marekani

  1. JamiiForums Tanzania Marekani haina haki kulipiza kisasi kwa kuuliwa askari wake watatu. Watakutana na wasichokitarajia

    Sergeant William Jerome Rivers, 46, Specialist Kennedy Ladon Sanders, 24 and Specialist Breonna Alexsondria Moffett, 23 Hao hapo juu ndio askari watatu wa Marekani waliokufa kwenye shambulio la Droni huko Jordan na ambao Pentagon imeazimia kulipiza kisasi kikubwa kutokana na vifo vyao. Makundi...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani inatumia shinikizo na nguvu laini kwa Kenya kuunga mkono vita dhidi ya Wahouthi nchini Yemen

    Marekani na washirika wake wanatumia shinikizo na nguvu laini kwa Kenya kuunga mkono vita dhidi ya Wahouthi nchini Yemen - na kwa kuongeza vita vya Israel huko Gaza - wakilenga kumaliza mfululizo wa mgomo wa kutatiza meli zinazosafirisha bidhaa kupitia Bahari Nyekundu. Nairobi katika muda wa...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani yavunja Rekodi yake ya kuuza silaha nyingi nje ya Nchi

    Mauzo ya silaha za Marekani nje ya Taifa hilo kwa Mwaka 2023 yameongezeka kwa 56% tofauti na ilivyokuwa Mwaka 2022, yakifikia jumla ya Dola Bilioni 238 huku uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine ukizidisha mahitaji hayo ya silaha. Poland ambayo iko katika harakati za kupanua jeshi lake, ilifanya...
  4. JamiiForums Tanzania Vifaa vya kijeshi vya Kimarekani

    Hawa jamaa kuwafikia ni safari. Wenyewe wanasema haijawahi kutokea jeshi lenye nguvu duniani kama la Marekani katika history ya dunia Yametokea majeshi mengi sana ktk historia ya dunia kama waajemi, waamedi, warumi, wamisri, lakini jeshi la USA ndo jeshi lenye nguvu katika historia ya dunia...
  5. JamiiForums Tanzania Rais wa Namibia kuanza Matibabu ya Saratani nchini Marekani

    NAMIBIA: Rais Hage Geingob anatarajia kuanza Matibabu ya Saratani nchini Marekani ikiwa ni siku chache tangu Serikali ithibitishe kuwa Uchunguzi wa Kiafya umebaini Kiongozi huyo ana Ugonjwa wa Saratani. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais, Ikulu, imesema kwa sasa, shughuli zote...
  6. JamiiForums Tanzania Houthi wanatumia mbinu za kivita ambazo zitaichosha Marekani kama ilivyotokea Ukraine

    Tamko kwamba Marekani haina tena pesa kuisaidia Ukraine limekuwa ni la wazi na hata taifa hilo limesema jukumu la kuendelea kuisaidia Ukraine kupigana na Urusi imewaachia wenzake 50 wafanye hivyo. Pamoja na tamko hilo kutokana na uchofu katika vita hivyo, Marekani pia imesema haina mpango wa...
  7. JamiiForums Tanzania Sishangai Mbowe anakutana na mabalozi wa Uingereza na Marekani kwa sababu familia yake nzima ni raia wa nchi hiyo

    Watoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza. Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbowe wana utii kwa nchi ya Marekani na Uingereza, sio Tanzania. Mbowe hata akiiharibu Tanzania kwa maandamano na vita, yeye hana cha kupoteza kwa...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Michael Battle leo kujadili kuhusu Demokrasia nchini

    Kikao hicho kimetokea Leo ikiwa bado siku Kadhaa Ili yafanyike Maandamano Ya Chama Chake una maoni gani??
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye chombo cha habari cha nchini Marekani chaeleza ukweli kuhusu Xinjiang

    Hivi karibuni, Shirika la Habari la CBS la nchini Marekani lilichapisha waraka kuhusu safari ya ujumbe wake mkoani Xinjiang. Tofauti na habari zisizo za kweli zinazotangazwa na vyombo vingine vya habari vya nchi za Magharibi, waandishi wa habari wa CBS walieleza kile walichokiona na kukisikia...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Marekani yateka silaha za Iran wakipelekewa wanamgambo wa Houthi

    Jeshi la Wanamaji la Marekani limeripoti kwamba limekamata silaha zilizotumwa na Iran kuwapa waasi wa Houthi wa Yemen wiki iliyopita. Jeshi la Marekani (CENTCOM) lilitangaza katika taarifa siku ya Jumanne kwamba Seals wa Jeshi la Wanamaji la Marekani walipata silaha hizo wakati wa shambulio la...
  11. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani vikiripoti matukio

    1. Mwanaume mmoja aitwaye Johnson Powell amewachoma visu wanafunzi wanne na kuwaua huku wengine akiwapiga risasi. Tukio hilo lilitokea jioni ya leo. Mtuhumiwa huyo yupo kituo cha polisi. 2. Muhuni mmoja mweusi amewachoma visu wanafunzi wanne na wengine kuwaua kwa risasi katika chuo kimoja huko...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya Marekani na NATO kuishinda Urusi kwa kutumia mikono na damu ya Ukraine inaishia mdogo mdogo!

