masharti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kenya yajibu marufuku ya Uingereza kwa kuwawekea raia wa nchi hiyo masharti

    Kenya imejibu marufuku ya Uingereza kwa kuwawekea raia wa nchi hiyo watakaowasili sharti la kuwa karantini kwa siku 14. Raia wa Uingereza watakapokuwa wamejitenga, watahitajika kupimwa ikiwa wamepata maambukizi ya virusi vya corona au la mara mbili siku ya pili na ya nane wakiwa karantini kwa...
  2. Makinika na masharti ya waganga wa kienyeji

    Kisa cha wanandoa walioachanishwa kisheria wiki hii baada ya kuishi pamoja kwa miaka 21 kimenitafakarisha sana... Tatizo sio kuachana bali ni sababu za kuachana Mwanaume hakuwa na korodani (lugha isiyovaa nguo korodani ni pumbu) hizi ndio kiwanda cha manii zinazoleta malighafi ya kuumba watoto...
  3. Wakenya washinikiza kuondolewa kwa masharti ya kuzuia corona

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Sisi Huku kanuni yetu NI ile ile. Ukifa unazikwa tunaendelea na maisha
  4. Spika Job Ndugai: Kutokana na masharti ya Mradi wa Bandari Bagamoyo, ni sahihi Serikali kuusitisha

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amebadilisha msimamo wake kuhusu ujenzi wa mradi mkubwa wa ukanda maalumu wa kiuchumi wa Bagamoyo (Bagamoyo SEZ) mkoani Pwani akisema awali yeye na wabunge wenzake hawakuyajua masharti ya mradi huo bali waliangalia tu faida zake. Kauli ya Ndugai imekuja ikiwa ni siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…