maiti Ili kujua chanzo chake CHADEMA wanasema ktk ripoti ya uchambuzi...
  13. E

    Ripoti ya LHRC yarejea mauaji ya Oktoba 29, yayaita kipindi cha giza

    Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2025 kikiyataja mauaji ya Oktoba 29, 2025 kuwa kipindi cha giza katika ulinzi wa haki za binadamu Tanzania. Mauaji hayo yalifanyika baada ya maandamano kuzuka katika mikoa mbalimbali nchini...
  14. R

    Mwimbaji D4vd akamatwa kwa Mauaji ya binti wa Miaka 14

    Mwimbaji wa Marekani, D4vd, amekamatwa kwa tuhuma za kumuua binti mwenye umri wa miaka 14 ambaye alitoweka mwaka jana. Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 21 alikuwa chini ya uchunguzi na jury kuu baada ya mabaki ya Celeste Rivas Hernandez kupatikana kwenye gari lililosajiliwa kwa jina lake...
  15. Watu 6 wakamatwa kwa kutuhumiwa kumuua Askari Arusha. Walimshambulia wakidhani ni mwizi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu sita kwa tuhuma za mauaji ya Askari Polisi aitwaye Roland Mollel ambaye ni mkazi wa Arusha yaliyotokea Aprili 15, 2026 muda wa usiku. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine...
  16. Mauaji ya mtanzania Wisconsin US miaka ya 90

    Ni miaka mingi imepita tangu hili tukio limetokea kwa kaka kumuua dada yake na kufungwa maisha jela hata baada ya rufaa adhabu haikupungua na hadi sasa anatumikia kifungo. Kwa ufupi mauaji yanahusu kisa cha kusikitisha cha mwaka 1999 ambapo Mwivano Mwambashi Kupaza, mwanafunzi wa Kitanzania...
  17. M

    Pamoja na kukumbukwa kama Muasisi wa SMZ lakini mabaya na mauaji aliyoyafanya Abeid Karume hayawekwi wazi

    Watu walionekana kama wana akili na ushawishi wakati Karume ni rais wa Zanzibara waliuliwa na kuuwawa na utawala wa Karume Mfano ni baba yake na Humud na Kassim Abdula Hanga. Utawala wa Karume ulijaa mauaji na mambo mabaya ya kutisha. Ambayo hayawekwi wazi.
  18. Leo ni siku maalum ya maombi ya kumbukumbu ya mauaji ya kukusudia Oktoba 29, 2025

    Leo, Jumapili, Machi 29, 2026, inatumika kama siku maalum ya maombi na kumbukumbu ya kitaifa kwa ajili ya watu waliouawa, waliojeruhiwa, au kupotea wakati na baada ya matukio ya Oktoba 29, 2025 nchini Tanzania. Muktadha wa Kumbukumbu Hii Tukio la Msingi: Oktoba 29, 2025, ilikuwa siku ya...
  19. K

    Ukosekanaji wa katiba chanzo cha mauaji Oct 29

    Huo ndio ukweli na bila katiba mpya wengi watapoteza maisha maana bila kuondoa haya majanga yaliyopo ya katiba mbaya tusubiri mabaya tu
  20. PostGE2025 Padre Kitima akumbushia matukio ya Oktoba 29 asema 'kesi za uvunjaji wa haki za binadamu hazifutiki'

    Padre Charles Kitima anasema aliyetumwa, aliyetoa mamlaka kupiga risasi akijua kabisa ni kinyume cha sheria atawajibishwa tu ni suala la wakati. Anasema masuala ya kesi za kibinadamu hayafutiki!! Soma Pia: PostGE2025 Padre Kitima: Nilishauriwa na watu nisiende kumzika Jenista
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…