mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Grealish aomba radhi mashabiki atangaza kurejea upya Everton

    Kiungo mshambuliaji wa Everton, Jack Grealish, ameanza ukurasa mpya ndani ya kikosi hicho baada ya kurejea uwanjani na kuomba radhi kwa mashabiki kufuatia sakata la utovu wa nidhamu lililomuweka nje ya kikosi. Grealish, mwenye umri wa miaka 31, alicheza kwa mara ya kwanza tangu kusimamishwa...
  2. Mad Max

    Wapi Mashabiki wa Man City?

    Na nyie fanyeni comeback kama Manyumbu
  3. E

    Leo ni Holiday tunawasha moto! Mistari yangu mipya kwa ajili ya mashabiki wa burudani hapa JF

    Wakuu, Natumai weekend/holiday inaenda vizuri! Kama unajua umetoka kwenye "mchakamchaka wa wiki" na jasho lilikuvuja sana, huu hapa ni ujumbe wako wa ushindi. Nimeandika lyrics hizi kwa ajili ya kila anayepambana na sasa anataka "kula maisha" bila stress. Huu ni wimbo wangu mpya wa "Holiday"...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Mashabiki wa Simba wakutwa na ugonjwa wa akili

    GENTAMYCINE unajiteteaje?
  5. Alexido jz instagram

    MASHABIKI ZANGU WA MZIKI MZURI WA KISASA, GETS READY HERE WE GOOOOOOOO

    Bhaaashhhhh wamekwishaaaaa, mambo ni haya✌️bhaassshhh wamekwishaaaa
  6. vibertz

    Eng. Hersi itafikia hatua mashabiki na wanachama watauvua uvumilivu wao kwako

    Ukiangalia panda shuka za Yanga kwa kiasi kikubwa kimechangiwa na uongozi wa Yanga kwa kufanya makosa kadhaa ambayo inawapa mashaka kuwa sasa kazi inafanywa kwa hisia, au kwa kubahatisha tu. Eng. Hersi amekuwa na mwendelezo wa kuvurunda katika usajili wa wachezaji na makocha hasa hasa kwa...
  7. PAYE

    Baada ya kukaza, 15 de Agosto yaruhusu mashabiki mechi na Simba Uhuru Oktoba 21

    Klabu ya Simba imetangaza kuwa mashabiki wake wataruhusiwa kuingia uwanjani kushuhudia mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya 15 De Agosto utakaochezwa Oktoba 21, 2026, katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu...
  8. thegreat1510

    Mashabiki wa Hermobize hawajitambui.

    Inasikitisha sana.
  9. Idugunde

    Bila ya aibu mashabiki wa Afcon watatumia barabara ya Katesh Manyara to Singida huku Makonda akiendesha magarinya kifahari?

    Makonda anaendesha magari mpaka ya bil 1.7 huku akijinasibu kupambania michezo na timu ya taifa ambayo jezi zake zina kiwango hafifu kama za friends corner ya Manzese. Anapambana kiwanja cha Arusha kikamilike kwa wakati. Vipi kuhush miundo mbinu? Babati kupitia Katesh mpaka roundabaout ya...
  10. Eli Cohen

    Mashabiki wa Man City mtarudi kwenye Klabu zenu za zamani?

  11. N

    Tungependa kutambulisha rasmi suluhisho na bidhaa yetu ya Jamiisound kwa wadau na wapenzi wa muziki na mashabiki

    Utambulisho wa JamiiSound: Platform ya Kusambaza na Kusikiliza Muziki (Music streaming platform) katika hatua zake za awali. Tunafurahi kuwatambulisha Watanzania wenzetu JamiiSound, moja kati ya bidhaa zetu nyingi ya kidijitali inayolenga kurahisisha usikilizaji, ugunduzi na usambazaji wa...
  12. Alexido jz instagram

    Naomba radhi, nimesogeza mbele tarehe ya kutoa nyimbo 7 October hadi 9 April 2027

