marekani

  1. JamiiForums Tanzania Trump aonya Iran dhidi ya kushambulia Marekani kwa namna yoyote ile

    Rais Donald Trump amesema Marekani haihusiki katika vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran. "Marekani haikuwa na uhusiano wowote na shambulio dhidi ya Iran, usiku wa leo," Trump amesema katika chapisho kwenye jukwaa lake la Truth Social platform. Iran imeionya Marekani na washirika wake...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Trump anaweza kutoa mkeka wa Nchi 36 zitakazopigwa marufuku kuingia Marekani, Tanzania yadaiwa kuwepo

    Trump Kufikiria Kuongeza Nchi 36 Katika Orodha ya Marufuku ya Kusafiri, Ikiwemo Nchi za Afrika na Karibiani – Ripoti Utawala wa Donald Trump unafikiria kuweka vikwazo vya usafiri kwa nchi nyingine 36, kulingana na waraka uliosainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ambao...
  3. 5

    JamiiForums Tanzania Iran yaonya kushambulia vituo vya US, Uengereza na Ufaransa kama zitajaribu kuikingia kifua Israel

  4. JamiiForums Tanzania Matukio yote Duniani Yanayofadhiliwa na Marekani ni Ajenda Iliyopangwa Muda Mrefu

    Watu wanashindwa kutambua kuwa Marekani ilishaachana na sera za kujenga mabarabara na shule, ajenda yao kuu ni kuwa na nguvu Duniani, kuitawala Dunia, kuiweka Dunia kiganjani. Ulaya yote hakuna anayekoroma pale ambapo Marekani anatoa maelekezo yake kuhusu Dunia, zaidi ya kuwa watu wa Ulaya ni...
  5. JamiiForums Tanzania Ni nini tunajifunza; vita vya Israel na Marekani kwa upande moja na Irani kwa upande wa pili

    VITA VYA ISRAEL NA IRAN Vita hivi kwa Wachambuzi wengi wa mambo ilikuwa ni jambo lililokuwa likitarajiwa kwa muda sasa hasa ikizingatiwa kampeni ya Israel dhidi ya HAMAS, HESBOLLAH kuanguka kwa utawala wa Syria na Kikundi cha Houthi cha YEMEN. Kampeni hii ililenga kuhakikisha kuwa Israel...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Marekani Yaipa Onyo Iran. Mataifa ya Kiarabu Yaungana na Marekani Kudungua Makombora ya Iran

    Baada ya Israel kuishambulia Iran Kwa ndege, na kuteketeza vituo vya kurutubisha nuclear energy. Shambulio ambalo pia limeua makamanda 6 wa juu wa jeshi la Iran, akiwemo mkuu wa majeshi ya Iran, Rais wa Marekani ameipa onyo Iran na kuitaka kukubali mkataba na Marekani utakaoizuia Iran...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani yasema haijahusika na Saudia yalaani mashambulizi dhidi ya Iran.Wote ni waongo na wanafiki

    Utawala mpya wa Marekani umeshtuka kwamba hawawezi tena vita vya ana kwa ana na mataifa mengine ndio maana kwa sasa imeamua kupigana nyuma ya mataifa madogo kama Ukraine na Israel Kwa upande wa Saudia ndio kabisa amekuwa kibaraka ovyo ma mataifa ya kibeberru kwa kuchukua majukumu ya kikuwadi...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani imehusika kwa kiwango cha kutosha kabisa katika kuisaidia Israel kuitandika Iran

    Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran. Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani. Uwezo huo wa midair refueling Israel haina. Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo. Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan...
  9. JamiiForums Tanzania Iran yakubali kusalimu amri, kuufuata ushauri wa Donald Trump rais wa Marekani

    Rais wa Marekani Donald Trump ameitaka Iran irudi haraka kwenye meza ya mazungumzo na kusaini makubaliano ya kusitisha mpango wa nyuklia kabla haijapoteza kila kitu. Rais Trump ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa Truth social Taarifa hiyo nmekuekea hapo chini kwenye comments Trump amesema...
  10. JamiiForums Tanzania Trump asema marekani itajilinda na kumlinda Israel

    Rais wa marekani Donald Trump amesema taifa lake litajilinda na kumlinda Israel kama Iran ikijibu hii ni kufuatia mashambulizi ya Israel katika nchi ya Iran. === Rais wa Marekani Donald Trump alieleza katika mahojiano na Fox News kwamba Marekani itailinda Israel iwapo Iran itajibu mashambulizi...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani "Marco Rubio": Israel wamejichukulia maamuzi yao, sisi hatuhusiki kwa lolote lakini ole wao Iran watuguse !

