Kila asubuhi kabla ya jua kuchomoza, Herry Msese huwa anaendesha daladala yake na kupita mitaa yenye shughuli nyingi ya Dar es Salaam, Tanzania, akiwasafirisha abiria wengi katika barabara yenye msongamano mkubwa.
Hata hivyo, katika wiki za hivi karibuni, mafuta yamekuwa yakimtia wasiwasi...