mashariki

The Eastern Province (Swahili: Mashariki) of Kenya was one of 8 Provinces of Kenya. Its northern boundary ran along with that of Ethiopia; the North Eastern Province and Coast Province lay to the east and south; and the remainder of Kenya's provinces, including Central Province, ran along its western border. The provincial capital was Embu.

View More On Wikipedia.org
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Hii jeuri ya Kagame huko Congo Mashariki inatoka wapi?

    Nimesikiliza interview ya General Kagame akiongelea jinsi anavyoliona tatizo la huko Congo Mashariki. Kiufupi anasema bila kumung'unya maneno kuwa wasipopatana anajitayarisha kwa vita na kwa lolote litakalojitokeza. Tunakumbuka aisema hivyo kuwa atamshughulikia Kikwete mnamo miaka ya nyuma...
  2. Lavan Island

    JamiiForums Tanzania Kilwa Kivinje mji uliosahaulika Afrika Mashariki

    Mwenye kumbukumbu na historia ya huu mji aje mi nimeleta heading mengine muongezee nyie. Asanteni sana karibuni.
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kutoa hukumu kupinga kuondolewa Wamasai Loliondo Juni 22, 2022

    Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, Juni 22/06/2022inatarajia kutoa hukumu dhidi Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Tanzania katika kesi ya mwaka 2017 iliyofunguliwa na vijiji vya Loliondo wakipinga kuondolewa katika maeneo yao. Hukumu hiyo itatolewa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika Mashariki kukutana leo kujadili mzozo wa DRC, Rwanda

    Viongozi 7 wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanatarajiwa kukutana leo Juni 20, 2022 Jijini Nairobi, Kenya mada kuu ikiwa ni mgogoro unaoendelea kati ya DRC na Rwanda. Kumekuwa na mapigano makali yanayofufua uhasama wa miongo kadhaa kati ya mataifa hayo mawili, ambapo DRC inailaumu Rwanda...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki lafunguliwa mjini Addis Ababa

    Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki lilifunguliwa mjini Addis Ababa, nchini Ethiopia. Tamasha hilo litafanyika kwa siku kadhaa na kuonesha thamani ya sanaa na utamaduni ya watu wa Afrika Mashariki kwa kuonesha bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na watu wa Afrika, vyakula na dawa...
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kabla haijaitwa Bahari ya Hindi, watu wa Afrika Mashariki waliitaje?

    Eti wakuu Kabla ya kuitwa bahari ya Hindi, wakazi wa asili wa pwani kama Wazaramo na Wakwere waliita jina gani?
  7. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu uchaguzi Bunge la Afrika Mashariki

    Wakuu heshima kwenu. Naomba kufahamu kuhusiana na uchaguzi bunge la Afrika Mashariki, mwaka wa uchaguzi ni lini? Je, kuna utaratibu gani kuchukua fomu mpaka kugombea? Natanguliza shukrani.
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kwa njaa Afrika Mashariki

    Mashirika ya kibinadamu yameonya kuwa nchini Ethiopia, Kenya na Somalia, mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kutokana na njaa kali inayohusishwa na migogoro, mabadiliko ya hali ya hewa na kupanda kwa gharama ya chakula. Kwa mujibu wa ripoti ya #Oxfam na #SavetheChildren...
  9. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Sare za traffic wa Uganda ni za ovyo Ukanda huu wa Afrika Mashariki

    Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mashariki ya kati yasema hawataiokoa Ulaya pindi wakijizuia kununua gesi ya Urusi

    Mtaalamu wa uzalishaji na biashara za mafuta na gesi wa Abudhabi bw Said Albakr amebainisha kuwa iwapo nchi za Ulaya zitaendelea kujizuia kununua gesi ya Urusi basi wasitarajie kupata mbadala kutoka nchi za mashariki ya kati na kokote kwengine duniani katika kipindi cha miaka ya karibuni ijayo...
  11. aka2030

    JamiiForums Tanzania Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

    Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
  12. luangalila

    JamiiForums Tanzania Mliowahi ku-date na wadada wa Kiganda njooni hapa

    Kupitia dating site moja popualr sana hapa Afrika mashariki imenikutanisha na mdada mmoja toka kaskazin mwa Uganda toka, mji unaitwa LIRA ila anaishi Kampala coz anafanya kazi hapo Kampala. Dada huyu yupo serious sanaa, ktk mipango yetu ya kuonana face to face ndipo nikaropoka mm ntakuwa wa...
  13. Jumannnne

