marekani

  1. JamiiForums Tanzania Wanaijeria wenye uraia wa Marekani wajitokeza kwa wingi kuliko wamarekani wenyewe, baada ya Marekani kutaka kuwa-evacuate raia wake

    Serikali ya Marekani ilitangaza kuwachukua raia wake nchini Nigeria ili kuwarudisha Marekani, kutokana na tishio la Corona VirusKatia zoezi hilo, walikutana na wanaijeria wengi wenye uraia wamarekani kuliko wamarekani wazawa ambao wako Nigeria Zoezi lilisitishwa. Na taratibu zilizowekwa ili mtu...
  2. JamiiForums Tanzania DRC imeingia makubaliano na Marekani pamoja na China ufanyikaji wa majaribio ya kinga ya Corona nchini mwao

    DR Congo 'prepared' to take part in vaccine testing: official The Democratic Republic of Congo is prepared to take part in testing of any future vaccine against the coronavirus, the head of the country's taskforce against the pandemic said on Friday. "We've been chosen to conduct these tests,"...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbe Marekani inaikamua Korea Kusini pesa ya ulinzi kiuonevu

    Kama unadhani Marekani huwa hafurahishwi na makombora ya korea kaskazini basi jua unajidanganya. Makombora ya korea kaskazini yamekuwa ni mtaji mkubwa wa marekani kuishurutisha korea kusini kulipa kiwango kikubwa cha pesa kwa ajili ya ulinzi. Hivi karibuni Ikulu ya marekani imeitaka korea...
  4. JamiiForums Tanzania Hapo Zamani Nchini Marekani.

    Huko mjini Los Angels nchini Marekani, miaka ya 1930, bwana mmoja ambaye hakufahamika jina alionekana akisimamishwa na askari wa usalama barabarani kwa kosa kuendesha kwa kasi kubwa, mkokoteni wake unaovutwa na Mbuni. #History Is Great#
  5. JamiiForums Tanzania Urusi yaisaidia Marekani kupambana na corona

    Wakuu, ni ukweli sasa Marekani imenyoosha mikono juu kufatilia kuongoza kuwa na cases nyingii za wagonjwa wa COVID-19 kuliko nchi yeyote duniani! Hii imepelekea mpaka Trump kumgeukia mhasimu wake wa muda mrefu na hivyo hapa tunavyoongea ndege ya Urusi ya kijeshi aina ya AntonovAN124 upo angani...
  6. JamiiForums Tanzania Kutolewa kwa Mkopo wa Benki ya Dunia kwa Tanzania: Marekani yaeleza msimamo wake

    Marekani (US), nchi ambayo ni mdau muhimu kabisa wa Benki ya Dunia (World Bank) wameonesha dhahiri kutofurahishwa na hatua ya taasisi hiyo ya fedha kuridhia mkopo kwa ajili ya sekta ya elimu Tanzania kutokana na makandokando mengi ambayo serekali yetu bado haijayaweka sawa. Soma waraka wao huu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Marekani: Vifo vya corona vyafikia 4000, watu zaidi ya 900 wamefariki jana pekee

    Hali ya corona yawa mbaya zaidi nchini Marekani. Visa vya maambukizo vilivyothibitishwa vyazidi 180,000. Watu zaidi ya 4,000 wamefariki kwa corona, huku jana (31 March) ikiripotiwa idadi kubwa zaidi ya vifo kwa siku, 912.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa viongozi wa Marekani wanatumia mbinu gani kumwaga madini kwa muda mrefu hivi?

    Namwangalia huyu Gavana Cuomo wa New York kupitia Fox News akimwaga maneno yalipangilika vizuri kuhusu corona kwa muda mrefu sasa, zaidi ya saa moja na zaidi. Ukimwangalia haonekani akisoma popote pale (labda kama sielewi). hakuna blah blah blah, ni madini tupu. Nawakumbuka kina Obama na...
  9. JamiiForums Tanzania Afrika huu ndio wakati wa kuikuta Ulaya na Marekani Kiuchumi

    Afrika tuna bahati kuwa kasi ya kuenea na kufa kwa COVID-19 sio kubwa, tumshukuru kwa hili kwakweli. Sina uhakika kama hii inatokwna na uhodari wetu katika kuupiga vita ugonjwa. Hii ni tunu kutoka kwa MwenyeziMungu wetu. Lakini hatunabudi kuitumia bahati hii kwa kuchapa kazi kwa bidii wakati...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Vifo Vinavyotokana na Magonjwa ya Mafua vs Ugonjwa wa Corona Ulaya & Marekani

