The Eastern Province (Swahili: Mashariki) of Kenya was one of 8 Provinces of Kenya. Its northern boundary ran along with that of Ethiopia; the North Eastern Province and Coast Province lay to the east and south; and the remainder of Kenya's provinces, including Central Province, ran along its western border. The provincial capital was Embu.
Wabunge wapya wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki waliopigiwa kura hivi karibuni na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao ni Ndugu Kambarage Wasira, Fatma Kange na Cosato Chumi, wameapa leo 01 Juni 2026 wakati wa kikao cha Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) kuanza shughuli...
TAARIFA KWA UMMA
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa iliyochapishwa kupitia ukurasa wa JamiiForums tarehe 01/06/2026 kuhusu maunganisho ya huduma ya maji Mbae Mashariki.
Hoja ya Mdau ~ Wakazi wa Mbae (Mtwara Majini) tumeomba...
Mkoa wa Mtwara, Mamlaka ya Maji Safi na Taka (MTUWASA) wakazi wa Mbae Mashariki, Manispaa ya Mtwara Mjini tumeomba tuunganishiwe huduma ya maji kwa muda mrefu bila mafanikio.
Pamoja na juhudi za kuandika barua kwa Mkurugenzi wa MTUWASA hatujawahi kujibiwa, yapata miaka minne sasa (toka 2022)...
Anonymous
Thread
kilio
kimya
maji
majini
mashariki
miaka
site
wakazi
Picha za satellite za Iran zilionesha uharibifu mkubwa na hasara kubwa sana Marekani ilipata kutokana na kipigo Cha Iran kilichofanywa katka makambi (bases) za Supapawa Marekani huko mashariki ya kati.
Makambi mengi yalipigwa, na ndani ya makambi hayo yalikua ni Kambi za ndege,meli,rada...
KENYA KAMA “TROJAN HORSE”? VITA VYA DATA, TABIANCHI NA UTAWALA MPYA WA KIDIJITALI AFRIKA MASHARIKI
Katika karne ya 21, vita havitangazwi tena kwa mizinga pekee. Havianzi kwa ndege za kivita wala askari kuvuka mipaka. Vita vya leo vinaanza kwa “ushirikiano wa kisayansi,” “miradi ya maendeleo,”...
Tanzania tuna LNG project yenye potential ya kubadilisha uchumi wa taifa kwa kiwango kikubwa sana, halafu watu wanataka tuwe desperate kwa sababu Dangote anaweza kwenda kujenga refinery Kenya? Tanzania tayari ina:
🇹🇿LNG project,
🇹🇿EACOP
🇹🇿Bandari za kimkakati
🇹🇿SGR
🇹🇿matenki ya mafuta...
https://m.youtube.com/watch?v=sYN-FCrYapU
Watoa waraka mzito kulaani matamshi ya hivi karibuni kuhusu kuwashughulikia raia wa Afrika ya Mashariki watakaotumia uhuru wao kupinga tawala
Hii inakuja baada ya Samia Hassan kuchagiza kuwa lazima kuwepo na mikono ya sheria ya serikali haramu...
Kuna hii barabara ya kutoka Kisemvule stendi kuja Mpera mashariki ni mbovu mpaka inapelekea nauli kuongezeka.
Pindi mvua zikinyesha barabara inapitika kwa tabu.
Anonymous
Thread
barabara
hii
kuongezeka
kutoka
mashariki
mbovu
mpaka
mvua
nauli
stendi
Habari mbaya sana kwa watetezi wa Magaidi wa Iran
Kwa mara ya kwanza, Amri Kuu Central-Command ya Marekani inaomba kupeleka Mifumo ya kombora jipya la hypersonic la Marekani, Dark Eagle katika Mashariki ya Kati, kwa ajili ya matumizi katika eneo la Iran hasa kwenye vituo vya ki Nuclear na miji...
Nyani akimaliza miti huingia mwilini. Kumekuwepo na ongezeko kubwa la vitendo vya chuki dhidi ya wakristo na ukristo hususan Lebanon na Palestina.
Baada ya kulivunja sanamu la yesu Kristo, juzi myahudi mmoja alionekana akimshambulia mtawa wa kikristo katika jiji la Jerusalem, bila ya kua na...
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegsett ametangaza katika mkutano na wajumbe wa Congress kwamba kujenga upya hifadhi za silaha za Marekani, ambazo zimepungua kufuatia vita na Iran na migogoro mingine ya kijeshi katika miaka ya hivi karibuni, inaweza kuchukua "miezi hadi miaka," kulingana na...
Kila asubuhi kabla ya jua kuchomoza, Herry Msese huwa anaendesha daladala yake na kupita mitaa yenye shughuli nyingi ya Dar es Salaam, Tanzania, akiwasafirisha abiria wengi katika barabara yenye msongamano mkubwa.
Hata hivyo, katika wiki za hivi karibuni, mafuta yamekuwa yakimtia wasiwasi...
Mzozo wa Mashariki ya Kati kunahitaji mtazamo mpana unaovuka mipaka ya kidini au kijiografia, kwa kuzingatia misingi ya sheria za kimataifa, usawa, na haki za binadamu. Hoja zangu za kusimama na Iran katika muktadha huu inaweza kujengwa juu ya misingi ifuatayo:
1. Kulinda Misingi ya Uhuru wa...
Kwa jinsi Irani anawatesa Wamerekani na Swahiba wao Muisilaer naona wenda ndiyo ikawa mwisho wa ubabe wa Marekani,maana vita ianendeshwa kama kete kwenye draft tunamuona kila siku trump akilialia huku Irani wakifaidika na Vita
Naona kuna majukwaa ya zambia sijui zimbabwe kwene communities lakini sijawai ona comment au michango ya hoja ya hawa watu nje n tz n kenya??
Je kuna hap member nje na africa mashariki
Vikosi vya Marekani na Korea Kusini vikiwa katika matayarisho ya mazoezi ya pamoja ya kuvuka mto katika wilaya ya YeonCheon. Picha na Reuters.
Siku ya Jumamosi ilopita Korea Kaskazini ilitupa makombora yapatayo 10 ya Ballistic katika kutunisha musuli khasa katika kipndi hichi cha mgogoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.