marekani

  1. X

    JamiiForums Tanzania China vs U.S Trade War: China yazuia uuzaji wa bandari zenye thamani ya $ 23 billion zilizo Panama Canal kwa kampuni ya Marekani ya BlackRock

    Tunakumbuka Trump alipoingia madarakani moja ya jambo alitaka ni kuona Panama Canal itumike kwa kuinufaisha Marekani. Changamoto ipo kwenye kumiliki bandari 2 za kimkakati zilizo karibu na Panama Canal zinazomilikiwa na kampuni binafsi ya Hong Kong. Bandari hizi zimekaa eneo zuri sana...
  2. JamiiForums Tanzania Vita ya Kibiashara kati ya Marekani na Uchina na Athari Zake kwa Tanzania na Afrika

    SOMA: Markets mixed as investors brace for Trump tariffs Vita ya kibiashara kati ya Marekani na Uchina imekuwa gumzo kubwa kwenye anga za uchumi wa kimataifa tangu mwaka 2018. Rais wa wakati huo wa Marekani, Donald Trump, alianza kuweka ushuru mkubwa kwa bidhaa zinazotoka Uchina, hatua...
  3. JamiiForums Tanzania UMATI - Tanzania, msipojipanga ,kubana matumizi, mradi wa afya ya uzazi, unakufa asubuhi na mapema, kufuatia kujiondoa kwa Marekani WHO!

    Kupunguzwa kwa misaada rasmi ya maendeleo, hususan kutoka kwa nchi kama Marekani, kumeathiri pakubwa shughuli za Shirika la Afya Duniani (WHO) na miradi yake, ikiwemo ile inayohusiana na afya ya uzazi. Hali hii inasababisha changamoto kubwa katika utekelezaji wa mipango ya afya, hasa katika...
  4. JamiiForums Tanzania Yafahamu makundi ya wahamiaji Marekani wenye mafanikio makubwa sana wengine hata zaidi ya Wamarekani wazungu

    Hapa kuna makundi ya wahamiaji yenye mafanikio zaidi nchini Marekani, kulingana na kipato, elimu, na taaluma: 1. Wahindi wa Amerika • Kipato cha Kati cha Kaya: ~$150,000 (cha juu zaidi) • Elimu: ~79% wana shahada ya kwanza au zaidi • Taaluma: Sayansi ya kompyuta, tiba...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya Iran kupewa jambajamba na marekani kamanda wa jeshi la anga la Iran ajibu mapigo

    Amir Ali Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga cha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, atoa tishio kwa Marekani: Kama Marekani anaishi kwenye nyumba iliyotengenezwa kwa vioo hapaswi kumchokoza kichaa. Kwa sababuWamarekani wana kambi 10 karibu na Iran, zinazohifadhi wanajeshi 50,000 wa Kimarekani...
  6. JamiiForums Tanzania Wanajeshi 3 kati ya 4 wa Marekani wapatikana wakiwa wamekufa katika bwawa walimokuwa akifanya mazoezi nchini Lithuania

    Hii ni baada ya juhudi nzito ya Vikosi vya NATO,pamoja na jeshi la Marekani, Lithuania, na Poland, vilivyokuwa vikishirikiana kutafuta chombo cha M88A2 Hercules ya Marekani iliyozama ikiwa na wanajeshi wanne wa Brigedi ya 1 ya Kivita walipotea wakati wa mazoezi katika bwawa(swamp) nchini...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani yapoteza ndege ya kuongozea mapigano huko Red Sea (E2 Command and Control)

    Serikali ya Yemen imetangaza kuiangusha ndege ya Marekani ya kuongozea mapigano huko Red Sea, Maafisa wa Pentagon wamesema ndege ilipoteza mawasiliano na Harry S. Truman Aircraft Carrier na wanaendelea na uchunguzi. A Yemeni governmental source told Al-Mayadeen: Houthi targeted E2 command and...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nitafutieni waziri yeyote kwenye serikali ya Marekani ambaye jina linaanza na Profesa

    Nitafutieni kiongozi yeyote wa Serikali ya Marekani na majimbo yote 50 ambaye kwenye jina lake anaanza na Professor fulani kama utapata! Hili ni jina linatumika wakati wewe bado ni mwalimu wa chuo! Ukiacha ualimu hutakiwi kuitwa Professor tena! Professor kabudi na Tibaijuka wasingetakiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Somalia yaiwekea Marekani udhibiti wa kipekee wa Vituo vya Anga na Bandari

    My Take Ikumbukwe huyu Rais wa Somalia ni wale Vibaraka wamesoma USA kama ilivyo Kwa Felix Tchisekedi wa DRC. ============== Somalia iko tayari kutoa udhibiti wa kipekee wa Marekani kwenye vituo vya anga na bandari za kimkakati, rais wake alisema katika barua kwa Rais Donald Trump, iliyoonwa na...
  10. JamiiForums Tanzania New World Order(NWO); Putin ashadadia Marekani chini ya utawala wa Trump kuitwaa Greenland!

