marekani

  1. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa FBI atangaza kuanza kushughulika na Wachina na ushawashi wao Marekani

    Adai ushawashi wao Marekani umekuwa na uharibifu kwa miaka mingi, ataanza na wale wanaomiliki mashamba na sekta ya chakula.
  2. JamiiForums Tanzania Marekani yaongeza ushuru wa asilimia 104% kwa China

    Rais Donald Trump anatarajiwa kuweka ushuru wa kushangaza wa asilimia 104 kwa bidhaa zote zinazoingia kutoka China kuanzia Jumatano, kwa mujibu wa msemaji wa Ikulu ya White House, Karoline Leavitt, aliyezungumza Jumanne. Awali, China ilikuwa tayari inakabiliwa na ongezeko la asilimia 34 katika...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Soko la hisa China lashuka vibaya tangu 2008, Trump achochea kwa kuongeza ushuru baada ya China kukaidi kufuta ushuru, China yalalamika Bullying

    📅 Kabla ya Aprili 2, 2025 Ushuru wa Marekani kwa bidhaa za China ulikuwa 20 %, Ushuru wa China kwa bidhaa za Marekani ulifikia 67 % 📅 Aprili 2, 2025 Rais Donald Trump atangaza ushuru wa ziada 34% kwa bidhaa zinazotoka China, Jumla ya ushuru kuwa 54 %, akidai ni kulinda soko la Marekani 📅...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanamgambo wa Iraq wanaoungwa mkono na Iran wako tayari kusalimisha silaha chini ya shinikizo la Marekani

    Baadhi ya wanamgambo wa Iraq wanaoungwa mkono na Iran wako tayari kusalimisha silaha chini ya shinikizo la Marekani - Reuters. Vikundi vya wanamgambo nchini Iraq vimejiandaa kusalimisha silaha zao kwa mara ya kwanza ili kuepusha tishio la kuongezeka kwa mzozo na Marekani, kulingana na makamanda...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Taliban waomba Marekani Wafungue kambi ya Kijeshi

    Hakuna Watu rahisi kuwagombanisha kama Wavaa Kobazi. Je unajua Iran Taifa la kiislam Lina ugomvi mkubwa wa maji na mpaka na Taliban. Katika Hali isiyotarajiwa Taliban yapendekeza Marekani ifungue upya kambi ya Jeshi Afghanistan https://x.com/sentdefender/status/1909464893146755377 Note: zile...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani yarudi Afghanstan

    Habari ambazo hazijathibitishwa zinaeleza kuwa Marekani imerudi nchini Afghanstan kwenye kambi ya Baghram baada ya kufanya makubaliano na Taliban. Hayo yameonekana baada ya Marekani kuwaachilia na kuwaondoa katika list ya magaidi sehemu ya viongozi wa Taliban. Pia imeonekana hivyo baada ya...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akikaribishwa white-house na rais wa Marekani Donald Trump

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii amepokelewa White-house na Rais wa Marekani Donald Trump Wakiwa kwenye kikao chao watazungumza mambo mbalimbali yakiwemo vita vinavyoendelea na Hamas na Saula la Iran kushutumiwa kuwasaidia magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth huko Yemen. Ma...
  8. M

    JamiiForums Tanzania WASHINGTON: Mataifa zaidi ya 50 yamesema yapo tayari kuondoa vikwazo kwa bidhaa za Marekani

    Mataifa zaidi ya 50 duniani yamesema yapo tayari kujadiliana na Marekani juu ya kuondoa vikwazo vya kibiashara kwa bidhaa za Marekani zinazoingizwa katika mataifa hayo. Hii inakuja baada ya Marekani kuongeza ushuru wa asilimia kadhaa kwenye bidhaa zinazouzwa nchini Marekani kutoka mataifa yote...
  9. L

    JamiiForums Tanzania China yaitikia vita ya ushuru ya Marekani ili kutetea haki

    Katika kipindi muhimu cha ufufuaji wa uchumi wa dunia, Marekani imetumia tena rungu la ushuru, ikiamua kutoza ushuru ambao inauita "sambamba" kwa washirika wake wote wa biashara duniani, ambapo ushuru wa bidhaa kutoka China utafika hadi 34%. Ikikabiliana na hatua hii ya kimabavu ya wazi, China...
  10. JamiiForums Tanzania NBA Special Thread: Ligi ya Mpira Wa Kikapu Ya Marekani

