masharti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    Hoja ya kubadilisha shtaka chini ya Kifungu cha 319 cha CPA inahitaji kuchunguzwa pamoja na masharti ya haki ya kusikilizwa na kujitetea

    Wasalaam Wakuu Kuna jambo ambalo linahitaji mjadala mpana kuhusu hukumu iliyotolewa dhidi ya Tundu Lissu. Uamuzi wa hukumu ya kesi ya Tundu Lissu unaacha maswali mengi ya msingi kuhusu tafsiri ya sheria, haki ya kusikilizwa na uhuru wa kujieleza katika nchi inayojitambulisha kama demokrasia...
  2. O

    Serikali yasitisha usafirishaji wa Parachichi Nje ya nchi kwa Meli. Yatoa masharti mapya kwa Wafanyabiashara wa Maembe

    Mamlaka ya Kilimo na Chakula nchini Kenya (AFA) imetangaza kusitishwa kwa usafirishaji wa parachichi kwenda katika masoko ya kimataifa kwa njia ya bahari kuanzia Ijumaa, Oktoba 30, 2026, huku ikiweka masharti mapya kwa wafanyabiashara wanaosafirisha maembe nje ya nchi. Katika taarifa...
  3. USSR

    Hii ndio dini number moja kwa masharti magumu zadi duniani

    Kwenye ulimwengu ambapo kila dini inahubiri utakatifu na maisha ya ucha Mungu, kuna imani moja kutoka nchini India inayovuka mipaka yote ya akili ya kibinadamu—Ujaini (Jainism). Hii si dini ya kawaida; ni nidhamu ya kiwango cha juu cha kiroho ili uweze kuwa mtakatifu kweli. Wajaini wana fuata...
  4. Waufukweni

    Makonda: CRDB na NBC zimeshusha riba ya mikopo kwa wasanii kutoka 9% hadi 7%, baadhi ya masharti yameondolewa

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa Serikali kupitia Mfuko wa Waandaji wa Maudhui (Content Creators) imefanikiwa kushirikiana na benki za CRDB na NBC kupunguza kiwango cha riba ya mikopo kwa vijana na wasanii kutoka asilimia 9 hadi asilimia 7. Makonda...
  5. Funny boe

    Wazee wa maelekezo, wazee wa kufuata masharti, wakulumbembe, wakubwa, waamini asili, waganga wa kienyeji: Mnaitwa hapa

    Hivi kweli hizi dawa za kuoga zinaweza kuleta maajabu au matokeo yoyote mtu anapotumia kwa kuzioga mfano kama kusafisha nyota n.k au ndo unaweza hata kuoga bahari zote mpaka zikaisha ila mambo yakawa vile vile Kwa wazoefu tu, karibuni.
  6. O

    Mgeni Anataka Kufanya Kazi Kenya? Hivi Ndivyo Work Permit Inapatikana, Gharama na Masharti Yake

    Katikati ya mjadala unaoendelea kuhusu wageni wanaofanya kazi na biashara nchini Kenya, swali moja muhimu limejitokeza: Mgeni anapata wapi ruhusa ya kufanya kazi Kenya, na anahitaji nini? Kwanza, kuruhusiwa kuingia Kenya hakumaanishi moja kwa moja kwamba mtu ameruhusiwa kufanya kazi au...
  7. AXIOM APEX VERBOSE

    Hata km ni masharti ya Mganga msifanye hivi

    Leo naomba niongee na mama zangu na dada zangu. Kwanza nawapa heshima zenu wadogo marhaba na wakubwa habarini za sahizi. Sasa kuna hili suala nimeliona leo kwenye usafiri wa umma nimeona nilitolee neno kidogo. Sitaingia moja kwa moja kwenye masuala ya shirki ila hata km kujisahau msijisahau...
  8. Frank Wanjiru

    Wakili Madeleka aachiwa huru bila masharti

    Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka, ameachiwa jioni ya leo, Agosti 17, 2026 bila masharti yoyote. Akizungumza na NipasheDigital, kwa njia ya simu muda mfupi uliopita, Wakili na Mwanaharakati wa Haki za Binadamu, William Maduhu, amesema Madeleka ameachiwa bila masharti na kwamba hana tuhuma...
  9. O

    Muswada Mpya Waweka Masharti Makali kwa Wanaotaka Kufungua Shule Kenya

    Muswada wa Sheria ya Elimu ya Msingi, 2026 unapendekeza masharti mapya na makali kwa watu au taasisi zinazotaka kuanzisha na kuendesha shule za msingi na sekondari nchini Kenya. Kwa mujibu wa muswada huo, mwombaji atalazimika kuwasilisha ombi kwa County Education Board, ambayo itatathmini iwapo...
  10. O

    Mswada Mpya Waweka Masharti Makali kwa Wanaotaka Kufungua Shule Kenya

    Muswada wa Sheria ya Elimu ya Msingi, 2026 unapendekeza masharti mapya na makali kwa watu au taasisi zinazotaka kuanzisha na kuendesha shule za msingi na sekondari nchini Kenya. Kwa mujibu wa mswada huo, mwombaji atalazimika kuwasilisha ombi kwa County Education Board, ambayo itatathmini iwapo...
  11. D

    Pre-Session Meeting ya tarehe 05 Agosti 2026 - Ni mwanzo kwa ATL kuwa Huru na Masharti ya Common Wealth Kufuatwa???

