masheikh

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Masheikh wa uamsho ni wakati sasa kuwakumbumbusha watawala

    Sheikh Mselemo alipofungwa alifiwa na mtoto wake, wakati ule Magufuli na ukatili wake wote alimruhusu alienda Zanziber kumzika mwanawe,kinachoshangaza hii leo Lisu kanyimwa hiyo haki ya kumzika kakayake? Inasikitisha na hii ilitakiwa iwe Headline ya magazine yote kuweka kumbukumbu sawa.
  2. Yoda

    Midahalo ya Wahubiri Wakristo na masheikh Waislamu huwa myepesi sana, sasa ingefaa iwe na Atheists.

    Hii midahalo ya Wakristo na Waislamu ya tangu enzi za Mkapa huko Mwembechai mpaka siku hizi online huwa myepesi na hoja nyepesi pamoja vituko tu zaidi. Hata midahalo dhidi ya Wasabato na wanaobishania utatu au nafsi moja kati ya Wakristo nayo ni dhaifu sana iliyopooza. Sasa hivi inatakiwa...
  3. M

    Kumkumbatia Mwanamke aliyeko Eda imekaaje hii Masheikh!?

    Bila shaka Eda na Udhu vinaenda sambamba! Mimi sio muislam niko tayari kuelimishwa. Je mwanamke aliyeko Eda kukumbatiwa na mwanaume inaswihi!?
  4. Allen Kilewella

    Sheikh Walid na Al had Mussa warushiana maneno kuhusu kumiliki Bastola

    Akihutubu kwenye msikiti wa Kichangani. Sheikh Walid ameshangaa inakuwaje sheikh anaingia msikitini na Bastola 👇 Hapa Sheikh Walid anashangaa inakuwaje sheikh anakuwa na bodyguard na Bastola. Lakini hapa chini Al Had Mussa akajibu kuwa sheikh kumiliki Bastola ni Sunnah 👇 Kwa maoni yako yupi...
  5. loose Nut

    Masheikh na viongozi wa kiislamu nchini Bangladesh wakasirishwa na kulaani Messi na Argentina kushabikiwa

    Masheikh na viongozi wa dini ya kiislamu Bangladesh wamekasirishwa na kulaani kwa wimbi kubwa la wa Bangladesh kumshabikia Messi na timu ya taifa mpira Argentina kama wehu. Viongozi hao wamechanachana bendera za Argentina ambazo zimezagaa mitaani na kuwakumbusha Allah pekee ndio wa kutukuzwa...
  6. Yoda

    Masheikh wajitokeze kukemea vitendo vya Sheikh Mwaipopo kumiliki vikundi vya mapigano

    Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.
  7. M

    Barua ya wazi kwa Mufti na sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusu tabia ya kutukanana kwa baadhi ya masheikh mitandaoni

    Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania Na: Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam SOMO: WITO WA KUDHIBITI TABIA YA KUTUKANANA NA KUDHALILISHANA MITANDAONI KWA BAADHI YA MASHEIKH. Assalaam alaikum warahmatullahi wabarakatuh, Nawasilisha barua hii nikiwa kama mmoja wa Waislamu anayejali kwa dhati heshima ya...
  8. BigTall

    Arusha: Masheikh 8 kati ya 12 waachiwa huru, walipotoka nje wamekamatwa tena na Polisi, haijulikani walipo

    Kuna tukio lililotokea mkoani Arusha, leo Juni 5, 2026 ambapo masheikh 12 waliokuwa wanashikiliwa gerezani walifikishwa mahakamani. Inadaiwa kuwa kati yao, masheikh 8 waliachiwa huru na mahakama, huku wanne wakirejeshwa gerezani. Hata hivyo, baada ya wale wanane kutoka nje ya mahakama...
  9. R

    Viongozi wa dini, masheikh hasa, Maaskofu, Statesmen wote wameshindwa kumwambia /kumshawishi Samia kumwachia Lissu kwa sababu hana hatia!

    Ina maana kweli Samia hana anayemheshimu? Nakumbuka Nyerere alipomuweka ndani Mshelisheli aliyesema serikali ameiweka mfukoni, walikuja watu kumuomba Nyerere amsamehe, akakataa! Akaja Askofu Makarios wa Cyrus. Nyerere akasema huyu siwezi kumkaidi. Akatoa sharti. Kuwa aondoke nchini nikimuachia...
  10. Yoda

    Kwanini masheikh wa Iran hawawakemei Waislamu wafanya maandamano?

