marekani

  1. Ni aibu kubwa kwa Taifa kubwa kama Marekani kutokuwa na lugha yao ya asili na rasmi, wanazidiwa mpaka na Wamakonde

    Moja kwa moja. Lugha ni kielelezo kikubwa cha utamaduni , historia , utambulisho na ukubwa wa Jamii. Cheki mataifa yote makubwa yana lugha na Dola zilizosumbua zote zina lugha zao China ; Wanaongea kichina na wanajivunia nacho mpaka Xi Jinping anaongea kichina tu wakati wowote. Russia ; wana...
  2. Jeshi la Marekani linajiandaa kwa operesheni zinazoweza kuchukua wiki kadhaa nchini Iran

    Maafisa wawili wa Marekani wamekiambia chombo cha habari cha Reuters, kuwa Jeshi la Marekani linajiandaa kwa uwezekano wa operesheni endelevu za wiki moja dhidi ya Iran ikiwa Rais Donald Trump ataamuru shambulio. Ufichuzi huo wa maafisa hao, ambao walizungumza kwa sharti la kutotajwa majina...
  3. Ni kichaa pekee anaweza kulinganisha uwezo wa Iran na Marekani kivita

    Ukweli ni kwamba uwezo wa Iran kivita unapaswa kulinganishwa na vinchi kama UAE, Egypt, Palestine na vinchi vingine vya kipuuzi.
  4. Bunge la Tanzania lijadili kikundi cha wabunge wa Ulaya na marekani kinachotumiwa kuichafua Tanzania

    Ni vyema sasa na wabunge wetu wakapewa nafasi ya kuwajibu hawa mabeberu wenye kushirikiana na vibaraka wao ambao kazi yao ni kuchafua taswira ya Tanzania. Utashangaa kabunge kabinti hata ubwabwa wa shngo haujatoka kabasimama kuiongelea Tanzania vibaya
  5. Q

    Bunge la Marekani: Kama Jumuiya za Kimataifa zingesimama na viongozi wa kidini na upinzani, mauaji ya Oktoba 29 yangeweza kuzuiwa

    Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Marekani, Chris Smith, amekemea vikali vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu na mateso dhidi ya waumini wa dini mbalimbali duniani. Katika hotuba yake, Smith ameorodhesha nchi zinazokandamiza uhuru wa kidini kuwa ni China, Urusi, Nikaragua...
  6. Sikuwahi kujua kama Watanzania ni watu wanaojidharau kiasi hiki, wanaamini Mataifa mengine ndiyo Paradiso, wageni ndio wenye thamani bali si wao

    Hali inatisha sana, Watanzania ni watu wanaojidharau sana sikuwahi kufahamu hili tangu mwanzo Hawajiamini kabisa hasa wanapojilinganisha na watu mashuhuri duniani Hawaoni kama wao wana thamani kubwa wala hawaoni thamani ya Taifa lao Mtanzania anaposema anamfahamu Barack Obama basi watakataa...
  7. K

    Ni kama vile Urusi ilikuwa anaisubiri Marekani aishambulie Iran ili Urusi alipe kisasi.

    Putin baada ya kuona anashambuliwa na USA kwa kushirikiana na NATO kupitia Ukraine,alitoa ahadi kuwa, kuanzia Sasa Urusi itakua inazipa silaha Kali nchi mahasimu wa Marekani. Akapendekeza kuwa wanaweza kuanza kuwapa silaha wa Houth kwa vile Wana ujasiri na uthubutu. Sasa muda wa kisasi ndio...
  8. Marekani Yafunga balozi zake za Burundi, Rwanda na Uganda

    Kupitia tovuti zao, Ubalozi wa Marekani Hii ilitokana na ukosefu wa Fedha katika Balozi hizo baada ya Marekani kuchukua hatua kadhaa kukomesha matumizi ya Marekani nje ya nchi. Hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni Marekani kusitisha VISA kwa nchi nyingi ikiwemo Burundi na nchi mbali mbali...
  9. Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amemjibu tena Seneta wa Marekani Jim Risch

    Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amemjibu tena Seneta wa Marekani Jim Risch kupitia mtandao wa X siku ya Jumanne, Februari 3, 2026, baada ya kuomba radhi hapo awali. Mzozo huu wa maneno umeibuka kati ya Uganda na Marekani baada ya Muhoozi kuchapisha na baadaye kufuta...
  10. Wakati Taasisi za Intelejensia Kenya, Marekani na Uingereza zikijikita kuyaimarisha Mataifa yao kiuchumi, huku TISS inapambana CCM ibaki madarakani