    Mnamo tarehe 31 Julai 2026 Mahakama Kuu umetoka barua yenye kichwa cha habari Pre Meeting Session kuhusiana na kesi ya ATL. Je, huu ndiyo tutegemee DPP akisema Hana nia ya kuendelea na kesi hii ya Uhaini na baada ya hapo kumuona Mh. ATL akikaribishwa Ikulu kupiga picha na Namba 1??? Je...
  12. A

    HOJA Hivi haya masharti ya Bodi ya Ithibati ni kwa Media za Dar na zile kubwa pekee?

    Baadhi ya mikoa naona kama bado usimamizi upo chini kumekuwepo na baadhi ya Vyombo vya Habari vinavyoajiri watu wasio na sifa husika kwa kuwa tu wanajua watawalipa kiasi kidogo cha fedha. Wale wenye sifa stahiki inaonekana kama watakuwa na gharama kubwa, na kwa kuwa Wazee wa JAB wenyewe ni kama...
  13. S

    Ni ujinga kwa Watanzania kushangilia msaada wa afya wa USA wa USD 1.3b bila kujua masharti yake yote; Zambia, Ghana, na Zimbabwe wayamekataa!

    Hivi karibuni, kumekuwa na ushabiki wa kipumbavu sana, hasa kutoka kwa wakereketwa wa CCM, pale waliposikia USA wataipatia Tanzania msaada wa huduma za afya wa USD 1.3 ndani ya miaka mitano ijayo. Sasa hawa wenzetu wasio na uwezo wowote wa kufikiri wameshangilia sana kusikia hili, hata wakibeza...
  14. A

    Trump Kainua Bendera Nyeupe Kama Kweli Kakubali Masharti Haya ya Iran

    Masharti ni haya yafuatayo 1 Aondoe sunction zote za Iran na aondoe maheshi yake karibu na Iran 2 Wasimamishe vita mpaa Lebanon (mimi naona hapo Israel akijidai mbabe wamwachilie Iran amtie adabu Israel hahaha) 3 Wasingile mambo ya ndani ya Iran 4 Waondoe sunction ya baharini 5 HORMUZ...
  15. R

    USHAURI KWA RAIS SAMIA: To soften the International stance against you and your cronies, mwachie Lisu bila masharti

    Pamoja na kuwa bado utakuwa na kibarua kigumu kuhusu yaliyotokea October 29th 2025, bado unaweza kuonesha remorse and a road to a fresh start kwa yaliyotokea 29th October 2025 kwa kumwachia Lisu as a good gesture to a road to truth, accountability and finally reconciliation. Hao wanaokushauri...
  16. Ritz

    Iran Yakataa Masharti ya Marekani Kuhusu Fidia:

    Wanaukumbi. 🇮🇷 Iran Yakataa Masharti ya Marekani Kuhusu Fidia: 🇮🇷 Iran yasema Marekani haiwezi kuamua fidia ya kifedha kwa upande mmoja katika makubaliano yoyote ya amani. Tehran inadai: Kuondolewa mara moja kwa mali zote za Iran Kuondolewa kabisa kwa vikwazo vya mafuta 🇮🇷Iran inaweza kupata...
  17. cacutee

    Mapenzi na masharti vinaendana? Mkishanijibu tu narudi

    Guys Natumaini kila mtu yuko salama. Naomba kuuliza tu kwamba ni sawa kuwa na mahusiano ambayo kuna masharti .... Kwamba ili uhusiano uwepo lazima usifanye ABC.... Na ili uwepo lazima ufanye ABC...otherwise get lost. Hivi huwa yapo hayo au Mimi ndio sielewi.
  18. Ritz

    Iran yasema hakuna mbadala wa kukubali masharti yake ya kusitisha vita na Marekani

    Wanaukumbi. Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, amesema hakuna njia nyingine isipokuwa kukubali haki za wananchi wa Iran kama zilivyoainishwa katika pendekezo la vipengele 14 lililowasilishwa na Tehran. Kauli hiyo ilichapishwa Jumatatu jioni kupitia akaunti yake kwenye mtandao wa X...
  19. M

    Kwa masharti na stress hizi utazopitia, Utajiri wa ndagu ni heri kuwa masikini tu

    Kumchizisha ndugu yako awe ndondocha, kila siku unaporudi unajijua wewe ndio chanzo chake kuwa chizi Kumuua mzazi wako, mtu aliekuleta duniani umemtoa duniani anatumika kama msukule. Kumuua mtoto wako, damu yako umeitowesha duniani kwasababu ya tamaa yako ya pesa. kukatazwa kusaidia ndugu...
  20. M

    Swali kwa wanaharakati. Masharti anayopewa Iran kama Tanzanian watayakubali?

    Asiwe na silaha Asiwe na nyuklia Asiwe na rafiki Huku wao vyote wakiwa navyo na wanataka waviongeze zaidi.
Back
Top Bottom