mashirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. and 998 others

    Mashirika 34 ya TZ ya ndege yaliyofungiwa kuingia anga la Ulaya vs Kenya (hakuna hata moja?)

    Tumirogwa? Inaisikitisha sana. Bado tuna watu wanaenda kazini na kupata miposho kama yote? 1. Air Tanzania, 2. Precision Air, 3. Auric Air, 4. Coastal Travels, 5. Flight Link, 6. Regional Air Services, 7. Air Excel, 8. Fly Zanzibar, 9. Grumeti Air, 10. Tropical Air Services, 11. Tanzania Air...
  2. R

    Ushahidi wa mashirika yasiyokuwa na tija, ni ya kufutwa, ni huu hapa

    1. TMA 2. Eti na huyu ni Dr. , PhD holder .......as put by Chief Master of Jalalani , huyu naye katoka k jalalani! Mmebadiri mihura ya shule kuhofia mvua kubwa, mnazibua mitaro kuhofia mvua kubwa, leo linasema El Nino ni joto , mara ilianza mwezi wa tano ....na mavi mengine kama hayo!
  3. mcTobby

    SIASA ZA MAOFISINI ZINAHARIBU TAASISI KULIKO UTENDAJI MBOVU

    Baadhi ya wafanyakazi hawashindani tena kwa kuboresha utendaji wao wa kazi. Badala yake, wanashindana ili wawe karibu zaidi na wakubwa wao. Badala ya kuongeza ujuzi wao, wanajitahidi kujenga uhusiano na watu wenye mamlaka ndani ya taasisi. Badala ya kuleta matokeo mazuri, wanashughulika...
  4. Samia atosha tukutane2030

    Askari wa Mashirika na Taasisi za Umma tuna raha sana

    Magufuli alipoingia alileta unemployment ya kiasi kikubwa sana. Majeshi ambayo ndiyo yalikuwa yakiajiri kwa wingi kutoka JKT hayakuweza kuajiri au yaliajiri kwa number chache sana. Kuficha aibu akaipa promo SUMA JKT ili ichukue vijana wanaotemwa JKT wakalinde ofisi za umma kwa ujira kiduchu...
  5. Zack Abdul

    Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma (C-CEOs Forum) 2026

  6. R

    Ni mashirika gani ya Umma hayana tija yanafaa kufutwa

    1. TMA (Tanzania Metrology....) What does A stand for) 2. TTCL 3. .....endelea Na haya yalitoa gawio la Samia?
  7. A

    DOKEZO Mashirika na Taasisi jengeni Shule za Sekondari za kutwa. Kutakuwa na uhitaji mkubwa Dodoma

    Mashirika hasa ya dini kama KKKT na RC pamoja na wawekezaji binafsi watusikie Wazazi wa Dodoma. Dodoma kuna uhitaji mkubwa sana wa Shule bora za Sekondari za kutwa, kwa sababu Mwakani 2027 Watoto watamaliza shule ya msingi wakiwa wadogo wengi katika wastani wa miaka 10 mpaka 11. Hivyo, wazazi...
  8. Mshana Jr

    Salam za Idd toka mashirika mbalimbali

    Vodacom inakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA EID EL-FITRI!
  9. R

    Mashirika ya kufuta ambayo ni useless

    Haya ni useless, rubbish, zero service to the people. Yanamilikiwa na watu binafsi. Yapo mengi ongeza 1. TMA 2. TTCL 3. IKULU 4.JWTZ 5. POLISI 6. INEC, 7. Takukuru, 8. ofisi ya msajili wa vyama vya siasa 9. ccm ONGEZA
  10. Kijukuu cha Tanzania

    PostGE2025 Mashirika ya Haki za Binadamu yalivyokumbwa na changamoto wakati wa Uchaguzi wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025

    Mashirika ya haki za binadamu nchini Tanzania, yakiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), yalikumbwa na changamoto za kiutendaji na kiusalama wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika...
  11. R

    Kichaa Trump kajitoa mashirika ya UN, akija mwingine say kutoka Democrats, anayarudisha!

    Let us wait and see baada ya miaka 3 iliyobaki ya Trump!
  12. Dalton Elijah

    Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa

    Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia njema. Wizara ya mambo ya nje ya Uhispania ilisema raia wake watano, akiwemo raia mmoja aliye na...
  13. S

    Mashirika ya uma kwa sasa yaige utendaji bora na ufanisi wa Tanesco

    Utendaji wa sasa wa wafanyakazi wa Tanesco katika kushughulikia dharura za umeme zinapotokea, kwa kweli zinatufurahisha wateja kwani ni za haraka na za ufanisi mno.Sijajaua nani aliyeleta mwamko huu katika shirika hili la umma amblo mwanzoni zilikuwa haziridhishi. Ila kama ni ujio wa mtendaji...
  14. Q

    NGOs 30 za kimataifa zimeliandikia Baraza la Haki za Binadamu UN kuitisha kikao Maalumu kuzungumzia hali inayoendelea Tanzania

    Kufuatia matukio ya kikatili yaliyofanywa na mamlaka ya Tanzania kwa maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi wa rais na wabunge wa tarehe 29 Oktoba 2025, mashirika ya kiraia yanaitaka jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua ili kuzuia unyanyasaji zaidi. Katika barua iliyotolewa leo, mashirika 30...
  15. Genius Man

    PostGE2025 Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia

    Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia. Tulieema ni kesi za uongo wanachochea moto wakifikiri wanauzima na kutafuta vitisho kumbe wanatutia hasira.
  16. Think2

    GE2025 Mashirika ya haki za binadamu yatilia shaka uchaguzi mkuu Tanzania

    Chazo cha mitandao kuzimwa nchi ni kuwa mashirika ya kutetea haki yameikandamiza serikali kuhusu uchaguzi usiohaki. Kufika kesho mitandao yote iliobaki itazimwaaa kbs. Vituo vya kupigia kura vitafunguliwa saa 12 asubuhi !! Hahaha aya huon muda mimi nitakuwa nimelala
  17. M

    Hamas walijipenyeza hadi mashirika ya UN, Maandamano yapo

    CCM wanaotaka maandamano wako hadi kamati kuu... Mwaambieni Msando hana uwezo wa kuzuia kinachokuja mbele
  18. C

    Ijue Google Ad Grant kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali

    Katika dunia ya sasa ya kidijitali, mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yanahitaji mbinu bora za kuwafikia wadau, wafadhili, na jamii kwa ujumla. Moja ya fursa kubwa ambazo mara nyingi hazitumiki vya kutosha ni Google Ad Grant. Google Ad Grant ni mpango wa Google unaotoa matangazo ya bure ya...
  19. Dennis Robert Shughuru

    Bodi ya wakurugenzi kwenye mashirika ya umma wawepo hata foreigner ili kuongeza ufanisi

    Kwa mda mrefu sana bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma zimekuwa ni sehemu za watu kumalizia uzee nikimaanisha zimekua ni sehemu za wale walio-staafu serikalini wanachaguliwa kwenye hizi board Sio sawa Bodi za wakurugenzi wa mashirika ya umma iwe sehemu ya kumalizia uzee Sina nia mbaya...
  20. Tanzanians

    Nafasi za ma-ceo kwenye mashirika ya umma watakuwa wanafanyiwa interview ngumu sana na sio nyepesi

    Nafasi za ma-ceo kwenye mashirika ya umma watakuwa wanafanyiwa interview ngumu sana na sio nyepesi
Back
Top Bottom