    Mashirika ya Ujasusi ya Mataifa ya Rwanda, Kenya, Marekani na Uingereza sasa yanapambana kuyafanya Mataifa yao kama maeneo ya msingi ya kukamata Uchumi wa kikanda na Kidunia. Kwenye vyombo mbalimbali vya habari sasahivi, habari zinazotrend ni namna wakuu wa mashirika ya kujasusi ya Mataifa ya...
  11. Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

    Samia to the World!!!!! Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na Uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS. Ushiriki wa Tanzania katika WGS unaakisi...
  12. Ili utunishiane misuli na marekani lazima uwe nawewe unatengeneza silaha

    Ukweli mchungu watu ambao hawataki kukubali,Marekani inaonea nchi ambazo hazipo technology kwenye silaha,yaan huwezi kushindana kivita na Marekani kwa silaha za kununua. Lakini kama una technology ya kutengeneza silaha kwakwel Marekani atabaki kukuwekea vikwazo tu na sikutaka kukuvamia kama...
  13. Marekani tayari imeshaanza kuishambulia Iran 🇮🇷 Ayatollah sasa Matatani!!!

    BREAKING: Milipuko imeripotiwa kote Iran — angalau miji 7 Tehran, Bandar Abbas, Tabriz, Parand, Qeshm, Nowshahr, Ardabil Kaskazini, kusini, mashariki, magharibi. Yote ndani ya saa chache. Israeli wala Marekani hawajatoa maoni. Kuna machawa wengi wa magaidi wa Iran walikuwa wanasema Marekani...
  14. Mtanganyika usikate tamaa hata huko Marekani kuna watu wasio na makazi wanalala barabarani

    Los Angeles Homeless Crisis: How Fentanyl Is Fueling a Growing Crisis in 2025 | Documentary 2025 fuatilia youtube......
  15. T

    Marekani yakataa msamaha wa Jenerali Muhoozi wa Uganda

    "Kwa mujibu wa Seneta Risch, mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni, Marekani itatathmini upya ushirikiano wake wa kiusalama, unaojumuisha vikwazo na ushirikiano wa kijeshi na Uganda" Seneta wa Marekani Jim Risch, ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya...
  16. Kumbusho wakati wowote Iran anaweza shambuliwa na Marekani

    ⚠️ Ukumbusho Muhimu Kabla ya Kuongezeka kwa Uwezekano wa kipondo kwa Iran ⚠️ Makombora yanaporushwa kuelekea Israeli, kile tunachochapisha mtandaoni kinaweza kuokoa maisha, au kumsaidia adui. Hivi ndivyo kila mtu anapaswa kujua: 🔴 USICHAPISHE video za uzuiaji wa moja kwa moja au athari za moja...
  17. MAREKANI YAALANI TAARIFA ZA RAIA WAKE ALIEKAMATWA NA MABOMU MPAKANI SIRARI KUWEKWA WAZI.

    Lengo la kuileta hii habari sio Ishu ya Marekani kulaani No! Ni jinsi Watanzania hususan wakosoaji wa serikali, wanaharakati na baadhi ya wafuasi wa vyama fulani vya siasa walivyopokea tukio hili kipindi kile. Wengi waliona ni maigizo ya Jeshi la Polisi leo watasema nini?? Ifike mahali baadhi ya...
  18. M

    Marekani wanajenga Base ya kijeshi Kenya!

    Haya Sasa wale wa Who are you na wale wakutaka kuishambulia Kenya ili waweze ku access bahari ya Hindi kazi kwenu. https://youtu.be/PyRCz88qKio?si=efd4OUPBTT9cv64d
  19. Hapa nimeshindwa kumwelewa Putin. Inawezekana kuna Uhuni anatufanyia yeye na Marekani

    Yaani badala ya kusema aongeze ulinzi kukilinda kituo yeye anataka aondoe watu wake kipigwe vizuri? Na hiki ndo kituo pekee kilichobaki kinachofanya kazi baada ya vingine kuharibiwa na Mazayuni na Limarekani. Putin anatusaidiaje sisi watu wake huyu Beberu?
  20. Marekani yaonya yaweza kupeleka ndege za kivita angani mwa Canada ikiwa Ottawa itapunguza ununuzi wa F-35

    Marekani imetoa onyo adimu na la moja kwa moja kwa Canada, ikisema kuwa ndege zake za kivita zinaweza kupelekwa katika anga ya Canada iwapo Ottawa itapunguza au kufuta mpango wake wa kununua ndege 88 za kivita aina ya F-35 (stealth fighter jets). Kwa mujibu wa maafisa wa Marekani, uamuzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…