    Iran kuna Baraza la maulamaa la Ayatollah linaloitwa Guardian Council na masheikh viongozi mbalimbali wa kidini ila mpaka sasa hakuna masheikh wowote waliothubutu kujitokeza kuwasomea watu vifungu vya Quran na Biblia kuwasisitiza Uislamu ni dini ya amani na kwamba amani ni muhimu zaidi ya Haki...
  11. BIG BROTHER ALEX

    Unasherehekea Maulid unakesha na kucheza, unakuja kununa kwenye Christmas

    Sioni sababu ya kuita press kulalama eti Chrstmass ni haramu Hapohapo ikitajwa Maulid unaona ni sawa Ogopa sana akili ikikaa kishabiki, utakufuru bure, Huamini dini yao kiherehere cha kupinga sikukuu yao unatoa wapi?
  12. Yoda

    Masheikh wanaokataza waumini wao Waislamu kusherehekea Christmas katika nchi kama Tanzania hawafikiri vyema na wana matatizo.

    Sikukuu ya Christmas mwaka huu imekuja na jambo la ajabu na la hovyo sana la masheikh wengi kuharamisha katika umma kupitia vyombo vya habari kwa ukubwa sana waumini wa Kiislamu kutoshiriki Christmas na Wakristo, hawa masheikh kwa vyovyote vile sidhani kama wanaelewa wanachokifanya na kwa hakika...
  13. Yoda

    Kwanini masheikh wa BAKWATA hawasapoti demokrasia, utawala bora na haki nchini?

    Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu? Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki...
  14. J

    Wakati Nchi za Magharibi wakijiandaa na Christmas, Masheikh wa huko waamua kuivuruga

    Uislamu umevamiwa na Maislamists ambayo yanaongozwa na Katiba na Mikakati ya Muslim Brotherhood (MB). Hawa jamaa hawana interest ya kuwafikisha waislamu Ahera, bali wao interest yao ni Islamic Conquest ya Jamii nyingine ambazo si za Kiislamu. Aidha, hatima ya yote wanataka kusimamisha Dola ya...
  15. Hepatis B

    Masheikh Hili litapita Hila Heshima Yenu Haitarudi

    Masheikh kiukweli mnaona mnaitetea Serikali na mnaamini hili likipita serikali itawalipa shukrani. Ukweli ni kwamba mmewaweka waislam mahali pagumu sana. Imani yetu kwenu inapotea kila kukicha. Naamini sasa mbingu ni kujipigania mwenyewe hamna sheikh anaweza kukuongoza kuiona mbingu wengi wapo...
  16. adriz

    PostGE2025 Uchambuzi: Je, MaSheikh wapo sawa kutounga mkono maandamano kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu?

    Moja kwa moja.. Kumekuwa na hoja miongoni mwa watu kuwa viongozi wa dini wa Kiislamu hawatetei haki wapo nyuma katika yale yanayoendelea nchini au wamepewa posho . Sasa nataka nichambue na tujadiliane wote kistaarabu kutokana na uelewa wangu wa kidini na kiulimwengu kutoka na hoja hizo...
  17. mshale21

    Je, Hili wimbi la masheikh linalohamasisha kuua watanzania wenzao lishughulikiwe vipi?

    Kulingana na matamko ya mashekh wanaohamasisha vurugu, uvunjifu wa amani na kutishia usalama wa nchi, nini kifanyike?
  18. Mbabani

    Masheikh mliolopwa posho huu inawahusu

    Bonus: Mgodi wa GGML kufungwa December 05. Mwanakulitafuta... Nitamrekebisha shekh aliesema watu watakatwa (vichwa) na kuzungumzia wakristo kama ndio njia ya ukosefu wa amani Hakuna shekhe, kiongozi, au mtu yeyote aliyepewa ruhusa na Allah kusimamisha uhai wa mtu au kukataza jambo kwa kutumia...
  19. N

    Kwa heshima na taadhima nawaita BAKWATA, TEC, KKKT, Wasabato, Manabii, Waanglikana na masheikh tujadili hotuba hii ya Mwalimu Nyerere

    Nawaomba sana ndugu zangu tusikilize hotuba hii kwa makini ili tuweze kujadiliana vizuri.
  20. Bani Israel

    Uislamu unamkataa Sheikh aliyehamasisha kukata vichwa. Masheikh wenzie walaani

    Naituma kama nilivyoipokea kutoka jukwaa la masheikh. Nitamrekebisha shekh aliesema watu watakatwa (vichwa) na kuzungumzia wakristo kama ndio njia ya ukosefu wa amani Hakuna shekhe, kiongozi, au mtu yeyote aliyepewa ruhusa na Allah kusimamisha uhai wa mtu au kukataza jambo kwa kutumia njia ya...
Back
Top Bottom