matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Matumizi ya neno "Lugha ya kitaalam"

    Kumekuwa na kasumba kwa baadhi ya wa Tanzania wa kada mbali mbali pale wanapo elezea jambo sasa inapokuja kuli tafsiri ilo neno au msamiati kutoka English kuja kiswahili, au kiswa kwenda Eng utasikia mtu anasema eti kwa lugha ya kitalaam inaitwa. Mfano: Mtalaam wa lishe labda anaelezea...
  2. Malawi kuharibu chanjo 19,000 za Covid 19 zilizopitisha muda wa matumizi

    Mamlaka za afya nchini Malawi zinatarajiwa kuharibu zaidi ya dozi 19,000 za chanjo ya Covid 19 kutoka AstraZeneca baadaye siku ya Jumatano. Wanasema chanjo hizo zimepitisha muda wa matumizi na hakuna data ya kutosha kujua ikiwa ni salama kutumiwa, kufuatia mwongozo kutoka kwa Shirika la Afya...
  3. Mlevi, mzee wa kupiga hesabu baada ya matumizi

    Hakuna siku nzuri kama siku nikiwa natoka kazini huku nikijua kesho yake sintoingia (off), koo huwa inanikereketa sababu ya kiu ya pombe huwa natamani nipae ili niwahi kufika mjini nianze kuzigwida. Mara tu nifikapo town hatua ya kwanza huwa ni kwenye ATM kuvuta mpunga, nikiwa na salio kwenye...
  4. M

    Rais anayetumia ndege na msafara wa watu 30 na anayesafiri kwa barabara na msafara wa Magari 50, ni yupi anabana Matumizi?

    Leo Krav Maga nipo Kiuchumi (Kiubahili) zaidi hivyo nawataka Political and Economic Pundits wa JamiiForums hapa mnidadavulie Kiundani ili nijue nani anauharibu Uchumi na nani pengine ndiyo anaukuza Uchumi. Na tafadhali mtakaokuja Kunichambulia (Kunidadavulia) hapa mnipe Gharama ya Mafuta ya...
  5. J

    Matumizi ya nguvu kwa Askari wa Jeshi la Polisi ni sahihi?

    Katika mazingira ya kawaida askari polisi haruhusiwi kutumia nguvu dhidi ya mtuhumiwa yeyote isipokuwa tu kama mtu huyo anakataa kukamatwa au anajaribu kutoroka Ijapokuwa askari polisi anaweza kutumia nguvu, lakini hayuko juu ya sheria, na iwapo atatumia nguvu isivyohitajika atachukuliwa hatua...
  6. B

    Kuna haja ya kuulizana tena kwanini fedha nyingi huingia kwenye matumizi kuliko Miradi ya Maendeleo

    ANASA ZIMERUDI? Bashir Yakub. Ukumbi wa Mlimani City ukitengwa kwa watu 900 gharama ni Tshs 36,000,000/= bila chakula na vinywaji. Gharama ya dawati moja zuri ni Tshs 80,000/=. Kwa Tshs. 36,000,000/= tunapata dawati 450,000. Kwa dawati linalokaliwa na wanafunzi wawili jumla ya wanafunzi...
  7. Ilikuwa busara kufungia Twitter, kujinaisha (criminalise) matumizi ya VPN na bado unawasiliana na wananchi kupitia Twitter?

    Hilo jambo bado linasumbua akili yangu kuona mamlaka inafungia Twitter, halafu inaweka kuwa kutumia VPN ni kosa la jinai. Halafu yenyewe inatumia VPN kuwasiliana na wananchi ambao hawatakiwi kutumia VPN kuifikia Twitter. Nionavyo mimi, matumizi ya VPN yawe halali kisheria kwa sababu mamlaka...
  8. J

    Mbunge Joseph Kasheku 'Musukuma' amtuhumu Mkuu wa Mkoa wa Geita kutafuna Tsh. Milioni 600

    Amemtuhumu RC wa Geita kwa kutafuta milioni 600. Amelaani mamlaka aliyopewa RC kuamua matumizi ya fedha za Halmashauri. Msikilizeni Musukuma kuanzia dakika ya 3:36 ktk video hapo chini. https://www.ippmedia.com/sw/habari/mbunge-adai-rc-geita-kutafuna-mil-600
  9. Bora Matumizi ya Projector badala ya TV kuangalizia movie

    Wadau kutokana na kuwahi ibiwa Tv zangu za Samsung mara 3 nyakati tofauti tofaut sasa nmeamua kuachana na kununua TV. Sasa nawaza kununua Projector. Naomba ushauri kwa projector ya kufaa kwa ajili ya kuangalizia movie. Nahitaji Full HD, iwe 4K, 3D ,High Resolution. But katika hayo yote naomba...
  10. Matumizi ya ‘Surnames’ ni kitu kipya duniani. Uliletwa kubaini waliokataa kulipa kodi

