marekani

  1. P

    JamiiForums Tanzania Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

    Rais BIden wa Marekani amethibitisha kuwa Majeshi ya Marekani na Uingereza yamefanya mashambulizi dhidi ya kikundi cha Houthi nchini Yemen Rais Biden amesema mashambulizi hayo ni kulipa kisasi dhidi ya mashambulizi ya kikundi hicho cha Houthi ndani ya Red Sea ≈============== UK Prime Minister...
  2. JamiiForums Tanzania Iran yashika meli ya Marekani jirani na Oman. Ni kulipiza kisasi dhidi ya ubabe wa US

    iran imeendelea kurekeleza sera ya jino kwa jino dhidi ya Marekani kwa kuiteka meli iitwayo St Nicholas wakati ikiwa na shehena ya mafuta iliyopakia kwenye bandari ya Iraq kuelekea Ururuki. Meli hiyo zamani ikiirwa Suez Rajan na ndiyo iliyotekwa na Marekani mwaka jana ambapo shehena ya mafuta...
  3. JamiiForums Tanzania Houth wasema wataendelea kuifunga Red Sea mpaka Marekani na Israel ziondoke Gaza

    Mjumbe wa baraza la mapinduzi la Yemen,Mohammed Ali Houth amejibu azimio la Umoja wa mataifa linaloitaka kuacha kushambulia meli kwenye bahari nyekundu. Akijibu azimio hilo,kiongozi huyo wa Houth amesema hawatoacha mashambulizi yao mpaka hapo Marekani itakapoacha kuiunga mkono Israel katika...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Maswali megine juu ya afya ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani

    09 January 2024 Washington DC Maswali Mengi Juu Ya Afya ya Waziri Wa Ulinzi wa Marekani https://m.youtube.com/watch?v=xHZWbI5w3NY Waziri wa Ulinzi jenerali Lloyd Austin aligunduliwa kuwa na saratani ya tezi dume mnamo Desemba 2023 na alipata matatizo baada ya upasuaji mdogo aliofanyiwa ili...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani kuanza kuamsha mabomu yake ya nyuklia

    Haka kadunia ketu naona tunaelekea kukafuta hivi hivi tukiona. ======== AIKEN, U.S. -- While China is bolstering its nuclear capabilities, the U.S. -- the first country to produce atomic weapons, in 1945, and the world's top economic and military superpower -- is facing a deeply worrying...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inapaswa kuacha kuongeza chuki katika suala la Bahari ya Kusini ya China

    Hivi karibuni, Balozi wa Ufilipino nchini Marekani, Jose Manuel Romualdez alipohojiwa na chombo kimoja cha habari alidai kuwa, Bahari ya Kusini ya China, na si Taiwan, ni sehemu ya hatari, ambapo vita inaweza kuanza wakati wowote. Siku moja kabla ya hapo, Ufilipino, pamoja na Marekani na Japan...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Diplomasia ya Ping-Pong ni ukumbusho kwa Marekani kuchukua hatua kuondoa mvutano katika uhusiano na China

    Ubalozi wa China nchini Marekani umefanya hafla ya kumbukumbu ya miaka 52 ya Diplomasia ya Ping-Pong, ambapo Balozi wa China nchini Marekani Xie Feng, alitoa wito kwa pande hizo mbili kutumia busara na msukumo wa tukio hilo la miongo kadhaa. Wataalamu wa China wanaamini kuwa, tukio hilo sio tu...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mpango wa uwongo wa Marekani wenye thamani ya dola milioni 300 wafichuliwa

    Kwa miaka mitano mfululizo, kila mwaka dola za Marekani milioni 300 zimekuwa zikitengwa, hivi karibuni msomi wa Ulaya Bw. Jan Oberg alifichua katika mahojiano kuwa Marekani imetoa mswada wa kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari ili watoe ripoti mbaya kuhusu China. Inadaiwa kwamba kile...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Command centre ya Hezbollah yasambaratishiwa mbali, yafichua IDF

    Wanaume kazini. ========== The IDF says it has hit a Hezbollah "command centre" in Lebanon in retaliation for strikes towards Israeli territory. An Israeli fighter jet carried out the strike in the town of Blida in Lebanon. "Earlier today, numerous launches were identified from Lebanon...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani, Israel wanashirikiana na ISIS kufanya ugaidi Iran. Huu ni uoga wa hali ya juu

    Wanaukumbi. BREAKING: ⚡ 🇮🇷ISIS sasa imedai Kuwajibika kwa Mlipuko wa Kujitoa mhanga jana kwenye Njia ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Qasem Soleimani nchini Iran. ISIS na Israeli tena wana adui sawa na huko Syria. Ajabu sana...
  11. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani akiri Hamas haiwezi kumalizwa.

