matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    Wataalamu wa ardhi waendelea kunolewa katika matumizi ya mfumo wa e-ARDHI

    Wataalamu wa Ardhi Mkoani Singida wameendelea kunolewa katika matumizi ya mfumo wa e-Ardhi, hatua inayolenga kuwawezesha kutoa huduma bora na za kidijitali kwa wananchi. Matumizi ya mfumo huo yanatarajiwa kurahisisha upatikanaji huduma za ardhi, kupunguza usumbufu kwa wananchi na kuongeza...
  2. W

    Hatari ya matumizi mabaya ya mtandao wa majitaka

    Mtandao wa majitaka unapotumiwa vibaya ni kero katika jamii, na chanzo cha magonjwa mbalimbali ambayo matibabu yake ni gharama. Matumizi sahihi ya mtandao huo ni moja ya ustaarabu katika jamii, na huepusha usumbufu kwa watumiaji na wadau wengine, pia mazingira
  3. Parabolic

    Serikali kuimarisha matumizi ya teknolojia usimamizi wa bandari

    Serikali inaendelea kuimarisha matumizi ya teknolojia za dijitali, mifumo ya kisasa ya usimamizi wa bandari na biashara, pamoja na matumizi ya taarifa za kisayansi katika kufanya maamuzi ya kutambua kuwa Uchumi wa Buluu wa kisasa unahitaji wataalamu wenye ujuzi, ubunifu na uwezo wa kutumia...
  4. H

    DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi.

    DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi. ▪️Aagiza magari ya kubeba wagonjwa yawe na mafuta, aonya wanaowachangisha wagonjwa. ▪️Ampongeza Afisa Elimu aliyesimamia shule kuongoza kitaifa. WAZIRI...
  5. Natafuta Ajira

    Ugawaji na matumizi ya mtaji(capital) kwa watoto wako

    Muulize mzazi nini unataka kuwaachia watoto wako utakapoondoka hapa duniani. Mara nyingi majibu huwa sio mageni, nyumba, biashara, ardhi, akiba ya pesa n.k Tunatumia muda mwingi kufikiria kukusanya assets kwa ajiri ya vizazi vyetu vijavyo. Lakini swali la msingi ambalo huwa hatujiulizi. Vipi...
  6. A

    DOKEZO Bodaboda wengi hawajui matumizi ya taa za ‘dabo hazadi’, waelimishwe

    Naomba bodaboda wapewe elimu ya matumizi ya Double hazard lights, asilimia kubwa wanazitumia kama fasheni lakini ndiyo chanzo kikubwa cha ajali. Mfano amewasha hazard halafu yupo mbele na aliyepo nyuma yake hawezi kujua uelekeo wake, ghafla anakunja kushoto wakati huo hajazima hazard, kwa...
  7. Parabolic

    Masauni Ashiriki Kikao Kujadili Afya Ya Udongo Na Matumizi Sahihi Ya Mbolea

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) akizungumza wakati wa kikao kilichokutanisha viongozi kutoka matifa mbalimbali katika Ubalozi wa Uingereza nchini Mongolia. Kulia ni Mwakilishi Maalumu wa Uingereza nchini Mongolia Bi...
  8. A

    KERO Madereva wa Halmashauri ya Mji Kondoa (TC), tunafanya kazi katika mazingira magumu

    Sisi ni madereva wa Halmashauri ya Mji Kondoa, na tungependa kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu changamoto tunazokutana nazo kazini, hususan kuhusu mwenendo wa Afisa Usafirishaji wetu. Unyanyasaji na madai ya kugawana posho: Afisa Usafirishaji amekuwa akitunyanyasa na kututendea isivyo haki...
  9. Megalodon

    Wanasheria na Wazalendo, Mauaji ya Halaiki ya Oct 29 yawekwe kwenye Taarifa Rasmi kwa matumizi ya baadae

    Hizi Records za mauaji ya Oct 29 ni muhimu kuwekwa sawia. Nyakati hubadilika. Kama mnakumbuka kuhusu Nuremberg Trials huko Germany kwa wale Nazi officiers na timu ya Hilter waliohusika na human crimes, ukatili and mauaji ya halaiki walihukumiwa kifo na vifungo vya Maisha . Kwa kuwa mpaka...
  10. Mad Max

    Nilitaka kununua Drone kwa matumizi binafsi, ila mbona gharama ya kulipia ni kubwa kuliko za kununua?