    Statement from Secretary of State Marco Rubio “Tonight, Israel took unilateral action against Iran. We are not involved in strikes against Iran and our top priority is protecting American forces in the region. Israel advised us that they believe this action was necessary for its self-defense...
  12. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Licha ya No Reforms No Elections, Serikali ya Marekani bado inaiamini sana Tanzania

    Shirika la Fedha la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (DFC) wiki hii lipo nchini Tanzania kujadili mikakati ya jinsi ya kuwavutia wawekezaji wa Kimarekani kuja Tanzania ili kushirikiana na makampuni ya Kitanzania, hasa katika sekta za miundombinu na madini muhimu. Kaimu Balozi Andrew Lentz...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Marekani yaagiza raia wake kukimbia Mashariki ya kati, Israel kuitandika Iran kabla ya Jumapili, maandalizi tayari

    Wadau hamjamboni nyote? Ni suala muda Trump baadaye alithibitisha kwamba baadhi ya wafanyakazi wa Marekani wanahamishwa kutoka Mashariki ya Kati "kwa sababu inaweza kuwa mahali hatari." "Tutaona kitakachotokea... Tumetoa notisi... Iran haiwezi kuwa na silaha ya nyuklia," aliwaambia waandishi...
  14. JamiiForums Tanzania Dar ilipaswa kuwa jiji linalotoa Wabunge vichwa sana ila hali ni tofauti na Majiji mengine ilimwenguni

    Majiji makuu mengi hasa Africa huwa yana Wabunge moto sana na hii ni kwa sababu huwa ndio kitovu cha upinzani na pia ndio kumejaa Wasomi na watu waelewa wenye information zote. Ila sasa njoo Dar ambako Jiji lina Wabunge Vilaza sana kuzidi hata huko mikoani, mtu kama Talimba eti ni Mbunge...
  15. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Afrika wanapenda zaidi kusoma nchini China badala ya Marekani

    Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kwamba itaweka vizuizi vya viza kwa wanafunzi wa kimataifa katika Chuo Kikuu cha Harvard, na kuchunguza viza ya wanafunzi wa kimataifa wanaosoma katika Chuo Kikuu hicho. Awali, serikali ya Marekani iliagiza balozi za Marekani duniani kote kusitisha...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani ina katiba nzuri na mfumo mzuri wa uchaguzi, lakini vurugu na risasi havikomi — Kwanini?

    Marekani ni taifa linaloheshimika duniani kwa kuwa na katiba ya kihistoria yenye kuheshimu haki za binadamu, pamoja na mfumo wa kidemokrasia ulio imara. Chaguzi za Marekani huendeshwa kwa uwazi na uhuru mkubwa. Licha ya hayo yote, bado katika Taifa hilo kubwa duniani, tunashuhudia matukio ya...
  17. JamiiForums Tanzania Maandamano ya kumpiga Trump yanazidi kusambaa Marekani

    Wanaukumbi. Hii si Syria, Iraq, au Yemen... hii ni Los Angeles chini ya utawala wa Marekani yenyewe. Uharibifu, machafuko na machafuko waliyopanda ulimwenguni yalianza kuwaangamiza kutoka ndani. ================ This is not Syria, Iraq, or Yemen... this is Los Angeles under the rule of...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yatangaza hali ya hatari kwa Demokrasia, yalaani njama za kukandamiza Harakati za Mabadiliko

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwaarifu viongozi, wanachama, na umma wa Watanzania juu ya hali ya hatari inayojitokeza kwa kasi dhidi ya vyama vya siasa vinavyopigania mabadiliko ya kweli nchini. Hali hii inaashiria juhudi za kurejea kwa enzi za utawala wa kiimla...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyorudisha nyuma Ujasusi wa Marekani kwa miongo mingi nyuma baada ya mapinduzi ya 1979

    Baada ya Mapinduzi ya kiislamu ya mwaka 1979 vijana wa Iran walisema mapinduzi hayatokuwa salama mpaka mtandao wa kijasusi wa CIA ndani ya Iran utunduliwe. Vijana kwa kufahamu kuwa Msingi mkuu wa ujasusi wa marekani katika nchi nyingi duniani cordination hufanywa katika balozi za nchi hizo, basi...
  20. JamiiForums Tanzania Yaripotiwa Elon Musk kutwangana makonde na waziri wa fedha wa Marekani, Scott Bessent

    Baada ya maswahiba wawili Elon na DJT waliowahi kushibana sana kumwagana wiki ya karibuni siri zao mbalimbali zaendelea kuvuja au kuachiliwa, mojawapo ya hivi karibuni na Elon Musk kushikana mashati na waziri wa fedha wa Marekani katika moja ya vikao kazi vyao ambapo ilibidi hadi watu wazima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…