Katika juhudi za kupamba na mripuko wa #CoronaVirus rais wa Marekani Donald Trump amepiga marufuku wasafiri kutoka Brazil
Afisa habari wa Ikulu ya Kayleigh McEnany amesema kuanzia Mei 28, watu wote wasio raia wa Marekani ambao wamekuwa nchini Brazil katika muda wa siku 14 zilizopita...