    Ata nchi zilizoendelea wanao huu utaratibu wa kusajiri drones, ila zilizo chini ya 250g haziitaji usajili. Ila hapa lazima usajili ata kama ina gram 5. Gharama zake sasa kwa matumizi binafsi, tena Mtanzania 1. Kuisajiri $100 kwa drone (mara moja) 2. Kuitumia kwa siku $5 au kwa mwezi $100 au kwa...
  11. mlinzi mlalafofofo

    Sofa hii ina matumizi gani?

    Wakuu hii sofa ina kazi gani?
  12. A

    KERO Responded Serikali inahamasisha matumizi ya nishati safi lakini gharama zake zipo juu sana

    Ninaomba kufikisha kero yangu kwa Waziri wa Nishati. Serikali inahamasisha wananchi kutumia nishati safi kama gesi na umeme ili kupunguza matumizi ya mkaa na kulinda mazingira, lakini gharama za nishati hizi bado ni kubwa kwa wananchi wengi. Gesi nayo imekuwa na bei ya juu, mtungi mdogo...
  13. ChoiceVariable

    Sera za Kilimo za Samia zawezesha Ongezeko la Matumizi ya Mbolea kwa asilimia 211% Kutoka Tani 264,000(2021/22) Hadi Tani 1.2 Milioni(2025/26).

    My Take Mkifanikiwa kumvuta Dangote ajenge kiwanda Cha mbolea itakuwa ni big deal sana. Dangote anajenga kiwanda Kikubwa Ethiopia wakati Tanzania ndio food busket wa Africa. https://www.instagram.com/reel/Dbuph__AjA6/?igsh=MTBubnU5NWVpbW9rbg==
  14. Lycaon pictus

    Kuna haja ya kupiga marufuku vyombo vya plastic kwa matumizi ya chakula?

    Chembechembe za plastic(microplastic) ni moja ya vitu hatari kwa afya. Huleta kansa na pia kuathiri hormones mwilini, hasa za uzazi. Chembe hizi hutokea hasa chombo cha plastiki kikipigwa na moto au jua. Kwa kawaida huwa kuna plastic maalumu kwa ajili ya chakula(food grade) ambayo imeonekana...
  15. A

    DOKEZO Madai ya matumizi mabaya ya kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Tarime

    Kuna madai ya matumizi mabaya ya madaraka katika Shule ya Sekondari Tarime yanayohitaji uchunguzi wa mamlaka husika. Inadaiwa kuwa Mkuu wa Shule alipendekeza mwalimu wa Fizikia ahamishiwe shule nyingine kwa madai kwamba utendaji wake darasani ulikuwa duni na alishindwa kumaliza mada. Hata...
  16. Mwizukulu mgikuru

    Ushauri kwenye matumizi ya pesa za mtu...

  17. M

    Naomba sababu kwanini niendelee kutumia mafuta zaidi ya 400K kila mwezi wakati ninaweza kubadili gari itumie gesi ya 60K hadi 100K kwa mwezi

    Tuchukulie mfano wa mtu anayesafiri km 30 hadi 35 kila siku ndani ya mji. Kwa mwezi (siku 30), atakuwa amesafiri takribani km 900. Petrol - 4000 kwa lita Gesi - 1545 kwa Kg Sasa tuangalie upande wa gesi. Kwa gari la CC 1900, mfano Nissan X-Trail, kwa mafuta inaweza kukulamba lita 1 kwa km...
  18. USSR

    Kiluvya: vitisho na matumizi ya nguvu katika ukusanyaji pesa za ujenzi wa barabara Mh Rais Diwani wa kiluvya anakuchonganisha na wananchi wako

    YAH: OMBI LA UCHUNGUZI WA TUHUMA ZA UKUSANYAJI WA FEDHA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA KITONGOJI CHA MAKURUNGE, KATA YA KILUVYA – WILAYA YA KISARAWE Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kwa heshima kubwa, sisi baadhi ya wananchi wa Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya, Wilaya ya...
  19. Q

    Waliopokea pesa za moto CHADEMA waanza kuliwa vichwa

    Hongera Chadema safisha uchafu, msicheke na kima yeyote mtavuna mabua. Chama ni kikubwa kuliko mwanachama, walikuwepo kina Zitto, Mkumbo, akaondoka Mbowe na G55 yake bado chama kinasonga, sembuse hawa vidagaa tena vibichi.
  20. Fbn

    Kwa nini marubani wote duniani wanapenda Ipad katika matumizi ya ndege.

    Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani. Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung. Kashafika level ya kurusha ndege. Wajuzi mtueleweshe maana kila nikipitia youtube ya mambo ya ndege na marubani wote.Kama ambao content creator anaitwa sam...
Back
Top Bottom