    Najua kuna watu wanafatilia sana na kushtuka na idadi ya watu wanaokufa huko Italy kutokana na ugonjwa wa korona. Vifo hivi vimeleta hofu kubwa kiasi kwamba watu kusitisha shughuli zote ili kuzuia maaambukizi. Kwa muktadha huo nimependa watu hasa wa dunia ya tatu kufahamu magonjwa ya mafua na...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Marekani Waiomba China msaada

    CHINA YAKUBALI KUISAIDIA MAREKANI KUPAMBANA NA CORONA China imekubali kutoa msaada kwa Marekani ambayo imethibishwa kuwa na maambukizi mengi zaidi ya virusi vya corona kuliko nchi nyingine duniani, ikiwa na zaidi ya wagonjwa 85, 500 kwa mujibu wa chuo kikuu cha Johns Hopkins, Marekan Source...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani na China zaungana katika kupambana na Corona

    Rais wa China amesema nchi yake na Marekani lazima ziungane kupambana na janga la Corona, huku mawaziri wa fedha wa Umoja wa Ulaya wakitakiwa kufikia mpango wa kuuokoa uchumi wao uliodhoofishwa kutokana na janga hilo. Rais Xi Jinping wa China pia ameitolea wito Marekani kuimarisha uhusiano wa...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani yamfungulia mashtaka Rais Nicolás Maduro wa Venezuela

    The US has charged Venezuela's President Nicolás Maduro and other senior officials in the country with drug trafficking crimes. The move, which will increase tensions between the two nations, was announced by Attorney General William Barr. The US also offered a $15m (£12.5m) reward for any...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Donald Trump asaini amri kuzuia watu kukusanya na kupandisha bei bidhaa zinazohitajika kudhibiti Corona Virus

    President Donald Trump signed an executive order on Monday to prevent hoarding and price gouging of supplies needed to fight the deadly coronavirus, a spokeswoman said. “This sends a strong message - we will not let those hoarding vital supplies & price gougers to harm the health of America in...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tunawashukuru sana Marekani kwa kukikata meno kikosi cha Wasiojulikana!

    Marekani walijua kabisa kwamba kulikuwa na kikosi kilichobatizwa jina la "Wasiojulikana" hapa nchini, kikosi ambacho kilijikita katika kuteka watu na hata kuua. Na Marekani waliona wazi kwamba wahanga wa kikosi hiki cha Wasiojulikana walikuwa ni kutoka vyama vya upinzani pamoja na waandishi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Corona virus: lran imekataa msaada kutoka Marekani

    Kiongozi mkuu wa kidini nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei amesema Iran haitopokea msaada wowote kutoka Marekani, katika kubadili hali ilivyo kutokana na wimbi la maambukizi ya virusi vya corona nchini mwake. Katika taarifa yake hiyo Khamenei alirejea kuizungumzia dhana ya kwamba virusi hivyo...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani ni kinara wa utakatishaji pesa, Jinsi wala rushwa wanavyoharibu demokrasia

    Marekani ndio kichaka kikubwa cha pesa chafu ulimwenguni. Hazina ya Mrekani inakadiria kuwa $ 300bn hutakatishwa kila mwaka, hii ni sehemu ndogo ya namba halisi. Mbaya zaidi, serikali haijui ni nani anayedhibiti kampuni ambazo hutakatsha pesa kwa sababu Marekani haina taasisi inayoshughulikia...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani awakasirisha Wachina kwa kauli ya kunyanyapaa

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Geng Shuang amesikitishwa na kauli iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani alipoita Corona virus "Chinese virus". Kauli hiyo haijawafurahisha kabisa Wachina kwani inaonesha unyanyapaa. ====== Donald Trump has referred to the coronavirus as “the...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kuzuia CORONA Tanzania Ni kuzuia watu kuingia na kutoka nchini

    Ethiopia waligoma kuzuia safari China, Kuna cases 104 mwafrica 1 amekufa, Congo pia. Marekani wameshazuia, sisi haya mambo ya urafiki tuacheni, naiomba serikali nipo chini ya miguu yake wazuie safari zote, huu ugonjwa Ni mbaya. Corona ikija kutuua au kuua ndugu zetu CCM haitapona, nasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…