marekani

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kupigwa marufuku kwa Micron kwailetea Marekani wasiwasi mkubwa

    China hivi karibuni ilitangaza kupiga marufuku kampuni za miundombinu muhimu nchini humo kununua bidhaa za Kampuni ya Micron ya Marekani inayotengeneza chip za kapyuta, baada ya kampuni hiyo kushindwa katika uchunguzi wa usalama uliofanywa na China. Tukio hili limeleta wasiwasi mkubwa kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa hili la Rais Mstaafu wa Marekani kushitakiwa halina ukweli unatupotosha

  3. JamiiForums Tanzania MAREKANI: LeBron James afikiria kustaafu kucheza kikapu

    Inadaiwa kuwa Nyota huyo wa Los Angeles anafikiria kuhusu uamuzi huo baada ya timu yake kupoteza kwa 4-0 dhidi ya Denver Nuggets katika Fainali za Ukanda wa Magharibi kwenye Ligi ya Kikapu ya NBA. Taarifa zinadai kuwa James amesema anahitaji muda kutafakati kama atarejea uwanjani kuendelea...
  4. JamiiForums Tanzania Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)

    The Chinese government has told operators of important infrastructure in the country to stop buying products from the US chipmaker Micron Technology. Its products carry “serious network security risks” that pose hazards to China’s information infrastructure and affect national security, the...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Marekani ina lengo gani kwa kukashifu nchi nyingine kutoa silaha kwa Russia?

    Hivi karibuni, balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini Reuben Brigety aliiomba radhi serikali ya Afrika Kusini kwa kuishutumu nchi hiyo kuipatia silaha Russia. Kabla ya hapo, Marekani nayo pia ilidai kwamba China inaweza kutoa silaha kwa Russia. Lakini halisi ni kuwa si China wala Afrika Kusini...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani yakiri kuwa na madeni, yaahidi kulipa, wapinzani wasema kiwango cha kukopa kinatia wasiwasi

    Rais wa Marekani, Joe Biden amejaribu kuwahakikishia Viongozi wa Ulimwengu kuwa Marekani haitoshindwa kulipa deni lake licha ya kiwingu kinachogubika mazungumzo ya kuongeza ukomo wa Serikali yake kukopa. Akiongea kabla ya kukutana na Viongozi wa kundi la Mataifa manne linalofahamika kama QUAD...
  7. JamiiForums Tanzania Raisi yupi wa Tanzania na Marekani uliwahi mpenda Kwa Moyo?

    Za asubuhi na za kwenu , rahisi yupi umewahi mpenda na ukaona atafanya mabadiliko kwenye hizi nchi mbili Amerika nilimpenda sana George Bush Kwa sababu alikuwa hataki utani mwanga ugali na mwaga mboga . Tanzania wote tu Baba wa taifa Kwa Raha zake nchi ilikuwa yenye maadili , hela mpaka...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani yakiri mfumo wa Patriot wadunguliwa na makombora ya Urusi

    Juzi kati hapa nakumbuka genge la Ukraine lilisema limedungua makombora yote ya Urusi na hayajaleta madhara yeyote. Baadae waziri wa ulinzi wa Urusi akasema sio tu hayajadunguliwa lakini pia waliuchakaza kwa hypersonic missiles mfumo wa patriot uliopo Ukraine. Je, ni lini Genge la Ukraine...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Je, Marekani inaogopa nini kwa kuhujumu mara kwa mara hadhi ya China kama nchi inayoendelea?

    Baraza la Wawakilishi la Marekani hapo awali lilipitisha mswada wa sheria iliyolenga kuivua China hadhi yake ya "nchi inayoendelea". Hivi karibuni, Bunge la Marekani lilipendekeza azimio lingine la kupinga hadhi ya nchi inayoendelea ya China katika Shirika la Biashara Duniani WTO. Kwa kujibu...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nje ya silaha za nyuklia, Urusi haIna kingine cha kuitishia Marekani

    Baada ya mgogoro wa kivita wa Ukraine kuanza, waziri wa mambo ya nje wa Urusi Bwana Sergey Lavrov alitahadharisha kuhusu matumizi ya Nyuklia na kusema Urusi haitasita kutumia silaha za nyuklia pale itakapobidi. Sasa naanza kuelewa kwamba ile ilikua ni defense mechanism ili kuficha udhaifu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Mjue Maxwell Chikumbutso: Mgunduzi wa Zimbabwe ambaye Marekani imemchukua

