marekani

  1. Israel yaiomba ruhusa Marekani iishambulie Iran, URUSI yaondoa wanadiplomasia Tel Aviv

    Duru za kikachero zinadai israel iliiomba marekani ruhusa ya kufanya shambulio la kujihami(pre-emptive strikes) dhidi ya Iran Japo duru haziarifu ikiwa Marekani ilikubali au laa, lakini kitendo cha dege la kirusi la kubeba viongozi na wanadiplomasia kutua tel aviv kubeba wahusika,kadhalika...
  2. Sasa hivi ukichana Bendera ya Marekani- Kifungo mwaka mmoja!

    Baada ya waarabu kueneza tabia ya kuchana na kuchoma Bendera za Marekani sasa Rais wa Marekani amekuja na Muarobaini wa kuamua kuwafunga a kuwafukuza Marekani wote watakaofanya vitendo hivyo vya kihuni!!! Pia amewataka wote ambao hawaipendi Marekani waondoke huko warudi uarabuni haraka sana!
  3. Jehanamu la Watoto: Hadithi ya shule ya Dozier School for Boys – Gereza la Kikatili kwa Vijana Marekani

    Wapo watakaosema kuwa magereza hatari kwa vijana inaweza kuwa ni Komboinsin Juvenile Prison kutoka Burkina Faso, ama lile gereza la Gitarama ambalo kwa sasa linaitwa gereza la Muhanga kwa Kagame lililopo ndani ya taifa la Rwanda, ama gereza la Nsinda. Lipo kundi la watu wengine watakuja mbele...
  4. Front-Running na Market Manipulation: Sababu za Hedge Funds Kushitakiwa Marekani

    Soko la fedha ni lenye mtiririko mkubwa wa fedha, na mara nyingi hedge funds au mabenki makubwa hujaribu kutumia nafasi zao kupata faida. Hata hivyo, baadhi ya vitendo vinavyojulikana kama front-running na market manipulation vinapingana na sheria za Marekani, na vinaweza kusababisha kesi za...
  5. Mpango wa Trump na Marekani ni kuidondosha EU, sio Urusi

    Adui namba moja wa uchumi wa Marekana ni Ulaya iliyoungana na sarafu ya euro. Marekani inakasirishwa na upanuzi wa umoja wa ulaya kuelekea Mashariki. Upanuzi huu wa ulaya unaibana Marekani kwa upande mmoja na China kwa upande mwingine na baadae BRICS kwa upande uleee. Uingereza kujitoa kwenye...
  6. J

    David Kafulila: Credit Rating Agency kama Fitch na Moody`s hawawezi kuipendelea Tanzania wao kama ni nyeusi wanaita nyeusi hata Marekani wanaishusha

    == Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, amesema kuwa Tanzania imepimwa na wakadiriaji wakubwa wa uwezo wa kifedha wa kimataifa kama Moody’s, Fitch na Standard & Poor’s, na wote wamethibitisha kuwa uchumi wa Tanzania ni imara, himilivu na...
  7. Mwanajeshi wa Marekani ahukumiwa kwa kufanya ujasusi kwa ajili ya China

    Baharia wa Jeshi la Wanamaji la Marekani huko California amehukumiwa kwa kosa la ujasusi kwa kuuza siri za kikosi hicho kwa afisa wa China ambaye alimsajili kupitia mtandao ya kijamii. Jinchao Wei, 25, alipatikana na hatia ya mashtaka sita, ikiwa ni pamoja na ujasusi, njama ya kufanya ujasusi...
  8. Hakuna hata raia mmoja wa Marekani amezamia China

    Hakuna hata raia mmoja wa Marekani amezamia China kwenda kutafuta maisha bora ama hifadhi ya ukimbizi. Kwa mwaka wa 2022/23 pekee zaidi ya raia kutoka China laki 3 walizamia Marekani kupitia mpaka wa Marekani na Mexico na wengine kuendelea kwenda Canada kutafuta maisha Bora. Xi Jinping Mi mi
  9. “Kuamka” kwa Raimondo na ugonjwa sugu wa kisiasa wa Marekani dhidi ya China

    Waziri wa zamani wa Biashara wa Marekani Gina Raimondo hivi karibuni amekiri wazi kwamba “kujaribu kuzuia maendeleo ya China ni jambo lisilowezekana”. Matamshi hayo ni tofauti kabisa na msimamo wake mgumu dhidi ya China wakati alipokuwa madarakani. Mabadiliko haya makubwa yameonesha ugonjwa sugu...
  10. Propaganda ya vita baridi: kwa nini kgb ilituhumu marekani kuunda na kusambaza VVU