    NBA Ilianzishwa mnamo Juni 6, 1946, kama Chama cha Mpira wa Kikapu cha Amerika (BAA), ilipitisha jina la NBA mnamo 1949 baada ya kuunganishwa na Ligi pinzani ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL). Timu za NBA zimegawanyika mara mbili katika Eastern Conference na Western Conference. Katika msimu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Tariff na deportation ni ukamilisho wa ufunuo wa yohana

    Ukisoma ufunuo wa yohana utagundua ya kuwa haya yote yatokeayo duniani yalishatabiriwa 2000yrs ago. Taifa moja lenye nguvu duniani ndilo hilo marekani. Rais mmoja mwenye nguvu ndiyo huyo atawalaye marekani. Tariff na timua timua ya wazamiaji ndiyo nguvu za kuitawala dunia. sasa kinachosubiliwa...
  12. JamiiForums Tanzania Afrika yapongezwa kwa kukataa kua tegemezi wa Marekani na Ulaya

    Nchi za Africa zimefanya chaguo sahihi la kutafuta mshirika wa kiuchumi anayejali na kuheshimu mamlaka za Nchi hizo na kuepukana Ushirika wa Marekani na Ulaya ambao mara nyingi umekua haziheshimu mamlaka za Nchi husika na wamekua wakiingilia siasa na hata kujaribu kushinikiza ajenda zao...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani kuishambulia Iran ndo utakua mwisho wa taifa hilo!!

    Hivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi? Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa ajili ya kuvilenga vituo vya Nyuklia na jeshi la Iran Kwa maana wanaona sasahivi ndo wakati muafaka...
  14. JamiiForums Tanzania Orodha ya bidhaa Anazonunua Marekani toka Russia na thamani

    List of items US imported from Russia 🇷🇺💪
  15. JamiiForums Tanzania Vita gharama Marekani imetumia $Bilion 1 kuanzia March kushambulia jangwani

    Wamarekani wameanza kutoa mlio baada Jeshi lao kutumia Dola billion 1 kushambulia mawe jangwani huko Yemen na kusema hasara tupu hamna lengo lolote lililofikiwa NEW: 🇺🇸🇾🇪 The U.S. has spent over $1 billion bombing Yemen in the name of Israel since March 15 - CNN Hundreds of millions were spent...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Marekani na canada waungana na saudia na india

    Marekani na Kanada waungana na India, Saudi Arabia, Cuba, Misri, Kenya, Pakistan, na Oman huku Brazil ikisitisha safari za bila visa – Hatua mpya za kukuza utalii na usalama: Mambo mapya unayopaswa kujua Brazil imetangaza kusitisha rasmi safari za bila visa kwa raia wa mataifa mbalimbali ikiwa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Hata Marekani haijamaliza tatizo la ajira, tutalifanyia kazi ili baada ya miaka mitano tuseme tumelipunguza

    Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kitaweka mikakati mizuri ya kuhakikisha vijana wanapata ajira. Kauli hiyo ameitoa Aprili 5, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mbambabay, wilayani Nyasa, alipokuwa ziarani mkoani...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ya Lebano yasema imeshaujua ujanja wa Marekani na Israel.Hawataki kuletewa fujo nchini mwao.

    Raisi wa Lebanon na waziri wake mkuu wote wamekuwa wakali dhidi ya nja za Marekani na Israel kuwalazimisha kufanya mambo ambayo hayana maslahi na taifa. Kwanza ni kuhadaiwa kurejesha uhusiano na Israel na pili ni kuwanyang'anya silaha kundi la wapiganaji wa Hizbullah. Viongozi hao wamelalamika...
  19. JamiiForums Tanzania Heche anapolinganisha Israel na mikoa ya Tanzania ni uchovu wa kufikiri, Israel inalelewa na Marekani kama last born,wachumi wamjibu!

    Kama kuna mahali mabilioni kama sio matrilioni ya dola yanamwagwa, ni Israel. Kila wanachokifanya asilimia 95 ni mmarekani ndiye anafanya. Nashangaa kiongozi wa kitaifa wa chama anashindwa kujua hilo. Hata risasi zinazoua Gaza ni za Marekani. Wachumi wamsaidie. Mmarekani anacholeta Tanzania...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Obama amchana Trump: 'Fikiria Kama mimi ningefanya yote haya!'

    Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, ameonya dhidi ya mwenendo wa kisiasa wa Donald Trump, akisema kuwa hatua kama kusitisha vibali vya usalama na kufuta mikataba kwa kampuni zinazohusishwa na wapinzani wa kisiasa ni kinyume na maadili ya kidemokrasia. Akizungumza katika Chuo cha Hamilton...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…