maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nasemaje hakuna MARIDHIANO bila UWAJIBIKAJI

    Naon CCM wameanza kulegea tayari hatuwezi kufanya maridhiano sasa hivi hii inaitwa TOO LATE MISSION tunahitaji UWAJIBIKAJI wao kwa kujiuzulu mara moja nakuanza mazungumzo baada yao kuwajibika kwa kujiuzulu.
  2. H

    Kinachohitajikiwa ni Haki, Kinachoitwa Maridhiano ni Upuuzi Unaotakiwa Kupuuzwa

    KUna jambo la kushangaza sana, wauaji na wadhulumaji haki, baada ya kuua watu kwa maelfu, kutrka watu, kuendelea kubambikia watu keshi, baada ya kudhulumu haki, eti wanasema wataanzisha maridhiano. Tuwakatalie hawa watu wapuuzi na upuuzi wao. Watanzania hawahitaji maridhiano, bali wanahitaji...
  3. Maridhiano: Je, ni baina ya vyama vya siasa au baina ya madhehebu ya dini?

    Hakuna asiyejua kuwa Katiba yetu inatamka wazi kuwa nchi yetu ni ya vyama vingi na serikali haina dini lakini raia wake yupo na uhuru wa kuchagua imani yake. Je, tunapoongelea suala la maridhiano ni akina nani wahusika wa maridhiano haya? Je, ni ungomvi wa wafanya biashara? Ni ungomvi ndani ya...
  4. PostGE2025 Makamu wa Rais Nchimbi: Tanzania ipo salama, mazungumzo ya MARIDHIANO kuanza

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesisitiza kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imechukua hatua madhubuti za kulinda umoja wa kitaifa na kuhakikisha wananchi wanaishi kwa utawala wa sheria. Kauli hiyo alitoa akiwa mwakilishi wa Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi...
  5. Hakuna haja ya serikali kupoteza muda kufanya maridhiano na wahalifu

    Maridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi...
  6. PostGE2025 Napinga maridhiano na wauaji wa makusudi

    Ain’t no way. Ain’t no fcuking way! Napinga kabisa kwa nguvu zangu zote na kwa dhati kabisa kufanya maridhiano na wauaji wa makusudi. Hakuna cha kusameheana wala kuombana msamaha. As far as I’m concerned, I’m calling for an open season against the police and their CCM backers. They’re all...
  7. GE2025 Kwa sababu waloandamana ni Wageni, asipatikane MTU yoyote kujihusianisha na kile kinachoitwa 'Maridhiano' kwakua MTU huyo Hatasamehewa Yeye na Kizazi

    Hii sio Tanzania ya 1990 !. Tanzania Mpya imezaliwa Tarehe 29/10/2025, Kinachoendelea na kitakachoendelea na Mchakato wa makuzi ya mtoto!!. Sasa , Uzi Huu ni Ushauri na Ukumbusho na Onyo Kwa wooooote wale ambao Majina yao yataoneoana kwenye Karatasi Takataka inayoitwa "Mwenyekiti ,Katibu Na...
  8. S

    GE2025 Kinachowasukuma kuongelea maridhiano ni fedha za misaada na mkopo kutoka kwa wahisani

    Hii ndio sababu kuu na hamna lingine kwani hata wafadhili wanajua Tanzania hakuna demokrasia na hakuna uchaguzi. Sioni uwezekano wa CHADEMA kutambua serikali ijayo na hata kukaa nayo meza moja. Muda utasema.
  9. GE2025 Samia: Tutaanzisha Tume ya Upatanishi ya Kitaifa, yenye jukumu la kuimarisha umoja, maridhiano, na mshikamano kwa Watanzania

    Maridhiano gani tena hayo ambayo hayajawai kufanikiwa? Sisi waTanzania tunataka kusikia namna ya kupambana na watekaji =================== Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza mpango wa serikali ya awamu ya sita...
  10. Ushauri wangu wa Mwisho Kwa Mzee Butiku kabla ya Oktoba 29 , Waombe Radhi Watanzania mara Moja, Walokupa Uenyekiti wa Maridhiano ,Warudishie !!