    Matumizi ya SURNAMES Ni kitu kipya duniani na kilianza kutumika rasmi Mwaka 1066 baada ya Mapinduzi ya Norman Conquest. Hata kwenye vitabu vitakatifu Mtume Mohammad aliitwa kwa jina lake, hata Yesu aliitwa kwa jina hilo. Hata ilipotokea kuitwa YESU wa Nazareth, ilionesha mahali alipotokea na...
  11. Naomba maelekezo kuhusu Induction cooker

    Habari wakuu. Naomba kufahamu zaidi juu ya hili jiko la kupikia. Nipo Mwanza naweza kulipata wapi? Kampuni gani nzuri? Wenye uzoefu wa kulitumia vipi lipo vzuri? Nini hasara zake? Bei yake ipoje (One plate and two plates?) Asanteni.
  12. B

    Mhe. Rais na Mhe Makamu wa Rais mnalinda matumizi mabaya ya Mali ya umma?

    Kama wabunge wasio na sifa wataendelea kulipwa fedha za umma na viongozi wakuu wa nchi wasikemee wala kudhibiti huu wizi wa wazi ni vigumu kupambana na wizi wa mali za umma. Kama mwanasiasa atapewa haki na baraka za Serikali kufuja Mali za umma ni vigumu Serikali hiyo kuadhibu Watumishi wa Umma...
  13. R

    Wanaosajili line za Simu wanalipwa commission kutokana na matumizi ya mteja?

    Habari wakuu, Huwa najiuliza hawa vijana wanaozunguka mitaani wakiuza line za mitandao ya Simu wanafaidikaje? Wanafaidika tu kwa kuuza line walizonunua kwa bei ya jumla au baada ya kumsajili mtu huwa wanapata commission labda kila mwezi kulingana na matumizi ya mteja? Wenye kufahamu tafadhali...
  14. Naona kuna mtu hapa katumbukiza ‘coin’ za laki tatu kwenye kimashine cha mchina na kaliwa zote, haya ni matumizi sahihi ya ubongo?

    Halafu mkiitwa mataahira mtakasirika ================================= Update: ================================== Update:
  15. J

    Je, Serikali ya mtaani kwako hutoa taarifa za mapato na matumizi ya fedha?

    Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa katika vikao husika na kubandika katika mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kwa kila kipindi cha mwaka wa fedha kinapoisha. Ni wajibu wa kila mwananchi kufuatilia taarifa hizo ili kulinda maendeleo...
  16. Bulaya: Kikokotoo kipya cha Mafao ni kibovu na kinawapangia Wastaafu matumizi ya fedha zao

    Mbunge wa Viti Maalum, Esther Bulaya, amesema sio sawa kwa Mtumishi aliyeitumikia Tanzania kwa miaka mingi kumpangia matumizi ya fedha ya fedha yake kwa kumpa asilimia 25 huku asilimia 75 unasema utamlipa polepole. Bulaya amesema Uongozi wa Hayati Dkt. Magufuli ulilazimisha kuweka mfumo mbovu...
  17. New Mexico imekuwa Jimbo jipya kuhalalisha matumizi ya Bangi kwa Watu wenye umri wa miaka 21 na zaidi

    New Mexico imekuwa Jimbo jipya kuhalalisha matumizi ya Bangi kwa Watu wenye umri wa miaka 21 na zaidi baada ya Gavana Michelle Lujan Grisham kutia saini miswada miwili kuwa Sheria. Gavana Lujan Grisham amesema Sheria hiyo ni hatua kubwa kwa Jimbo lake. Bangi inayotumiwa kisheria itabadilisha...
  18. Wakenya wataka kuwepo na uwazi zaidi juu ya matumizi ya mikopo ya IMF

    Fedha zilizotolewa na shirika la Fedha la Kimataifa, IMF, kwa minajili ya kupambana dhidi ya janga la Covid-19 zimezua sintofahamu nchini Kenya. IMF iliidhinisha Aprili 2 msaada wa dola bilioni 2.34 kwa nchi ya Kenya. Kitita hicho kilitolewa kwa minjili ya kuwezesha...
  19. Wahandisi watusaidie: Kwanini Tanzania Matumizi ya Matofali yenye Uwazi Katikati ni Madogo sana?

    Kwa uzoefu wangu mdogo, tofali zenye uwazi katikati (Hollow Cement Block) zinatumika kwa uchache sana. Pamoja na faida zake nyingi, najiuliza ni kwa nini?
  20. F

    CAG asikague mahesabu tu, bali adhibiti mapato na matumizi ya fedha za serikali pia

    CAG ni mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serilali lakini mara nyingi inaonekane GAC anakagua mahesabu ya serikali, lakini hafanyi udhibiti wa matumizi ya fedha za serikali. Kazi ya CAG inapaswa pia kudhibiti jinsi fedha za serikali zinavyotumika, la sivyo naona hatutaondokana na haya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…