    John Kirby, akiwa hapo jumba jeupe akijibu maswali ya waandishi wa habari kwa niaba ya Joe Biden, amekiri moto wa Hamas ni mkali na hawawezi kabisa kuzima, sio leo sio kesho. Kukiri huko kumewashtuwa sana serikali ya israel. Mengine jionee mwenyewe:
  12. D

    JamiiForums Tanzania Marekani inakuwa stronger sana kiuchumi au kijeshi kwa sababu ya strong base ya demokrasia waliyo nayo. Hata rais haiwezi kuleta migumo yake

    Sijui kwanini cho za Afrika au za Asia hazijifunzi kwa marekani wakawa na demokrasia. Hivi kwa mfano Kim jong UN, Putin nk wakifa lazima nchizi zao zitingia katika vita ya wenyewe kwa wenyewe mana mtu mmoja ndo mwamuzi wa mwisho tofauti na marekani ambapo hata Rais siyo final. Nchi za Afrika...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hatua ya serikali ya Marekani kuiondolea vikwazo China haiwezi kutatua changamoto za kimsingi za kibiashara

    Hatua ya Marekani kuongeza muda wa kusamehe nyongeza ya ushuru kwa bidhaa za China chini ya ‘Kifungu cha 301’ mpaka Mei 31, 2024 imepongezwa sana na jamii ya wafanyabiashara, lakini bado kuna mapungufu, kwani hatua za Marekani katika kuboresha biashara ya pande mbili bado zina vizuizi. Tangu...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Deni la Marekani ni $34 trillioni

    Ukistaajabu ya Musa, utashangaa ya Farao. Deni la Marekani kwa takwimu za 2023, limefikia $34 trilioni. Kiwango hiki kinaifanya Marekani kuwa kinara wa deni kubwa kabisa duniani. Kumbe hata matajiri wanakopa! Chanzo: Reuters...
  15. JamiiForums Tanzania Uwekezaji Mahiri Katika Maeneo ya Kimkakati ya TAWA Kuiingizia Serikali Zaidi ya Dola za Marekani Milioni 314

    UWEKEZAJI MAHIRI KATIKA MAENEO YA KIMKAKATI YA TAWA KUIINGIZIA SERIKALI ZAIDI YA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 314 Na Beatus Maganja, Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Serikali inatarajia kupata mapato yanayokadiriwa kufikia dola za Kimarekani milioni...
  16. JamiiForums Tanzania Ongezeko la bajeti ya kijeshi ya Marekani latishia amani duniani

    Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa mwaka 2024 ya dola bilioni 886 za kimarekani, na kuongezeka kwa karibu dola bilioni 30 ikilinganishwa na mwaka jana, na kuvunja rekodi ya historia tena. Katika miaka ya hivi karibuni, ili kudumisha umwamba wake...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani awanahofia mashambulizi dhidi ya Wahouthi watajibu kwa makombora ya ballistic missiles, ambayo ni hatari

    Wanaukumbi. Marekani na washirika wake wanahofia kwamba mashambulizi dhidi ya Wahouthi yanaweza kusababisha majibu kutoka kwa Wayemeni. Kizuizi kikubwa cha Ansarullah ni makombora yake ya balistiki, ambayo yana masafa ya kilomita 2,000. mali zote za Marekani katika eneo ziko ndani ya safu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Hongera Iran kwa kushtukia huu mchezo, ilikuwa ifutwe tukiiona, haya meli ya Marekani imeondoka

    Iran hapa wametumia akili sana kwa kukunja mkia na kunyamaza ndani licha ya kila jitihada kufanywa kuwashika hadi masharubu. Iran ilisema Israel wakiingia Gaza watakua wamevuka mstari, aisei Marekani wakaleta gumeli kama lote na kuweka pale na kusema mwenye kifua ajaribu hata kujikuna, Israel...
  19. JamiiForums Tanzania Houthi wajaribu kuteka meli, wauawa 10 na jeshi la Marekani

    Hawa jamaa walidhani kila siku itakua sikukuu At least 10 Houthi rebels were killed today and two wounded when US forces struck their boats in the southern Red Sea, two sources at Yemen’s Hodeida port say. The US military earlier said it had destroyed several small boats operated by the...
  20. JamiiForums Tanzania Houthi hawapigwi na Marekani kwa sababu walishatishia kulipua Saudi Arabia

    Hawa Houthi wana historia ya kulipua mabomu Saudi Arabia na hiyo ni mojawapo wa sababu kuu inafanya iwe vigumu kuwapiga. Ifahamike Marekani huilinda sana Saudi, isingekua kwa Marekani pale Saudi pangekua majivu, sijui hata wafuasi wa ile dini wangekua wanaenda wapi kupiga shetani mawe. Hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…