maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kati ya CCM na CHADEMA nani wanalilia uwepo wa maridhiano, kwanini?

    Sisi wengine hatujui ila tunasikia chadema kila wanapopata jukwaa hata ndogo tu la kusema huwa wanatoa masharti yao magumu ya wao kukubali kushiriki kwenye maridhiano. Sasa hivi shariti lao muhimu ni Lissu aachiwe huru. Maswali yetu sisi wananchi ni mengi kuhusu haya maridhiano. 1. Maridhiano...
  2. Maridhiano Sahihi na ya kuliponya Taifa, lazima yaguse maeneo yafuatayo

    Tangu Taifa lipitie Uchaguzi mkuu Mwaka jana October 2025 na matukio yake kumekua na mvutano wa namna ya kuliweka taifa pamoja na kurudhiana. Ni dhahiri watu walipoteza Maisha,Mali na wengine wamebaki na ulemavu wa kudumu, wengine wamepoteza ndugu jamaa na marafiki kwenye matukio ya October...
  3. Rais Samia ateta na wajumbe wa kamati ya maridhiano Zanzibar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe wa Kamati ya Pamoja ya Majadiliano kuhusu Maridhiano ya Zanzibar, leo Novemba 9, 2026, Ikulu jijini Dar es salaam.
  4. S

    Hivi kwanini wanataka sana maridhiano na CHADEMA wakati majeshi na mahakama ni vyombo ambayo ni mali yao?

    Mimi hawa watu siwaelewi kabisa shida yao ni nini kiasi kwamba wanatumia kila mbinu kutaka wakae mezani na CHADEMA eti waridhiane Yaani mumbakizie Mwenyekiti wao kesi, mumfunge jela, mteke na kupoteza wanachama wao halafu wakati huo huo mtake .kukaa nao mezani mfanye maridhiano .Hii ni akili ya...
  5. Y

    Je, CHADEMA iingie kwenye meza ya maridhiano au laa?

    Habari wana jamvi. Leo nimekuja tena tuzungumze mambo mazuri kuhusu hili taifa. Wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2025 ni wazi ulingo wa kisiasa uligubikwa na aina fulani hivi ya komedi. Joto la uchaguzi lilikuwa kali ingawaje lilijaa vichekesho vya hapa na pale ktk mitandao ya kijamii...
  6. Nina uhakika Tundu Lissu angeachiwa CHADEMA ingeingia kwenye maridhiano.

    Wakati Serikali ikitumia kumshikilia Tundu Lissu kama njia ya kushinikiza maridhiano, CHADEMA na Lissu wanachukulia kushikiriwa Tundu Lissu kama sababu ya kugomea maridhiano. Kumbe njia ilikuwa rahisi tu ni kumuachia Tundu Lissu halafu unaitisha maridhiano ya kweli ni wazi chadema na lissu...
  7. C

    Salum Mwalimu: Tundu Lissu akitumia njia ya kisiasa anaweza kusamehewa

    Mwanasiasa aliyegombea Urais wa Tanzania Mwaka 2025 kupitia CHAUMMA Salum Mwalimu amesema Mambo ya Kisiasa yanamalizwa kwa njia mbili za Kisiasa (Mazungumzo) na Sheria. Amesema Njia ya Sheria tayari imefika mwisho na imetoa hukumu ya Kifungo cha miaka minne kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu...
  8. Tundu Lissu anaachiwa Tarehe 6. Lema ndicho alitaka kusema, lakini ameandaa vita na wanaharakati ambao hawataki maridhiano. Kipima upepo

    Hamjambo! Kuna mtu ananieleza hapa, Lema ni kama kipima upepo. Maridhiano yapo mezani. Kete iliyobaki ni Tundu Lisu ambaye ataachiliwa tarehe 6. Kila kitu kipo tayari. Kasoro ni chache. Na moja ya kasoro hizo zipo mtandaoni. Imebainika kwamba, Nguvu ya Chadema iko zaidi mtandaoni na...
  9. C

    Kutoka kwa Kumbusho Dawson: Lema umetetea CCM sana bro

    Nimesikiliza hotuba yako ya leo. Na hapo kwenye maandamano umepotea kabisa. Unawaweka wanaharakati mstari wa mbele kana kwamba wao ndio chanzo cha hasira ya wananchi. Hapana. Wanaohamasisha maandamano ni CCM wenyewe. Na sio kwa maneno, bali kwa vitendo vyao vya kila siku. Maandamano hayajaja...
  10. M

    Hoja kuu ya maridhiano ya Kitaifa

    Wakuu zangu leo mimi nataka kuelewa kuhusu haya maridhiano ya Kitaifa yanayozungumzwa ili kuliponya Taifa letu. Hivi maaridhiano haya ni baina ya nani na nani? Kama ni ya Kitaifa swali langu "Kwani kuna mgogoro au kutoelewana kupi na baina ya nani na nani?" Je, Serikali haielewani na...
  11. Lema , Lissu aliyekuteua anataka haki, hataki Upendeleo, CHADEMA haitaki Maridhiano bila Ukweli, UWAZI, Uwajibikaji, Siasa za kidalali zilikoma Jan 21

