Hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuanzisha upya mazungumzo na vyama vya siasa, huku akiahidi kuanza mchakato wa marekebisho ya Katiba na maridhiano ya kitaifa, imeibua mjadala mpana kuhusu makundi yanayopaswa kushiriki katika kutafuta suluhu ya changamoto zinazoikabili Tanzania.
Soma pia...
Wadau nimeona picha za vikao sijui maridhiano na wale wasaka tonge wakiwa na mkuu wa wahalifu aliyekalia ofisi Kwa ushindi fake wa kura za kutiki kwenye makorido ya lumumba, sasa mimi nauliza wanafanya maridhiano ya nini wakati walipongezana kuwa uchaguzi ulikuwa bora na huru?
Kama haya maridhiano yana nia ya kuliponya taifa, kwanini hayahusishi waliijeruhiwa kwa mrisasi, waliopoteza ndugu zao, na hayawashirikishi Chadema?
Kwanini hayarushwi live na radio na tv zote nchini ili nchi nzima tujue kinachoendelea?
Je kama mnapanga kutupiga tena risasi? Kwa kweli hatuna...
Yaani nimeona list ya watu wanaosemwa wamekwenda kwenye kikao cha maridhiano, yaani wote ni wale ambao kimsingi wanakubaliana kwa hoja nyingi na kutofautiana kwa mambo machache au kutokutofautiana kabisa
Sasa kinachoitwa maridhiano unaweza kumaliza matatizo kwa kukaa na mtu ambaye hamtofatiani...
Hapa lazima Uchanganyikiwe kama una akili timamu.
Una lazimika kua mjinga sana ndio unaweza kushiriki na kuziweka maanani vichekesho kama hivi.
Vyama vilivyokuambia, Rais Umeshindaaa, kwa 98%, umeupiga mwingi, UCHAGUZI umefanyika kwa amani na Ulikua Huru.
Duuhh unaridhiana nao nn sasa hahahaha
Mwendawazimu pekee ndo anaweza kukubali hizi sanaa.
Majanga yote yanayotukumba chanzo ni CCM inakuwaje.ndo waongoze maridhiano.
Hivyo vyama vya mfukoni vinafuata posho tu kama walivyofuata magari kipindi cha uchaguzi.
CCM imeua na kutesa sana haiwezi kuongoza maridhiano..wanatkiwa wakae...
CHADEMA ni nani kwenye nchi yetu? Mpaka mjipe umuhimu kiasi hiki, kwamba Kila kitu lazima kifanyike nyny mkiwepo kwani nyny ni nani? Mnawabunge wangapi? Mna madiwani wangapi?
Nashangaa kuona mtu mzima kabisa Bado anaamini kuwa bila CHADEMA hakuna maridhiano aisee hebu acheni hizo fikra za...
Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama
Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki
Kwa MAONI YANGU,
Juhudi zilizoelekezwa...
Kuna kilipu ya baba wa taifa hayati Mwl J.K. Nyerere akizungumzia juu ya revolution for change. Anasema wanaoogopa mabadiliko ni wanyonyaji na kwamba masikini wako tayari kujaribu siku zote na hawana cha kupoteza
Siku ccm na cdm wakifanya Maridhiano, wakishikana na kukumbatiana, na wanachi...
Moja ya matakwa ambayo CHADEMA wamekuwa wanayasema kama moja ya vigezo vya kuingia katika meza ya maridhiano ni kuachiwa huru kwa Tundu Lissu bila masharti yoyote.
Ukiangalia hapa ambapo tumefikia, takwa hilo halina maana tena maana kama mahabusu amekaa siku 577, kama kuhukumiwa amehukumiwa...
Inaonekana kuna watu wanataka sana maridhiano... wangependa sana wapige picha ya kuonesha mambo yako sawa.. hakuna watu wanaolalamika au kunung'unika...
Lakini hadi Sasa sijasikia au kuelewa hasa wanaotaka maridhiano wanasukumwa na kitu na matatizo gani wanayoyaona...
uchaguzi ulisha"fanyika"...
Kuna watu wanaodai kwamba Tundu Lissu akiachiwa huru , maridhiano yatafanyika, hili si kweli.
Maridhiano kati ya wananchi na serikali huwa ni Uchaguzi mkuu, hiyo ipo kikatiba kabisa.
Maridhiano ni Kwa wananchi wote si CHADEMA na CCM pekee, Ili pawepo maridhiano, ni tufanye reforms Kwa katiba...
Wanaukumbi.
Chadema mmepata nafasi ya kusikilizwa malalamiko yenu mnaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote.. haya tumewasikia na tunawapa angalizo kuwa itafika 2030 hakuna cha maridhiano na Lissu, ataendelea kuwa jela na hakuna kitu mtafanya.
Hamtaki maridhiano Lissu...
Maridhiano yanabidi yawe kati ya serikali na wananchi na SIO CCM na vyama vya upinzani kwakuwa waathirika wa October 29 kwa 99% ni wananchi na SIO wanasiasa wala familia zao.
Ila kwakuwa wanasiasa ni jamii za watu wabinafsi wanataka kumaliza hii issues kisiasa
Wakili Peter Madeleka akizungumza na waandishi wa habari Novemba 13, 2026, amesisitiza kuwa taifa linapoelekea kwenye mchakato wa uponyaji kufuatia matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025, hakuna haja ya kufanya mazungumzo katika masuala yanayohusu jinai na mauaji yaliyotokea.
Amesisitiza kuwa...
Mchambuzi wa siasa kutoka Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Richard Mbunda, amesema tunapaswa kuleta makundi yote mezani ili maridhiano yawe na sura ya kitaifa.
“Tunapaswa tuketi makundi yote mezani na hapo maridhiano yatakuwa na sura ya kitaifa,”...
Siku moja nilikuwa nasafiri kwenda Marekani, nadhani. Nikaamua kuangalia sinema (mnaita movie), inaitwa: 'The Hate That You Give'.
Ina mafunzo mengi muhimu kuhusu utangamano wa jamii na ukweli kwamba kusambaratisha watu, badala ya kujenga jamii ya watu wamoja, wanaopendana na kuheshimiana...