marekani

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

    Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania wapenda kusomesha nje ya nchi pelekeni watoto Ufilipino bei rahisi elimu kubwa inatambuliwa Marekani

    Vyuo vikuu vya ufilipino Ada nafuu haizidi dola 2500 kwa mwaka na elimu yao iko juu sana. Marekani na Canada wanaikubali sana
  3. JamiiForums Tanzania Kuelekea kuapishwa Biden kuwa Rais wa Marekani raia na askari hawatambuliki wote wamebeba silaha

    Vikosi vya usalama viko nje ya majengo mbalimbali ya serikali Vikundi vidogo vya waandamanaji - baadhi yao wakiwa na silaha - wamekusanyika nje ya majengo ya serikali ya Marekani, ambapo kuna mvutano mkubwa baada ya jengo la Capitol Hill kuvamiwa huko Washington. Maandamano yanafanyika katika...
  4. H

    JamiiForums Tanzania kampuni ya xiomi inayotengeneza vifaa vya kielekroniki yawekwa blaclist na marekani

    With six days left in office, the Trump administration has decided to put one more Chinese electronics giant in its sights: Xiaomi, the world’s number three phone manufacturer. The US Department of Defense is now designating Xiaomi as a “Chinese Communist military company,” meaning it’s now...
  5. JamiiForums Tanzania Soko la Hisa la Marekani litufumbue kitu Waafrika

    Soko la Hisa la Marekani na baadhi ya nchi zilizoendelea yako very flexible kiasi ambacho kampuni kushuka au kuongezeka net worth ndani ya masaa ni jambo la kawaida sana. Chukulia mfano Corona ilivyoweza kufanya makampuni kama zoom kuinuka kwa kasi na hisa zake kupanda chati kwa kasi, au hivi...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Marekani yalalamika baada ya Uganda kuwanyima idhini wakaguzi wake wa uchaguzi

    Balozi wa Marekani nchini Uganda ameeleza kukatishwa tamaa na hatua ya serikali ya kukataa kuwapatia wasimamizi wao idhini ya kusimamia uchaguzi. Balozi Natalie Brown amesema kuwa zaidi ya asilimia 75 ya maombi ya idhini za ujumbe wa wakaguzi wa Marekani yalikataliwa. Ni watu 15 pekee ndio...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani: Joe Biden aahidi kuirejesha demokrasia

    Rais mteule wa Marekani, Joe Biden anayetajai kuapishwa Januari 20, ameandika kuwa miaka minne ijayo ni miaka ya kuirejesha demokrasia. Ametaja kutakuwa na upya wa siasa ambayo itakuwa inatatua matatizo ya watu na sio kuibua hisia za chuki na ghasia. Aidha ameweka suala la utawala wa sheria...
  8. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yaiita Marekani kuwa ni adui wao mkubwa

    Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un ameliita taifa la Marekani kuwa ni adui yao mkubwa na amezungumza kuwa mipango yao ya nyambizi zenye kutumia nyuklia imeshakamilika Korea Kaskazini inazidi kujiendeleza katika teknolojia ya nyuklia na kuzidisha uwezo wa kushambulia, ambapo wanaona...
  9. JamiiForums Tanzania Trump ataanzisha chama chake na ndio mwisho wa vyama viwili vyenye nguvu Marekani

    Mzuka wanajamvi! Donald Trump ataanzisha chama chake. Kitakuwa na nguvu sana na wafuasi wengi sana na wengi watakihama republican na kujiunga nacho. Kwa mara ya kwanza utakuwa mwisho wa vyama viwili Marekani Republicans na Democrats kiwa na nguvu pekee yao. Uchaguzi wa 2024 Marekani utakuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Iran yazuia uingizaji wa chanjo ya Corona kutoka Marekani na Uingereza kwa kutokuwa na imani na mataifa hayo

    Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amepiga marufuku uingizaji wa chanjo ya Covid-19 kutoka kampuni ya Pfizer ya Marekani na mshirika wake BionTech, sambamba na chanjo ya Uingereza ya Astrazeneca kwa kile alichokitaja kama kukosa imani na mataifa ya Magharibi. Katika hotuba kupitia...
  11. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba amrarua Trump, alipongeza Bunge la Marekani

