mashariki

The Eastern Province (Swahili: Mashariki) of Kenya was one of 8 Provinces of Kenya. Its northern boundary ran along with that of Ethiopia; the North Eastern Province and Coast Province lay to the east and south; and the remainder of Kenya's provinces, including Central Province, ran along its western border. The provincial capital was Embu.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Soma mashairi ya Wimbo wa Jumuiya Afrika Mashariki (Jumuiya Yetu)

    Haya usipate tena aibu ukienda kwenye vikao vya maana kwa kushindwa kuimba wimbo wa Afrika mashariki. Kariri Mashairi haya ukienda sehemu kwenye hiyo kitu unaimba. Ubeti ya kwanza Ee Mungu twaomba uilinde Jumuiya Afrika Mashariki Tuwezeshe kuishi kwa amani Tutimize na malengo yetu. Kiitikio...
  2. L

    JamiiForums Tanzania CMG yafanya shughuli ya kutangaza moyo wa Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC katika nchi tano za Afrika Mashariki

    Idara ya lugha za Asia na Afrika iliyo chini ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) tarehe 8 mwezi Novemba ilifanya shughuli ya kutangaza moyo wa Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC katika nchi tano za Afrika Mashariki. Shughuli hiyo yenye kauli mbiu “Safari mpya yenye...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wagombea Urais wa Azimio la Umoja wafungua kesi ya kupinga Urais wa Ruto Mahakama ya Afrika Mashariki

    Kiongozi wa chama cha Narc Kenya Martha Karua ambaye alikuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa Raila Odinga amehamia Mahakama ya Afrika Mashariki akiikashifu tume ya uchaguzi kwa kazi "mbaya" na Mahakama ya Juu zaidi kwa kutupilia mbali ombi la uchaguzi wa urais wa 2022 lililopinga ushindi wa Rais...
  4. JamiiForums Tanzania DRC: Balozi wa Rwanda apewa saa 48 za kuondoka Nchini humo

    Balozi Vincent Karega ameamriwa kuondoka Nchini ndani ya saa 48 kutokana na tuhuma za mara kwa mara za Rwanda kuunga mkono Waasi wa #M23, madai ambayo Rwanda imekuwa ikikanusha mara kwa mara Uamuzi wa kumfukuza Karega unatarajiwa kuzua zaidi mvutano kati ya Nchi hizo Mbili ambazo uhusiano wao...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Kilimo Afrika Mashariki ni wakati wa kutolala usingizi kwa kutupa tafiti za Mbegu za GMO

    Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuwa na Vyuo vikuu bora katika maswala ya kilimo Afrika. 1. Kenya- Egerton University; Jomo Kenyata University of Agriculture & Technology 2. Tanzania- Sokoine University of Agriculture Sasa baada ya Kenya kuruhusu matumizi ya mbegu za GMO, wasomi kutoka Vyuo...
  6. JamiiForums Tanzania UPDATE: GAME Supermarket kufunga rasmi biashara zake Tanzania

    Kampuni ya Massmart kutoka Afrika Kusini inayomiliki maduka ya Game imesema Desemba 25, 2022 ni mwisho wa maduka yake kutoa huduma Tanzania. Massmart imefikia hatua hiyo ikiwa ni miezi 12 ya kujaribu kuuza maduka hayo nchini Nigeria, Ghana, Tanzania, Kenya na Uganda kwa wawekezaji wapya wa...
  7. JamiiForums Tanzania Somalia kuwa mwanachama wa Afrika Mashariki

    Somalia iliwasilisha ombi la kuwa mwanachama wa Afrika Mashariki katika kikao cha wakuu wa nchi walipokaa kumuidhinisha Congo D.R kuwa mwanachama kamili wa Jumuiya hiyo. Stay tuned.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kufeli uwakili kilio Afrika Mashariki

    Si Tanzania pekee Mjadala kuhusu mitihani hiyo na mfumo wake umeibua taarifa mpya kutoka nje ya nchi, zikibainisha kuwa kilio hicho hakipo tu hapa nchini. Taarifa ambazo Mwananchi imezipata, zinaonyesha janga kama hilo limeikumba sekta ya sheria Zambia katika mtihani wa uwakili mwaka jana...
  9. JamiiForums Tanzania RIPOTI IGAD: Watoto milioni 10 wana Utapiamlo Afrika Mashariki

    Ripoti hiyo mpya ya Shirikisho la Maendeleo la Pembe ya Afrika imeonesha Watoto milioni 10 wana Utapiamlo huku zaidi ya watu 380,000 wakiwa kwenye hatari ya kufa kutokana na njaa. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho hilo Workneh Gebeyehu ametaja sababu kuwa ni ukame ambao haujawahi kutokea kwa...
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kushindwa kutekeleza maazimio ya Eneo moja la forodha

    6 October 2022 Namanga, Kajiado Kenya KENYA KUSHIDWA KUTEKELEZA MAAZIMIO YA ENEO MOJA LA FORODHA / SINGLE CUSTOMS TERRITORY, KUMELETA KERO KUBWA WaBunge 'wasomi' kutoka Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki, hili nalo kwa kushirikiana na serikali mkalitatue jambo hili la Eneo la Forodha...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi yenye bei ndogo zaidi ya mafuta ukilinganisha na nchi za Afrika Mashariki

