maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tupendekeze Nani Awe Mwenyekiti wa Tume ya Maridhiano Atakayekubalika na Wengi?, Mimi Nampendekeza Ama Jaji Warioba ama Prof. Shivji. Why...

    Wanabodi Siasa za pragmatic politics zinataka ukubali to do what is possible hata kama hukubaliani nacho. Mimi najua Tanzania inahitaji katiba mpya, ila kama tutapewa katiba iliyorekebishwa na kuonekana mpya, tupokee. Tume ya maridhiano ndio tume ya katiba, hivyo tupendekeze majina ya the...
  2. O

    CHADEMA tupeleke hoja ya Lissu mezani, tuzungumze ufumbuzi upatikane awe huru halafu tuendelee na mchakato wa maridhiano na Katiba mpya

    Kwa Unyenyekevu mkubwa ninawasihi viongozi wangu wa CHADEMA kuona umuhimu wa kuwasilisha hoja ya LISSU mezani ili mazungumzo yafanyike na LISSU awe huru. Kwenye meza ya mazungumzo kati ya viongozi wa CHADEMA na Rais Samia ndipo hoja za CHADEMA ikiwemo suala la LISSU litajadiliwa na ufumbuzi...
  3. Wazo Mbadala: Rais Samia Aboreshe Tume ya Maridhiano Kuelekea Katiba Mpya kwa Kufuta Tume ya Jaji LIla

    Baada ya kusikiliza kwa makini na kuchambua hotuba mbili za Rais Samia, sasa natoa mapendekezo katika hatua tatu. Katika hatua ya kwanza, napendekeza kwamba: majukumu ya "Kamati ya Maridhiano Kuelekea Katiba Mpya" yafafanuliwe ili kukidhi matarajio ya wananchi wengi yenye kujikita kwenye...
  4. Kuzungumzia maridhiano Tanzania ni kupoteza muda tu

    Maridhiano katika mataifa yote huwa yanafanyika pale ambapo kumekuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe, mauaji makubwa ya kimbari (genocide), mapinduzi, waasi, mapambano ya silaha au machafuko makubwa ya kisiasa yaliyodumu muda mrefu yakileta shida kubwa kwa matajiri na watawala. Sasa jiulize...
  5. T

    Ukitaka kuwaudhi ccm waambie tunataka maridhiano ya kweli na haki!!

    Yaani fanya ufanyavyo ila ccm hawavutiwi kabisa na maridhiano ya kweli, wao wanapenda yale maridhiano ya juu juu tu hayo ya kweli wanaona yatawaweka pagumu.
  6. Watibeli na maridhiano ya kitaifa: Hatuwezi kujenga amani kwa kuingika haki msalabani

    WATIBELI NA MARIDHIANO YA KITAIFA: HATUWEZI KUJENGA AMANI KWA KUINGIKA HAKI MSALABANI Anaandika: Robert Heriel Mtibeli Kwa niaba ya Watibeli Ndugu Watanzania, Watibeli tunafuatilia kwa makini mjadala unaoendelea kuhusu maridhiano ya kitaifa nchini Tanzania. Tumeshuhudia mitazamo miwili...
  7. K

    Bila kujuwa watekaji, wauaji ni kupoteza muda maridhiano fake

    Bila kujuwa watekaji, wauaji ni kupoteza muda maridhiano fake
  8. R

    Mtukufu Rais Samia , maridhiano yanafanywa na watu wanao tofautiana, sasa hawa marafiki wako wanaokuunga mkono kwa kila kitu mnaridhiana nini?

    Mnaridhiana mnaotofautiana. Hawa vyama shikizi ni washirika wako wakubwa, Hawa ni wasaidizi wako, marafiki zako, mnapeana bahasha, sasa mnaridhiana nini?
  9. HATUA MUHIMU: Misingi ya Marekebisho ya Katiba Kupitia Tume ya Maridhiano Inayotarajiwa Kuundwa

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tanzania inaingia katika hatua muhimu ya maamuzi ambapo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonyesha dhamira ya kuunda Tume ya Taifa ya Maridhiano na Usuluhishi ili kuweka misingi ya kufanyia marekebisho Katiba ambayo iliahadiwa katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM...
  10. E

    Siasa za Tanzania zimeshavuka vyama, Maridhiano yanahitaji Wafanyakazi, Wasomi, Azaki, Wanaharakati, Wananchi

    Hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuanzisha upya mazungumzo na vyama vya siasa, huku akiahidi kuanza mchakato wa marekebisho ya Katiba na maridhiano ya kitaifa, imeibua mjadala mpana kuhusu makundi yanayopaswa kushiriki katika kutafuta suluhu ya changamoto zinazoikabili Tanzania. Soma pia...
  11. K

    Kwasasa wahuni wote wanaojiita Vyama vya Siasa wanaohudhuria kinachoitwa maridhiano tuwatenge kwenye shughuli yoyote

    Wakuu natoa pendekezo kuwa wale wahuni wanaojiita vyama vya siasa wanaoshirikiana na wafiraji na watekaji tuwatenge kwenye mitaa yetu popote walipo.
  12. Kutoka uchaguzi feki mpaka maridhiano feki, nini kifuatacho ?

    Sasa tutegemee mabadiliko mapya feki ya katiba au katiba mpya feki.
  13. K

    MARIDHIANO AU KUTIANA UJINGA KAMA ULE ULIOITWA UCHAGUZI

    Wadau nimeona picha za vikao sijui maridhiano na wale wasaka tonge wakiwa na mkuu wa wahalifu aliyekalia ofisi Kwa ushindi fake wa kura za kutiki kwenye makorido ya lumumba, sasa mimi nauliza wanafanya maridhiano ya nini wakati walipongezana kuwa uchaguzi ulikuwa bora na huru?
  14. Kama vikao vya Samia vya safari ya maridhiano ni kwa ajili ya manufaa ya taifa lote na sio wajanja wachache, virushwe live na TV zote nchini

    Kama haya maridhiano yana nia ya kuliponya taifa, kwanini hayahusishi waliijeruhiwa kwa mrisasi, waliopoteza ndugu zao, na hayawashirikishi Chadema? Kwanini hayarushwi live na radio na tv zote nchini ili nchi nzima tujue kinachoendelea? Je kama mnapanga kutupiga tena risasi? Kwa kweli hatuna...
  15. T

    Yaani wanaridhiamaje watu wanaoelewana au mimi ndo sielewi maana ya maridhiano!?

    Yaani nimeona list ya watu wanaosemwa wamekwenda kwenye kikao cha maridhiano, yaani wote ni wale ambao kimsingi wanakubaliana kwa hoja nyingi na kutofautiana kwa mambo machache au kutokutofautiana kabisa Sasa kinachoitwa maridhiano unaweza kumaliza matatizo kwa kukaa na mtu ambaye hamtofatiani...
  16. M

    Maridhiano ni kuchelewesha Vita ya Wenyewe

    Kama ilivyokuwa kwa "No reform, no election" Hata maridhiano itakuwa hivyo hivyo, tena Safari ni jeshi ndio litavunjika
  17. Ni kituko na kichekesho Rais kutafuta Maridhiano na Vyama vilivyomuunga Mkono na vikasema UCHAGUZI Ulifanyika kwa uhuru na haki na Amani!!.

    Hapa lazima Uchanganyikiwe kama una akili timamu. Una lazimika kua mjinga sana ndio unaweza kushiriki na kuziweka maanani vichekesho kama hivi. Vyama vilivyokuambia, Rais Umeshindaaa, kwa 98%, umeupiga mwingi, UCHAGUZI umefanyika kwa amani na Ulikua Huru. Duuhh unaridhiana nao nn sasa hahahaha
  18. CCM ndo chanzo cha matatizo haiwezi kuongoza maridhiano waache usanii

    Mwendawazimu pekee ndo anaweza kukubali hizi sanaa. Majanga yote yanayotukumba chanzo ni CCM inakuwaje.ndo waongoze maridhiano. Hivyo vyama vya mfukoni vinafuata posho tu kama walivyofuata magari kipindi cha uchaguzi. CCM imeua na kutesa sana haiwezi kuongoza maridhiano..wanatkiwa wakae...
  19. Mnadanganyana na akina Mange Eti bila CHADEMA hakuna maridhiano, hebu acheni kujipa umuhimu msiokuwa nao

    CHADEMA ni nani kwenye nchi yetu? Mpaka mjipe umuhimu kiasi hiki, kwamba Kila kitu lazima kifanyike nyny mkiwepo kwani nyny ni nani? Mnawabunge wangapi? Mna madiwani wangapi? Nashangaa kuona mtu mzima kabisa Bado anaamini kuwa bila CHADEMA hakuna maridhiano aisee hebu acheni hizo fikra za...
  20. M

    CCM iwaombe radhi Watanzania dhidi ya mauwaji,

    Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki Kwa MAONI YANGU, Juhudi zilizoelekezwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…