matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    SI KWELI Je, Matumizi ya Pampers kwa Watoto wa Kiume Husababisha Uume Kuwa Mdogo?

    Je, madai kwamba Pampers husababisha wavulana kuwa na uume mdogo yana ukweli wowote wa kitabibu, au ni dhana isiyo na msingi wa kisayansi?
  2. WATUMISHI WIZARA YA ARDHI WASISITIZWA KUONGEZA NGUVU UTOAJI ELIMU MATUMIZI YA MFUMO WA e-ARDHI

    DODOMA Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspari Kasperi Mmuya, amewataka watumishi wa sekta ya Ardhi katika Ofisi ya Ardhi Mkoa wa Dodoma na Halmashauri zake kuongeza nguvu katika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi ili kuwawezesha kutumia...
  3. TCRA: Matumizi ya Internet yafikia milioni 64.7 mwezi Juni 2026

    MATUMIZI YA INTANETI TANZANIA YAENDELEA KUONGEZEKA! Idadi ya watumiaji wa intaneti nchini Tanzania imeongezeka kwa asilimia 3.1, kutoka milioni 62.7 mwezi Machi 2026 hadi milioni 64.7 mwezi Juni 2026. Ongezeko hili linaonesha kuendelea kukua kwa matumizi ya huduma za intaneti na umuhimu wake...
  4. Fuatilia matumizi yako na ya nyumbani kwako kidijitali 2027

    Malengo ya kifedha yanahitaji nidhamu ya matumizi ya fedha na kupanga matumizi ya kila shilingi. Ili kufanya hivyo katika dunia ya sasa unahitaji zana za kisasa. Infinity Pesa Tracker ni application inayokuwezesha kufuatilia matumizi ya kila shilingi yako, kuweka malengo na kufuatilia hayo...
  5. Mmuya aridhishwa na utoaji huduma kwa wananchi, ahimiza matumizi ya e-Ardhi

    Aelekeza wananchi kuelimishwa zaidi kuhusu mfumo huo ili wapate huduma za ardhi popote walipo Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ameridhishwa na namna huduma zinavyotolewa kwa wananchi katika ofisi za Kamishna wa Ardhi jijini Dar es Salaam, huku akisisitiza...
  6. Matumizi ya Neno Mkuu JF

    Naona siku za hivi karibuni neno Mkuu limepungua kasi katika matumizi yake ila kwa wakongwe sio geni sana. Matumizi ya neno Mkuu yalikuja kutokana na hulka ya watumiaji wa JF kutotumia majina halisi. Hulka ya kutotumia majina halisi au "fake Id' ilileta kuficha the real identity ya member...
  7. Mnaotuuzia gesi ya kupikia kwenye mitungi kwanini mnatuuzia na mitungi wakati sisi hatuna matumizi nayo?

    Mimi ninahitaji gesi kwa ajili ya matumizi yangu, wewe unaniuzia gesi na mtungi ambao ni mali yako! Una jina lako na siwezi kuutumia nisipokupata wewe! Na hata nikiacha matumizi ya gesi yako eti mtungi unabaki kuwa wangu kwa jina lako! Hii ni dhuluma hanna tofauti na anayekuuzia leo king'amuzi...
  8. Nyerere aliona mbali sana. Huwezi kuwa na shirikisho la sarafu bila kuwa na shirikisho la kisiasa. Akasitisha matumizi ya sarafu ya Afrika Mashariki.

    Huu ukweli Nyerere aliuona mbali sana. EU wanakuja kuuona wameishachelewa na inawatesa sana. Msikilize Nyerere. Aliongea haya 1966 "Kuna badiliko jingine kubwa linalotokea katika mambo ya uchumi wetu, ambalo linahusiana sana na maendeleo yetu. Kesho noti za fedha za Tanzania zitatolewa kwa mara...
  9. X

    Tanzania ni nchi ambayo ukikosa kujiwekea mipaka watu watakupangia matumizi ya muda, nguvu na pesa zako

    How to survive in Tanzania: 1. Sina 2. Sitoweza 3. Sitaki 4. Haitowezekana 5. Sijui 6. Asante 7. Sipo Ukiweza kusimamia hii Utaishi maisha marefu yenye Furaha.
  10. Nakukumbusha , Mungu hana matumizi na Pesa ukitoa sadaka wanapokea watu kama mimi na wewe haiendi mbinguni

    https://www.instagram.com/reel/DIT_D7jt4KC/?dlrf=N3ZpMm5xOHN4OXpp
  11. Tumia App ya Infinity Pesa Tracker Kufuatilia Matumizi yako