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI CUF- Chama Cha Wananchi kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya vurugu zilizofanywa na waandamanaji waliovamia Bunge la Marekani kwa Lengo la kulilazimisha Bunge la Marekani kubadilisha Matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa Novemba 3, 2020 yaliyompa Ushindi Joe Biden...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi Marekani wakamata gari lililokuwa na mabomu karibu na jengo la bunge wakati wafuasi wa Trump walipofanya vurugu

    Polisi nchini Marekani wanasema wamekamata gari lililokuwa na mabomu na bunduki likiwa limeegeshwa karibu na jengo la bunge siku ya Jumatano wakati wafuasi wa Rais Donald Trump walipovamia jengo la bunge, mtandao wa CNN umeripoti. Mtu mwingine aliingia ndani ya jengo la bunge akiwa na bunduki...
  13. JamiiForums Tanzania Mnangagwa: Marekani haina Moral right kuadhibu nchi yoyote kwa jina la demokrasia

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amezungumzia vurugu zilizotokea Marekani baada ya wafuasi wa Rais Donald Trump kuvamia jengo la bunge Capitol Hill. Bwana Trump alichochea wafuasi wake kuandamana hadi bungeni ili kuvuruga kikao cha kumuidhinisha Rais mteule kilichokuwa kinaendelea. Rais...
  14. JamiiForums Tanzania Sekeseke la 'impeachment' limeibuka tena! 25th amendment kutumika?

    Habari! Shinikizo jipya sambamba na mashitaka ya kumuondoa madarakani Rais wa Marekani Donald Trump vimeibuka upya na kushika kasi baada ya vurugu zilizozuka hivi karibuni bungeni, Washington DC, ambazo Trump analaumiwa na kushutumiwa kwazo. Huku hayo yakiendelea, kumekuwa pia na mjadala...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa kujaribu kuitingisha misingi ya demokrasia nchini Marekani iliyodumu kwa miaka zaidi ya 300, Trump aliamsha dude!

    Rais Donald Trump wa Marekani amenajisi misingi imara ya demokrasia nchini humu kwa dhana potofu kwamba labda yuko juu ya sheria. Kwa kitendo cha wafuasi wake kuvamia bunge la nchi hiyo kwa nia ya kusimamisha shughuli halali za bunge hilo kama alivyowaamuru, amevuka mstari usiovukwa. Dunia ina...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania ni nzuri kuliko ya Marekani, hapa Rais hawezi kuratibu maandamano ya ghasia

    Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani. Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea? Itoshe tu kusema...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini Waafrika hatukemei uvunjifu wa amani na fujo za Kidemokrasia zinazoendelea sasa Marekani?

    Hivi kinachofanywa na Utawala wa Rais Trump Fujo na Ukatili wa Kidemokrasia huku Kwetu Afrika hatuyaoni? Kwanini tumelinyamazia hili la sasa?
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Marekani umemalizika, tumeona umuhimu wa kujenga taasisi imara sio watu imara

    Uchaguzi wa Marekani umemalizika rasmi leo usiku kwa Rais mteule Joe Biden kuthibitishwa na mabunge yote mawili kuwa rais wa nchi hiyo baada ya rais Trump kwa kipindi cha miezi miwili kuhangaika kupinga matokeo ya uchaguzi huo uliofanyika Novemba mwaka jana. Tulichojifunza zaidi ni jinsi...
  19. JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani lamthibitisha Joe Biden kuwa Rais wa Marekani

    Baada ya kikao kilichochukua muda mrefu, hatimaye Bunge la Congress limemthibitisha Joe Biden kuwa Rais wa Marekani na Kamala Harris kuwa Makamu wa Rais kwa muhula unaotarajiwa kuanza rasmi Januari 20, 2021 kwa kura 306 dhidi ya Donald Trump aliyepata kura 232. Hatua hii inaashiria kukamilika...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam unayaona yanayotekea Marekani?

    Ndugu zangu kheri ya Mwaka mpya? Walimwengu wanafuatilia kwa ukaribu sana uchaguzi wa Marekani na their transfer of power, sasa najiuliza vipi hali hii iliyofanywa na wafuasi wa Trump Jana, ambayo imepelekea watu wa 4 kufariki; ingetokea katika nchi zingine, kama za kiafrika au Latin America...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…