    Amegundua TV isiyotumia umeme wa kawaida au solar. Amegundua Generator isiyotumia mafuta. Amegundua Helicopters na Magari ya umeme usio wa kawaida. Alianza kufanya majaribio ya kisayansi tangu mwaka 1997 ambapo alifanikiwa kuunda vifaa kama transmitter na vifaa vingine ambavyo alivipeleka...
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani Hamna kitu zimebaki sifa tuu in short US military is overrated

    Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk. Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani yaishutumu Afrika Kusini kuipa Urusi silaha kwa siri

    Balozi wa Marekani Nchini Afrika Kusini, Reuben Brigety ametoa shutuma hizo kwa kudai silaha hizo zilipakiwa kwenye meli ya mizigo ya Urusi iliyotia nanga katika Kambi ya Jeshi la Majini Jijini Cape Town, Desemba 2022. Amesema ana uhakika na anachokisema na kudai hilo jambo halikubaliki kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani: Matukio 201 ya ufyatuaji risasi yametokea Mwaka 2023

    Matukio ya mauaji ya watu kwa risasi yameendelea kuitesa Marekani ambapo kwa mujibu wa Ripoti ya Gun Violence Archive idadi ya vifo hadi Mei 8, 2023 ni 14,865 wakati waliojeruhiwa ni 11,872. Katika rekodi hizo, waliouawa kwa kukusudia au kutokusudia ni 6,417 wakati waliojiua ni 8,448, kati yao...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Huenda 'Shida ya dola' ikarejea tena nchini Marekani

    Hivi karibuni Benki Kuu ya Marekani iliongeza kiwango cha riba kwa mara ya kumi ndani ya miezi 14 iliyopita, hatua ambayo imelaumiwa tena ndani na nje ya nchi hiyo. Kuendelea kuongeza kiwango cha riba sio tu kunaifanya Marekani kukaribia kwenye msukosuko wa kiuchumi, lakini pia kunasababisha...
  16. JamiiForums Tanzania Deep down wazungu wengi wanajuta kuwapeleka watumwa weusi, hasa Marekani

    Ukiachana na wale watu maarufu, Ukifatilia kwa karibu maisha ya black American wengi sio ya kistaarabu, ni bora watu weusi wanaoenda kwa kufanya kazi kuliko wale waloizaliwa pale pale, wana mambo ya hovyo na yenye kuaibisha black community. Nadhani wanatamani bora wangechukua latino.
  17. JamiiForums Tanzania Ukraine inawategemea Ulaya na Marekani. Je, ni kosa?

    Naona kama watu wanachukia kwa Ukraine kuwategemea Wamarekani na Ulaya kwenye vita yake dhidi ya Urusi. Kwa ni kosa kuomba msaada kwa mtu unayemuamini!!? Hata hivyo maslahi ya Ukraine na Marekani dhidi ya Urusi yanafanana, tatizo liko wapi wakisaidiana!!??
  18. JamiiForums Tanzania Angel Benard aolewa mara ya pili

    Habari, Msanii Angel Bernard ameolewa kwa mara ya pili. Mara ya kwanza aliolewa na Producer wa Nyimbo za Injili Godsave Sakafu. Angel akiwa na Godsave Sakafu siku ya Sendoff yake Julai 2015 Picha zake na mume wake mpya hizi hapa:- Kulikoni wanamuziki wa nyimbo za injili wa kike?
  19. JamiiForums Tanzania Marekani: Kampuni ya Meta yashutumiwa kuwaweka Watoto hatarini

    Mdhibiti Mkuu wa Faragha wa Data Nchini Marekani ameshutumu kampuni hiyo inayomiliki mitandao ya Facebook na Instagram kuwa haiweki udhibiti mzuri kwa ajili ya kuwalinda Watoto wanaotumia mitandao hiyo. Tume ya Biashara ya Shirikisho (FTC) pia imesema Meta inapaswa kupigwa marufuku kutengeneza...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania wake zao wanaenda kuzalia Marekani

    Msiojua kingereza mnisamehe Bongozozo has left naked the self-proclaimed patriots who seasonally migrate like wildebeest with their pregnant wives to the US to give birth. January, Nape, Bashungwa, Kinana, Kabudi, Mulamula and a bunch of other public thieves have kids with foreign passports...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…