    Katika miaka ya 1980, dunia ilikuwa katikati ya mvutano mkubwa wa kisiasa unaojulikana kama Vita Baridi—mapambano ya kiitikadi, kiuchumi, na kijeshi kati ya Marekani na Umoja wa Kisovyeti. Katika mazingira haya ya mashaka na ushindani wa kimataifa, kila upande ulitumia mbinu mbalimbali za...
  11. Walinzi wa mwili wa Putin ‘hukusanya kinyesi chake anaposafiri nje ya nchi na kukirudisha Urusi pamoja naye’

    realratedred Vladimir Putin anakutana na Donald Trump huko Alaska leo kwa mazungumzo ya amani yenye umuhimu mkubwa kuhusu vita vya Ukraine, na inaripotiwa kwamba ameambatana na moja ya hatua zake za kiusalama za ajabu kabisa. Kulingana na waandishi wa habari wa uchunguzi kutoka Ufaransa, Regis...
  12. Marekani yalazimika kumaliza vita ilivyovianzisha kwa haraka ya ajabu

    Marekani inaendelea kuwa kituko katika dunia kwa kulazimika kufanya juhudi za haraka kumaliza vita ilivyovianzisha kwa tamaa ya kutanua utawala wake kupitia NATO. Juhudi za kumaliza vita kati ya Urusi na Ukraine zilianza tangu utawala wa raisi Biden.Kwa sasa juhudi hizo chini ya raisi Trump...
  13. S

    Seneta wa Marekani atishia taifa lake kwa adhabu ya Mungu kwa kuacha kusaidia Israel

    Seneta wa Marekani Lindsey Graham ameonya kuwa ikiwa Marekani itasitisha misaada kwa Israel, basi Mungu atailetea taifa hilo adhabu. Akizungumza katika hafla ya kuchangisha fedha ya 58 ya “Silver Elephant Gala” huko South Carolina, Graham alisisitiza kuwa Israel ni mshirika wa karibu zaidi wa...
  14. SADC na Marekani kuanzisha jukwaa la majadiliano

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki kikao cha awali cha maafisa waandamizi cha Jukwaa la Majadiliano kati ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Serikali ya Marekani...
  15. R

    Nchi zinazotambua Taifa la Palestine, Marekani ikiwa imejitenga kidiplomasia

    Idadi ya nchi zinazotangaza kutambua taifa la Palestina inaendelea kuongezeka, ambapo zaidi ya mataifa 145 sasa yanatoa wito wa kutambuliwa kwake kimataifa Nchi nyingi zilizotambua taifa la Palestina zilifanya hivyo mwaka 1988, baada ya Baraza la Kitaifa la Palestina kutangaza rasmi kuanzishwa...
  16. Papa Leo XIV aongoza kuwa mtu anayependwa zaidi Marekani

  17. Elon Musk awa kinara wa kura za maoni za mtu aneyechukiwa zaidi Marekani

    According to Gallup's latest poll, several current and former Trump administration officials have also seen plunging favorability ratings, including secretary of state Marco Rubio, and president Trump himself, setting the stage for a whirlwind midterm election next year. Trump has since tried...
  18. R

    Mtanzania, Subiro Mwapinga akabiliwa na Mashtaka Marekani kwa Mipango ya kusambaza Silaha za Kijeshi kwa genge la biashara ya Dawa za Kulevya

    Raia mmoja wa Tanzania ametajwa miongoni mwa watuhumiwa wanne wa kigeni wanaodaiwa kupanga kusambaza silaha za kijeshi zenye thamani ya dola milioni 58 sawa na Sh145 bilioni fedha za kitanznia kwa moja ya magenge hatari zaidi ya biashara ya dawa za kulevya duniani Subiro Osmund Mwapinga...
  19. Hii kweli ni New York ya Marekani ?

    Nimeona mtandaoni watu wakiijadili hii picha wakisema ni New York ya U.S.A! Mbona hapa ni kama Mbagala au Karume tu?!
  20. S

    Mzozo Mkali unaoendelea kati ya Marekani na Venezuela

    Mnamo Agosti 2025 Serikali ya Marekani ilitangaza ongezeko la zawadi hadi dola milioni 50 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela Hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na tuhuma kwamba Maduro anaongoza mtandao mkubwa wa usafirishaji wa dawa za kulevya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…