    Tanzania tunabahati sana kuwa na Rais anayejali wananchi kutokana na ruzuku ya mafuta Bilioni 100 inayotolewa na Rais Samia Suluhu kila mwezi imepelekea bei ya mafuta kuendelea kushuka kila leo. Kupelekea Tanzania kuwa nchi yenye bei ndogo zaidi ya mafuta Afrika Mashariki. Kuanzia leo mafuta...
  12. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda ina Silaha za Kijeshi nyingi kuliko nchi zote Afrika Mashariki

    According to the publicly disclosed Military equipment, Uganda leads Kenya Hata hivyo, Uganda ina Budget ndogo zaidi kwa nchi tatu za Maziwa Makuu Kwenye upande wa viwango vya Rushwa
  13. JamiiForums Tanzania Lijue Bunge la Afrika Mashariki na Jee Uchaguzi wa Wabunge wa CCM EALA Ulikuwa ni Uchaguzi Kweli Au Kiini Macho cha Uchaguzi?

    Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili ya Leo Kwa Maslahi ya Taifa, inaendelea na makala elimishi za kuijua Jumuiya ya Afrika Mashariki, leo ni makala elimishi kuhusu kulijua Bunge la Afrika Mashariki, EALA na kiini macho cha uchaguzi wa Wabunge wa EALA wa Tanzania uliofanywa na Bunge letu...
  14. JamiiForums Tanzania RIPOTI: Uchumi wa Afrika Mashariki utashuka kwa sababu za Kisiasa na Ukame

    Ripoti mpya kuhusu Mtazamo wa Uchumi wa Afrika Mashariki, iliyotolewa na Deloitte imesema Ukuaji wa Uchumi utashuka hadi 5.3% ikilinganishwa na 6.4% ya mwaka 2021 ambayo ni ongezeko la 3.1% kutoka mwaka 2020. Utafiti huo uliohusisha nchi za Kenya, Ethiopia, Tanzania, Uganda na Rwanda umetaja...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini viwango vya kubadilisha fedha vya nchi za Afrika Mashariki viko juu sana?

    Wachambuzi wa masuala ya Uchumi wamesema viwango vya juu vya ada za kubadilisha fedha wakati wa malipo ya miamala ya kuvuka mipaka inaathiri sana biashara ya kikanda. Kutokuwepo kwa sarafu moja ya Jumuiya ya Nchi 7 za Afrika Mashariki na kushindwa kuoanisha mfumo wa malipo ni miongoni mwa mambo...
  16. JamiiForums Tanzania Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki-3: Ujue Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Kwa Maslahi ya Taifa, Jumapili 18/09/2022 Kazi inaendelea Kwa Maslahi ya Taifa, inaendelea kuhusu Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki, leo nikijikita kwenye Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, nikiwapeleka sura kwa sura. Sura ya kwanza ni tafsiri tuu maneno, hii nimeiruka na kuanza na sura ya...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Urais wa Ruto kupingwa tena Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ)

    Mgombea Mwenza wa Raila Odinga, Martha Karua amegusia uamuzi wa kuhamishia Pingamizi la Urais nchini Tanzania ili kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu ulioidhinisha ushindi wa Rais Mteule William Ruto. "Nafikiria kusafiri kwenda Mahakama ya Afrika Mashariki ili tukajadili hukumu hiyo. Nina muda...
  18. JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki kila siku vikao, wenzenu Namibia na Botswana wameruka, sasa ni vitambulisho siyo pasipoti!

    Nchi wanachama wa Afrika mashariki zikiwa ni tatu Kenya, Uganda na Tanzania zimekuwa zikijikongoja kuuganya muungano kuwa mwepesi kwa raia wake hata kwa muingiliano siyo issue ya kazi but mpaka leo tukiwa na utitiri wa nchi ndiyo balaa linaongezeka. Seŕikali za Namibia na Botswana zimekubali...
  19. JamiiForums Tanzania Urusi na China wafanya mazoezi makubwa ya kijeshi mashariki ya mbali yanoitwa Vostok 2022

    Russia na China wameendelea na mazoezi ya pamoja yanoitwa Vostok 2022 ambayo yajumuisha nchi zingine zipatazo 12. Mazoezi hayo yaendelea huku bado kukiwa na vita ya Russia na Ukraine pamoja na mgogoro wa China na Marekani kuhusu kisiwa cha Taiwan. Mazoezi hayo yaloanza Alhamisi ilopita...
  20. JamiiForums Tanzania KABILA LA AFRIKA MASHARIKI LENYE MAFANIKIO MAKUBWA DUNIANI

    Mjaluo lupita amechukua tuzo Kubwa has filamu OSCAR, Mjaluo Obama Ana Nobel mjaluo Divork origi Alichukua uefa akiwa no Liverpool pia alichezea Belgium world cup 2014
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…