    Haya mambo yaliyosahaulika kwa muda mrefu ya kutanua himaya za nchi kwa kuchukua maeneo ya nchi nyingine sasa yanashika kasi na yanazidi kuwa ya kawaida, inabidi na sisi tuangalie mmojawapo kati ya Rwanda, Malawi, Burundi tumchukue kabisa au mkoa au tuimege hata Congo kubwa jinga.
  11. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth Ajichora Tatoo ya Neno Kafir kwa Kiarab

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani mwenye utata Pete Hegseth amejichora tatoo ya neno Kafir kwa kiarab kwenye mkono wake wa kulia. Akimaanisha yeye hamuamini Allah Pete anajulikana kwa kupenda kwake tatoo ambazo amejichora kwenye mwili wake. Lakini tatoo aliyojichora karibuni ya neno Kafir kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Utawala wa Trump waanza ukamataji wa wageni waungaji mkono wa Wapalestina nchini Marekani

    Huko Marekani kama wewe ni mgeni ukiunga mkono Hamas au Wapalestina hadharani dola inakutia nyavuni na kukurudisha kwenu. Kuna video mojawapo ya ikimuoneysha mwanafunzi aliyejulikana kwa jina la Rumeysa Ozturk kutoka Uturuki anayesoma chuo kikuu cha Tufts ikionyesha maafisa uhamiaji(ICE)...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini mfumo wa Afya/matibabu Marekani huwa unalalamikiwa sana na raia wao wakati hilo ni taifa tajiri?

    Miaka na miaka sekta ya afya Marekani imekuwa ikilalamikiwa sana kwamba ni ghali sana na inayonyima watu wengi fursa ya matibabu. Hivi karibuni mpaka CEO wa kampuni ya afya alilimwa risasi na kuuwawa na kijana mwenye hasira kali kwa sababu ya kero za bima ya Afya. Inakuaje taifa tajiri lenye...
  14. JamiiForums Tanzania Utawala wa Trump Kusitisha msaada wa kifedha kwa Gavi, Shirika linalookoa maisha ya watoto nchini zinaoendelea

    Hati ya kurasa 281 iliyopatikana na gazeti la The Times inaonyesha mipango ya utawala wa Trump kuhusu maelfu ya miradi ya misaada ya kigeni. Utawala wa Trump unakusudia kusitisha msaada wa kifedha wa Marekani kwa Gavi, shirika ambalo limekuwa likinunua chanjo muhimu kwa watoto katika nchi...
  15. JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege wa sanaa huko Yemen usiku huu unapata kipondo kutoka majeshi ya Marekani

  16. JamiiForums Tanzania Waziri mlevi wa ulinzi wa Marekani ajisahau na kuvujisha kwa mwandishi habari mipango ya kivita kwa Yemen kupitia WhatsApp!

    Raia wa Marekani wamepigwa na butwaa baada ya mwandishi wa gazeti la Atlantic ambaye ni mhariri kudai aliungwa kimakosa na waziri wa Ulinzi wa US katika group la WhatsApp lilikouwa likijadili mipango ya mashambulizi kwa Houthi huko Yemen. Group hilo la WhatsApp lilijumuisha viongozi wakubwa wa...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani: Mbunge Mwanamke Kutoka Republican Afariki

    Mia Love, mbunge wa kwanza mwanamke mweusi wa chama cha Republican nchini Marekani amefariki akiwa na umri wa miaka 49 huko Utah, imetangaza familia yake. Taarifa hiyo imesema, aliaga dunia kwa amani siku ya Jumapili, akiwa amezungukwa na familia nyumbani kwake huko Saratoga Springs. Love...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Karibu wazungu 70,000 wa Afrika Kusini wajiandikisha tayari kuhamia nchini Marekani

    Wazungu karibu 70,000 wa Afrika Kusini wamejiandikisha tayari kuhamia nchini Marekani kufuatia tangazo lililotolewa na na rais Donald Trump. Hivi karibuni rais Donald Trump wa Marekani alisaini "Amri ya Kiutendaji" inayowaruhusu wazungu wa Afrika Kusini ambao wangependa kuhamia nchini Marekani...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wazungu waliacha kuamini uchawi na kuua wachawi ? nini sababu ya kufutwa kwa Witch hunting ulaya na marekani ?

    Watu wakijipa muda zaidi na kusoma kuhusu history za uchawi hasa msako wa wachawi (Witch Hunts in the Western World) kwenye karne zilizopita ulikuaje na kwa nini kilisababisha msako huo usitishwe. pia wakasoma kuhusu msako wa wachawi uliotokea marekani pia maarufu kama The Salem Witch Hunt na...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Marekani hawajali maadili (Porno Industry) ila Mungu anawapa hela nyingi tofauti na Tanzania inayozingatia sana maadili??

    Marekani ndio kiwanda kikuu cha picha za X ila Mungu anaendelea kuwajaza mihela kila siku. Tanzania wamefungia websites zote za picha hizo za X lakini bado wanaenda kuwaomba msaada wa hela Marekani waliokosa maadili na kuamua kuwaacha raia wake wacheze picha za utupu. Huyo dada hapo chini ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…