    Nimesikia kupitia Mitandao ya Kijamii, Kesho una Kikao na Wananchi !! . Kama ambavyo MBOWE amedharaulika ndivo unaenda kua !!. Je NCHI Hiii Kuna Mwanasiasa ambaye angechagua kua sehemu ya CCM asingelikua Bilionea zaidi ya LISSU? Huyu Lissu huyu angetaka kua Makamo wa Rais Serikali ya Umoja...
  12. Baada ya Tundu Lissu na John Heche kufungwa Freeman Aikael Mbowe ndiye atakayewatoa Gerezani kwa Maridhiano atakayofanya

    Bingwa wa Siasa Freeman Aikael Mbowe baada ya Kushika madaraka ya Uwenyekiti wa CHADEMA ndiyo atakua Mhimili wa CHADEMA katika Maridhiano ndiye atasaidia Tundu Lissu na John Heche kuachiliwa huru baada ya kusota gerezani kwa mda fulani. Bingwa huyu wa siasa za upinzani bado ana ushawishi mkubwa...
  13. Tuachane na Maridhiano kwasababu yalishawahi kufanyika: vyama vikaruhusiwa kufanya siasa, ruzuku zikalipwa, kesi zikafutwa lakini mwisho ikawa hasara.

    Watanzania siyo wageni na kitu kinachoitwa maridhiano, kwa nature ya wanasiasa hawa tulionao, hakuna haja ya maridhiano kwasababu maridhiano yalishawahi kufanyika tukitegemea tutaona siasa za kizalendo, tulitegemea tutaona uzalendo wa kwelikweli kwa Taifa letu lakini cha ajabu wanasiasa wakaanza...
  14. Q

    Hakuna maridhiano ya kweli pasipo CHADEMA kushiriki

    The obvious truth, CCM wanajua kuwa turufu ya maridhiano iko mikononi mwa Chadema na sio chama kingine chochote kati ya vyama 18. Mbwembwe zote za kina Wasira, Kihongosi, Msajili wa vyama, na vyama shikizi kusema eti, wanaweza kuridhiana bila Chadema kuwepo, zimekuwa kazi bure. Bila Chadema...
  15. CCM kutaka maridhiano ni ushahidi kuwa zile 98% za Samia ni uongo

    Kama uchaguzi ulifanyika na watu walishiriki na matokeo yakawa ushindi wa kishindo kwa samia (asilimia 98), maridhiano yanini sasa? Kama watu 98 kati ya 100 wanawaunga mkono hawa wawili wanawauma nini? Tafadhali sana, mleteni Samia ahutubie hadharani tuoneshe mahaba yetu kwake. Yeye si mjuaji...
  16. C

    Sheikh Alhad: CHADEMA ni muhimu kuingia kwenye maridhiano kutokana na ukubwa wake

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) Sheikh Alhad amevitaka vyama vya siasa nchini kuweka mbele maslahi ya taifa na kukubali maridhiano kwa ajili ya kulinda amani, umoja na maisha ya Watanzania. Amesema maridhiano yanahitaji busara, hekima na utayari wa kila upande...
  17. E

    Dk Malisa aiomba EU kuunga mkono mchakato wa maridhiano Tanzania

    Mratibu wa Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano na Ukweli (NRTC), Dk Godfrey F. Malisa, ameiomba Umoja wa Ulaya (EU) kuunga mkono juhudi za kuwezesha Serikali ya Tanzania kukubali kuundwa kwa kamati huru ya maridhiano itakayochunguza vifo vilivyotokea wakati wa matukio ya Oktoba 29, 2025, na...
  18. Dorothy Semu: Maridhiano si kushinikiza upande mmoja kuukubali mwingine

    Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu, amesema taasisi hiyo itaendelea kuunga mkono majukwaa yanayowezesha mazungumzo, uvumilivu, ushirikishwaji, kuheshimu tofauti za kisiasa na utatuzi wa migogoro kwa njia za amani na kisheria. Amesema TCD inaamini demokrasia imara...
  19. Kwa Aina ya Maridhiano wanayotaka CCM ya kuendelea kubalia Madarakani, Kama CHADEMA tunasema hatutakaa kufanya MARIDHIANO Uchwara na CCM

    Kwa miaka yote tangu Mfumo wa Vyama vingi, CCM wamekua wanaunda Upinzani Uchwara Kila uchao ili kuonekana wanatimiza Matakwa ya Dunia. Hivi mnajua Ushindi wa TUNDU LISSU Ile January 21-22 2025 ulikata Ngebe zote za CCM na kuua Kila Matumaini yao walikua wakiyatumia enzi na enzi?. Ndio maana...
  20. Naomba kuuliza hivi maridhiano ndio wana aminisha dunia yamefanyika na kupata makamo wa raisi kule znz ndio tanganyika.

    Turudi nyuma kidogo kabla ya haya. Samia alikwenda znz kufanya maridhiano na kuhutubia huko znz kuwa CCM na ACT wamekubariana na wengine. Je hayo maridhiano kama kweli yalikuwa ya znz au tanganyika maana znz hakukuwa na ya October 29 wala viongozi wapinzani wao znz kupata mateso sababu sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…