    We are Coming !!... wee siulisaliti Polepole , mtoto wako alokuamini sana !!. Sasa , Polepole ataishi, ila wewe Utaulipia Usaliti huo. Unataka kujifanya wee ni Msuluhishi mzuri eehh kuzidi wasomi na Ma Prof wa Nchi hii?, Unapenda Uenyekiti ?? Uenyekiti wa malupulupu?? Sasa nakuhakikishia...
  11. HAKUTAKUA na Cha Maridhiano, Wahuni Wakubwa msokua na Haya !! Maridhiano, Mzee Kibao ameuwa Kikatili, Mdude, Soka, Polepole, hawajulikani walipo

    Yaan Njia mlioichagua ndio njia yenu, na sisi tutakwenda hivohivo na nyinyi. Ukweli ni kwamba ni Ama Tuwafikishe katika Sheria au Mtuue wote mtumalize !!. Na sio upuuzi na upumbavu wenu ulokoswa Aibu na kudhani mnatuhadaa. Yaan Familia ya Kibao ,Iridhiane na nyinyi kitu gan?? Familia ya...
  12. Tume ya Kitaifa ya Uwiani na Maridhiano yamtaka Gavana Mutahi Kahiga kutoa maelezo kuhusu kauli zake tata juu ya kifo cha Raila Odinga

    Tume ya Kitaifa ya Uwiani na Maridhiano nchini Kenya (NCIC) imemtaka Gavana wa Nyeri, Mutahi Kahiga, kutoa maelezo rasmi kuhusu kauli zake zilizozua utata kuhusu kifo cha aliyekuwa kinara wa ODM Raila Odinga. Kauli hizo zimezua hasira kubwa nchini Kenya, hasa baada ya Kahiga kusema kuwa kifo...
  13. Itakuwaje iwapo Lissu(Chadema) watagomea maridhiano?

    kubali kataa CCM hawakuwa wajinga kupanga kufanya maridhiano ya kitaifa baada ya uchaguzi. Na ninachokiona target ya maridhiano ni Lissu/Chadema. Je itakuwaje endapo Lissu atagomea kushiriki kwenye maridhiano? Je Samia atafanya maridhiano na CHAUMMA? CUF? ACT? Je target ya Samia kufanya...
  14. Ushauri Kwa Rais Samia, vyama vilivyoshiriki Uchaguzi ndo viingie kwenye maridhiano baada ya uchaguzi

    Huu ni ushauri kwa Rais Samia. Nimeona wewe na Nchimbi mnahaidi kuunda tume ya maridhiano ndani ya siku 100 mkichaguliwa. Naomba nitoe ushauri kwa Rais Samia. Tunaomba CCM ilidhiane na vyama vilivyoshiriki uchaguzi kama CHAUMMA, NLD,NCCR, CUF na vingine. Mama husilidhiane na Chadema Kwa...
  15. T

    GE2025 TARIME MJINI: CCM Makao makuu wanapambana kufanya maridhiano mgombea ubunge ACT - Wazalendo ajitoe kumuokoa Esther Matiko asiyekubalika

    Juhudi kubwa zimefanyika ili wananchi na wana CCM Tarime kumkubali Esther Matiko lakini zimeshindikana. Vilanza vitisho toka kwa Mkuu wa Wilaya dhidi ya watu walioandamana kupinga uteuzi wa Esther Matiko ambayo sio chaguo la wana CCM Tarime mjini. Baadae kikaitwa kikao cha maridhiano kati ya...
  16. GE2025 Polepole: Watanzania msikubali MARIDHIANO baada ya Uchaguzi, Turidhiane sasa!

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, akizungumza kwa njia ya mtandao usiku wa Septemba 3, 2025, amesema, "Turidhiane sasa, na Mtanzania yeyote mwenye mapenzi mema na nchi hii atasimama imara kusema turidhiane sasa na siyo baadaye. Watakaoridhiana baadaye na matendo...
  17. K

    GE2025 Maridhiano yaliyoahidiwa yanahusu nini?

    Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya. Nataka sasa awaeleze waTanzania maana ya maridhiano hayo ni nini, ikiwa wakati ahadi hiyo ikitolewa hatua za maovu ya...
  18. GE2025 Je, Rais Hussein Mwinyi amesaliti maridhiano na umoja wa kitaifa Zanzibar?

    https://www.youtube.com/watch?v=MCNhPjrsMLA&t=87s
  19. F

    Kwa hali ilivyo sasa rais Samia asisubiri hadi alazimike kufanya maridhiano ya mapya na vyama vya upinzan juu ya madai ya msingi kuhusu uchaguzi mkuu.

    Hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa tete huku watu wengi zaidi wakiendelea kukosa imani na mchakato wa uchaguzi kila kukicha. Kiufupi Polepole ambaye ni kada wa ndani wa CCM emeendelea kuwafungua macho watanzania huku shauku ya kumsikiliza ikizidi kukua kila pahali. Komredi Polepole...
  20. GE2025 Yericko Nyerere: Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere, amemshutumu vikali Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akimtaja kuwa chanzo kikuu cha kuvurugika kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa nchini. Akizungumza leo Agosti 06, 2025 jijini Dar es Salaam, mara baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…