    JamiiForums Tanzania Jose Chameleon ndiye msanii bora wa muda wote wa Afrika Mashariki

    Habari zenu wana na wanawake, kwa upande wangu namuona Dr Jose kama msanii bora wa muda wote kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki, wewe unadhani ni nani anastahili kuwa katika pendekezo lako
  14. dubu

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki inakadiliwa kufikia mwaka 2050, itakuwa na jumla ya watu milioni 583

    Rasmi Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jumanne ya Machi 25, 2022 waliidhinisha na kuikaribisha rasmi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye uanachama mpya wa jumuiya hiyo inayokuwa na wanachama saba sasa. Hii ni kufuatia mapendekezo ya kikao cha baraza la mawaziri cha Machi 25...
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Ni maono tu kama Mengi nayosemaga yakatokea hata yasipotokea now ipo siku URUSI itahawanyika ama Kaskazini na kusini Au Magharibi na mashariki

    Kwa jiografia Urusi ni Nchi kubwa Kwa eneo kuliko nchi yeyote ile duniani, na Kwa kushangaza hawatumii ukubwa huo kama advantage kwao , njia sahihi ya kuiongoza Urusi ilibidi iwe ya Majimbo kama ilivyo USA, na Demokrasia ilitakiwa kutamalaki sana ili kuondoa mbinu za kutaka ama kupindya serikali...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki inakua kadri Miaka inavyosonga. Je, Tanzania na Watanzania wananufaika?

    Wakuu salaam, Kadri siku zinavyozidi kwenda Jumuiya ya Aftika Mashiriki inazidi kukua kwa kuongezeka nchi Mwananchama. Kihistoria Jumuiya ya Afrika Mashariki ilizaliwa mnamo mwaka 1967 ikiwa na nchi tatu. Soma: kama inavyooneshwa katika ramani hapa chini. Picha: Ramani ikionesha nchi tatu...
  17. John Haramba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Kilio Wakenya wanaouawa, kudhalilishwa kisa kazi Mashariki ya Kati, Serikali yaambiwa kuamka

    Francis Atwoli Katibu wa Muungano wa Wafanyakazi (COTU), Francis Atwoli ameikosoa Serikali ya Kenya kwa kutokuwa na nguvu katika suala la Wakenya kufanyishwa kazi katika Nchi za Mashariki ya Kati. Atwoli amewajia juu Waziri wa Kazi na Waziri wa Masuala ya Kigeni kwa kushindwa kushughulikiwa...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ramani mpya ya Afrika Mashariki haioneshi Zanzibar, Inabidi kuwe na masahisho

    Upande wa kwanza Zanzibar ni nchi iliyoungana na Tanganyika ikapatikana Tanzania, katika huu muungano Zanzibar inabidi iwe na raisi au makamu wa raisi wa Tanzania, Pia Wazanzibari katika huu muungano wapo Mawaziri, mabalozi, wakuu wa taasisi, wabunge, Idara za ulinzi, waajiriwa, n.k. Lakini kwa...
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki yaongeza muda wa matumizi ya pasi za kusafiria za kielektroniki

    Baraza la Jumuiya ya Afrika Mashariki limeongeza muda wa kusitishwa kwa matumizi ya pasi za kusafiria za zamani. Katika wakati wa mkutano wao wa 41 wa Jumuiya hiyo uliofanyika Jijini Arusha, Tanzania ilipitishwa kuwa tarehe ya mwisho ilikuwa 4 Aprili 2022, lakini sasa Novemba 2022 ndio tarehe...
  20. Priscallia

    JamiiForums Tanzania History is made! Democratic Republic of Congo is now a new member of the East African Community

    EAC Heads of State OFFICIALLY admit the Democratic Republic of the Congo (DRC) into the East African Community. H.E Uhuru Kenyatta,Chair of the Summit of EAC Heads of States announces during the 19th Extra-Ordinary Summit of EAC Heads of State. === Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya...
Back
Top Bottom