    Sasa hivi Marekani na NATO kwa ujumla wanajiondoa mdogo mdogo na zigo lote wanamwachia Zelensky na Ukraine yake! Ushindi ungepatikana wangesema ni wao wameshinda, lakini kwa sasa wanadai Ukraine inashindwa! Hata yule aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza aliyeizuia Ukraine kufikia makubaliano...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Marekani yawashambulia tena wanamgambo wa Houthi

    Jeshi la Marekani linaendelea na mashambulizi ya ziada dhidi ya waasi wa Houthi nchini Yemen, siku moja baada ya kuanzisha wimbi la mashambulizi katika maeneo karibu 30 nchini humo ili kudhalilisha uwezo wa kundi la waasi linaloungwa mkono na Iran kushambulia meli za Bahari Nyekundu, maafisa...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani yatoa 'Ujumbe wa faragha' kwa Iran baada ya shambulizi Yemen

    Biden asema amewasilisha ujumbe wa faragha kwa Iran kuhusu mashambulizi ya Houthi Taarifa kutoka Washington hivi punde zinasema Rais Joe Biden anasema Marekani imewasilisha ujumbe wa faragha kwa Iran kuhusu Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran waliohusika katika kuzishambulia meli za kibiashara...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani inafundisha Wanajeshi wa Kiafrika kufanya Mapinduzi nchini mwao? Walioongoza mapinduzi Guinea na Burkina Faso ni zao lao

    Katika majibizano makali mnamo Machi 23, 2023, Congressman Matt Gaetz alimuhoji kiundani Kamanda wa Kamandi ya U.S. Afrika, Jenerali Michael Langley kuhusu Dola za Walipa Kodi wa Marekani zilizotumika kuwafunza Viongozi wa Kijeshi wa Mapinduzi barani Afrika Mnamo Januari 2022, Luteni Kanali...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea day 100 Gaza, Marekani kukabiliwa na Migomo serikalini

    1. Mambo yenda yakiongezwa, si white house, mabakabaka, tiss ya huko, nk wataonyesha hadharani kutoridhika kwao na mambo yalivyo. 2. Hii sasa ni serikalini, kwamba mambo lukumba lukumba! 3. Kwamba kitanuka vilivyo huko kuelekea anniversary day 100 ya uvamizi wa Israel Gaza. 4. Mahsusi...
  17. JamiiForums Tanzania ITV inaunga mkono Hamas, Star TV inaunga mkono Israel na Marekani

    Bila kificho, ITV inashiriki Propaganda za Hamas. Wanasiasa wanaoalikwa kuzungumzia siasa za kimataifa mara nyingi ni wale wenye mrengo wa Hamas. Vilevile Star TV inaunga mkono Israel na Marekani bila kificho. Fuatilia utagundua hilo
  18. JamiiForums Tanzania Naombeni Picha zozote za Makomandoo wa Israel, Marekani, China, Russia na Rwanda wakiwa na Fire Extinguishers Miilini mwao

    Mkiambiwa hamna Akili mnaninunia!
  19. JamiiForums Tanzania Watu waandamana Nchini Marekani kupinga mashambulizi dhidi ya Yemen

    Katika Jiji la New York na jiji la Washington, makumi ya watu waandamana kupinga mashambulizi yanayofanyika huko Yemen. Marekani na Uingereza wamefanya mashambulizi makubwa katika kambi za kivita za kundi la kigaidi la Houthi lenye makazi yake Nchini Yemen. Jambo lililopelekea waandamanaji...
  20. JamiiForums Tanzania Uingereza na Marekani wametuma ndege za kivita kupambana na kundi Hauthi la Yemeni

    Katika maeneo lisilofahamika, zinaonekana Jet fighters za Uingereza na Marekani zikirushwa kuelekea eneo ambalo kundi la kigaidi la Hauthi kutokea Yemen lilikoweka kambi. Kundi la Hauthi limeleta kashi kashi katika Mwambao wa bahari ya Sham (Red Sea) na kupelekea Meli zinazokatiza bahari hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…