Napinga kufutwa kwa adhabu ya viboko shuleni bila kuwepo kwa mfumo madhubuti wa mbadala wa kusimamia nidhamu.
Elimu si haki ya kupata maarifa pekee, bali pia ni malezi, uwajibikaji na kujifunza kuheshimu mamlaka. Tunapozungumzia haki za mtoto, tusisahau pia wajibu wake.
Tatizo halikuwa uwepo...
Katiba ya nchi inatambua uwepo wa Mungu
Na Kwa kuwa Mungu ameamrisha katika Katba yake( NENO) kuwa fimbo itumike Kwa mtoto ili kumuepusha na ujinga uliofungwa ndani yake na kumuepusha na shimo la mauti na ndio sababu zilitungwa kanuni kuruhusu fimbo mashuleni.
Sasa hili la kufutwa adhabu...
Kwasasa serikali kupitia zuio la mahakama kuhusu adhabu ya viboko kwa wanafunzi mashuleni ni tukio gani ulifanya ambalo lilisababisha kugongwa kengele ya dharula kwa ajili yako.
Serikali ilijua hamna mvua ila kuna joto, kwanini waliamuru watoto warudishwe nyumbani mapema?
Kwanini waliamuru nyumba zibomolewa mabondeni na watu wahame?
Hizo bil 739 zinazuiaje joto?
Walimu hasa wa kike mnafosi wazazi wawalipie vikoba vyenu kwa gia ya mitihani ya kila siku. Au hawa watoto wetu siku hizi wamekuwa vilaza? Tofauti na sisi wazazi wao?
Mbona technology imewarahidishia sana hawa watoto wa sasa, material wanapata kwa urahisi sana tofauti na sisi hapo nyuma.
Dotto magari ni sumu ambayo imeshawaingia wazazi na vijana ambao nao mbeleni kwa hali iliyopo sasa ya ziaka kuwa wasomi hawana mafanikio ni hatari.
Hatari ni kama wasomi wanamaliza ni wengi hupatikanaji wa ajira ni mgumu,wakupendeleana na wa kujuwaana.
Hatari hii sasa wazazi wengi na vijana...
Dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Adhabu za Viboko shuleni leo. Nchini Tanzania, baadhi ya mashirika ya haki za binadamu na yale yanayojihusisha na elimu yametoa tamko la pamoja yakisisitiza umuhimu wa kuondoa adhabu hiyo katika mazingira ya shule.
Tamko hilo pia linaungwa...
Ni jana tumeshuhudia wanaojiita wakatoliki feki wakiandamana kuelekea kwa Balozi Mwakilishi wa Baba Mtakatifu Tanzania.
Mungu alivyokua wa Ajabu hata kabla ya Sinema zao kaamua kuwaaibisha, kwa ishara na matendo yao.
Leo walioratibu huo mpango either wanatoka Serikalini au Chama cha Mapinduzi...
“Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu inataka maadili gani ambayo hayatokani na dini?"
"Lakini kupitia uongozi wako (Rais Samia Suluhu)...
Kumekuwa na changamoto mashuleni inayohusu chakula wanachokula wanafunzi kuwa na dawa ya kuhifadhia nafaka.
Hii hutokana na utaratibu mbovu wa kuhifadhi mahindi unaofanywa na baadhi ya shule kiasi kwamba mahindi husagwa yakiwa na dawa na kupelekea kwa shule wanazokula dona au mahindi...
Anonymous
Thread
chakula
elimu
kukagua
maafisa
mashuleni
ombi
shule
wanafunzi
wao
zao
Filamu ya "Dead To Rights," inayohusu Mauaji ya Nanjing wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, imeendelea kutawala katika mauzo ya filamu ya China ya majira ya joto, ikiingiza zaidi ya yuan bilioni 1.5 (kama dola za Kimarekani milioni 210) ndani ya siku 10 tu tangu ianze kuoneshwa Julai 25.
Kwa...
Kuna hili jambo limenikuta. Mwaka jana binti yangu alimaliza kidato cha nne shule ya serikali ambayo ni mchanganyiko wasichana na wavulana, baadae akapangiwa kidato cha tano shule pia mchanganyiko.
Baada ya kupangiwa shule niliamua asome masomo ya ziada kabla. Pamoja na hayo nikampa simu janja...
Watanzania tuamke na tuachane na ile dhana kwamba Elimu ni ufunguo! Wengi wetu tumepotoka kwa kukariri na kubaki kuwanyoshea vidole watoto wanao tega kwenye masomo. Zama zimebadilika! tuko katika nyakati ambazo yale yote tulizani ni kweli sio kweli tena mifumo yetu yote ya kijamii, kiuchumi ipo...
Hali si shwari huko mashuleni ambapo inadaiwa kwa miezi miwili serikali haijatuma fedha za elimu bila malipo . Wazabuni, walinzi na watoa huduma mbalimbali mashuleni wanadai malipo yao huku walimu wakuu wasijue la kufanya.
Disclaimer:
Uzi huu ni mawazo ya mwandishi pekee na wala hauna nia ya kuharibu biashara yoyote ya mtu bali kuelezea jamii kuhusu hatari ya kemikali katika vyakula
Katika pitapita zangu nilikwenda kumpa hai rafiki yangu maeneo fulani hapa mjini, nilipata mwaliko wa sikukuu ya Idd hivyo niliona...
Nashauri kuwe na masomo ya vitendo maalumu kwa jamii pia kwaajili ya kujiandaa na kukabiliana na majanga mbalimbali kama vile moto, mafuriko, matetemeko ya ardhi n.k
kwa mara nyingi masomo ya vitendo vya kukabiliana na majanga pamoja na vifaa vya uokozi huwa vinatolewa kwa asilimia kubwa...
Mara kadhaa Serikali imesisitiza kuwa suala la malipo ya michango ya ziada ni suala la makubaliano kati ya Shule na Wazazi au Walezi wa Watoto, hilo linaangukia pia kwenye suala la chakula kwa Wanafunzi, ambapo utaratibu ulivyo umekuwa kero kwa wengi wetu.
Utaratibu ulivyo kwa sasa kila shule...
Wadau hamjamboni nyote?
Wahamiaji haramu hawana kinga tena wakijificha maeneo hayo kama ilivyokuwa zamani
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Guardian staff and agencies
Wed 22 Jan 2025 00.51 GMT
Share
US immigration authorities will be able to arrest migrants at schools, churches and...
Africa nchi nyingi zimekuwa zikiamini fimbo katika suala la kifundisha watoto/ wanafunzi kwa miaka kadhaa sasa,
Tangu mkoloni aondoke Africa miaka inakaribia 100 sasa bado viboko vimekuwa vikiaminiwa kuwa ni adhabu kwa wanafunzi.
ifiike wakati sasa viboko vifutwe kwa kuwa jamii imebadilika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.