    Habari zenu ndugu zangu, mambo yamekua magumu kwangu, gharama kubwa za uendeshaji chanzo cha kughaili, mtu niliemtegemea kufanya nae kazi tumeshindwana, mambo yamekwenda kinyume nilivo tegemea. Sina mdhamini all cost natoa mwenyewe, nimeshindwa rasmi NAOMBENI nijipange usumbufu uliojitikeza...
  13. T

    Inachekesha kuona wanaotuhumiwa kwa mauaji ya Oct 29 ndio hao pia mashabiki wakuu wa hizo tume mara ya Chande mara ya Lila

    Tanzania Ina vituko vingi sana jambo ambalo kwa kawaida Linalohitaji logic ya kawaida kabisa mkuhoji watu wanalazimisha subirieni tume afu wanashabikia tume walioiunda wenyewe. Hivi kweli akili ya kawaida haikutumi kwamba ni kama mbwa kujifucha kwenye shamba la karanga!?
  14. C

    Hawa mashabiki wa Simba wanaosema wakawashitaki viongozi wao kwa Rais Samia wana akili kweli?

    Nasikitika kusema kuna mashabiki maarufu kama influencer wa Simba hawana akili timamu na nikama hayawani mmoja anaitwa nyumbu. Rais Samia ndiye huyu mlimzomea kwenye Simba day mwaka jana,leo mnajitoa akili eti mnaenda kushitaki viongozi wenu? Nyumbu ni mnyama ambaye akikimbizwa na Simba na...
  15. O

    Mashabiki Wa Man United wawadhalilisha Mashabiki wa Arsenal Tena!

    Uhasama wa mashabiki wa Manchester United na Arsenal nchini Kenya umechukua sura nyingine baada ya mashabiki wa Manchester United kuibuka washindi wa 5–4 kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Arsenal katika pambano lililofanyika jana katika Uwanja wa Nyayo. Mchezo huo ulijaa ushindani mkali huku...
  16. M

    Kitengo Cha habari Cha Yanga kimepwaya,kwa miaka mitano kimeshindwa kuteka kizazi kipya Cha mashabiki hatimae wanachama

    Haiwezekani timu ambayo imechukua ubingwa miaka 5 mfululizo inazidiwa promo na Simba ambayo haikua na kombe lolote,kitengo hicho kinapaswa kuongezewa pro active mmoja ambae pia ni muongeaji na mchambaji ili kusukuma agenda flani flani. Kilele cha mwananchi kesho ipo kama haipo,jezi zinatoka...
  17. Kipenzi Changu

    Uto mnawavunjia heshima mashabiki wenu

    Hizi sio jezi, hizi ni sare 😂😂😂
  18. upupu255

    SI KWELI Hii video ya Mbuzi akibeba kitambaa cha projector mashabiki wakiangalia Argentina na Spain, Ni kweli?

  19. hydroxo

    Mashabiki wa Barcelona ndio mashabiki wenye furaha zaidi kwenye fainali hizi za kombe la dunia

    Spain ambayo ambayo imesheni wchezaji wa Barca ishatinga fainali. Furaha iliyoje. Argentina yenye Greatest Of All Time(GOAT) La Pulga ambaye ni pure cule yupo fainali. Furaha iliyoje. Ureno yenye goti wa kuvundika out tushasahau kama walishiriki hizi fainali za kombe la dunia. Furaha...
  20. Fbn

    Miaka 30 bongo flava wakati mashabiki wenu mkuwapata kwa mtindo kama ruge na wengine wangetumia

    Hii project ilitakiwa kuwa kwa jamii kuridisha shukrani kama wakongwe wa fiesta mkaleta matukio kama kila mlicho fanya,kukumbusha maduka ,watu kampuni. Hapa naona babu tale na cheo kesho sio mbali mtakuja kulia tukiwazika.
Back
Top Bottom