    Wakuu nimeunda hii App ya Infinity Pesa Tracker. Inakuruhusu kuunda budget, kuonyesha vyanzo vya ela na pesa iliyoingia, kuweka kila matumizi unayofanya, kuweka malengo ya savingi na kuyafuatilia. Haina matangazo na ni bure kabisa na kila utachoweka kitakuwa backedup kwenye account yako ili...
  12. O

    “Cetirizine Inabana Uke?” Wizara ya Afya Yaonya Wakenya Dhidi ya Matumizi Hatari ya Dawa Hiyo

    Wizara ya Afya nchini Kenya imewaonya wananchi dhidi ya kutumia dawa ya cetirizine kwa lengo la kuboresha tendo la ndoa, kufuatia madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa dawa hiyo inaweza kupunguza unyevunyevu na kufanya uke kuwa mbana zaidi. Akizungumza Jumatano, Novemba 4, 2026...
  13. Wakati wengine wanaona soda na maandazi kama vitu vidogo vya matumizi ya kila siku, mjasiriamali mwenye mipango anaweza kuona fursa ya kujenga

    " Fikiria eneo lenye ofisi, shule, gereji, stendi au shughuli nyingi za biashara. Watu wanapohitaji kifungua kinywa, kinywaji baridi au kitafunwa cha haraka, wanatafuta sehemu iliyo karibu, safi, yenye huduma nzuri na bei inayolingana na uwezo wao. Hapo ndipo biashara ya vinywaji baridi na...
  14. Matumizi haya kwa bando la bukubuku naona naelekea kufilisi biashara ya watu

    Kwa matumizi haya na mshahara wanaonilipa na faida wanayopata, ni bora kuacha kazi nisijekufilisi biashara ya watu.
  15. Mamlaka za upangaji zatakiwa kuepuka mipango ya matumizi ya ardhi kwenye maeneo hatarishi

    Mamlaka za Upangaji nchini zimetakiwa kuepuka kuandaa na kuidhinisha mipango ya matumizi ya ardhi katika maeneo hatarishi, ikiwemo mabonde na maeneo yanayopitisha maji, ili kulinda usalama wa wananchi na kuimarisha usimamizi bora wa matumizi ya ardhi. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...
  16. Nimetengeneza Excel ya matumizi kila siku lakini bado nashindwa kusave! Wapi nakosea?

    Wakuu habari za wakati huu. Naandika uzi huu nikiwa kwenye wakati mgumu wa kifikra kuhusu namna ya kusimamia fedha zangu. Kila nikijaribu kufanya saving (akiba) nashindwa. Sielewi hela naipeleka wapi, na mwisho wa siku hakuna kitu cha msingi cha maana ambacho nimefanya au nimefanikiwa...
  17. Matumizi ya vibao vya plastiki kukatia nyama mabuchani: Je, tunalishwa chembechembe za plastiki bila kujua?

    Kuna jambo ambalo kwa muda mrefu limekuwa likinitatiza kuhusu namna nyama inavyokatwa katika mabucha yetu na maeneo mbalimbali ya biashara ya nyama. Matumizi ya vibao vikubwa vya plastiki kukatia nyama kwa kutumia visu, mapanga na hata mashoka yanaweza kuwa yanahatarisha usalama wa chakula...
  18. KERO Matumizi holela ya Vilipuzi vya kupasua Mawe eneo la Wikichi, Njombe

    Habari JF, Kuna kero kubwa katika Mtaa wa Wikichi, Halmashauri ya Mji wa Njombe, inayosababishwa na wachimbaji na wapasuaji wa miamba ya mawe kwa ajili ya ujenzi. Wachimbaji hao wanatumia vilipuzi kama baruti vinavyosababisha milipuko mikubwa na mitetemo inayofanana na milipuko ya mabomu...
  19. Rushwa na Matumizi mabaya ya fedha za Umma katika ujenzi wa Soko wilaya ya Kaliua. Waacha eneo lililotengwa kwa ajili ya soko, watafuta eneo jipya.

    Halmashauri ya wilaya ya Kaliua chini ya Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Halmashauri wameingia katika mgogoro na Wananchi kwa kuacha maeneo mawili yaliyotengwa kwa ajili ya kujenga Masoko na kutafuta eneo lingine ambalo litagharimu mabilioni ya fedha kulipa fidia kwa wamiliki wa ardhi. Wananchi...
  20. Nimeshindwa matumizi ya Limao, ndimu kwenye supu, ladha inapotea.

    Tanzania karibia kila chakula ukiagiza kinakuja na kipande cha limao. Unaweza hata ukaletewa ugali maharage na kipande cha ndimu au limao. Matumizi ya limao au ndimu zaidi ya kwenye nyama na choma na Samaki wa kukaanga sasa yemenishinda kabisa. Huwa nayatamani sana malimao yanayoletwa na supu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…