marekani

  1. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Wanaijeria waishio Marekani yanawakera sana Wamarekani weusi wazawa

    Of course habari zao za kesi za kusafirisha madawa ndizo tunazozisikiaga ila amini usiamini hawa ni idadi ndogo sana, ila ni vile tu ndio habari pekee ambazo wengi huzisikia. Aisee hawa viumbe waliotapakaa kila kona ya dunia sio siri wana kitu cha ziada. Huko Marekani Wanaijeria wanafanikiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa Marekani ameweka ujumbe wa Valentine kwenye bustani za White House

    Jill Biden ameweka alama za moyo na katika kila moyo ameandika ujumbe Healing, Courage, Love, Compassion, Gratitude, Peace, Amor, Strength, Kindness, Family, Unity. Love Jill
  3. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani, watoa tahadhari dhidi ya ongezeko kubwa la ugonjwa wa Covid-19

    Chanzo: Tahadhari ya Kiafya - Ongezeko la visa vya COVID-19 | Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meli kubwa ya kivita ya Marekani yatia nanga Mombasa kuimarisha ulinzi katika Pwani ya Mashariki

    Kama namna ya kuonyesha uhusiano wa karibu baina ya Kenya na Marekani, wamefanya kweli kwa kutunisha misuli na kuonyesha makucha kwenye pwani ya Kenya, meli yao kubwa ya kivita inageuza geuza kwenye bandari ya Mombasa. Hii habari najua haitokua nafuu kwa wale huita Wachina ndugu zao wa damu...
  5. JamiiForums Tanzania Hatimaye mfumo wa Iron Dome kuwekwa katika eneo la Ghuba. Mzizi wa fitina kukatwa?

    Habari! Marekani iko mbioni kuutumia mfumo wa ulinzi wa anga wa "Iron Dome" kwenye vituo vya kijeshi katika nchi kadhaa za Ghuba kwa mara ya kwanza. Marekani ilinunua mfumo wa Iron Dome kutoka Israel baada ya makubaliano kati ya nchi hizo mnamo mwaka 2019. Kulingana na ripoti na vyanzo ndani...
  6. JamiiForums Tanzania Mafao na haki za Marais wastaafu wa Marekani ni balaa, wa kwetu hapa cha mtoto

    Reuters) - The impeachment proceeding against Donald Trump on a charge of inciting the Jan. 6 attack on the U.S. Capitol has fueled speculation online that he could lose some of the benefits extended to former presidents. But according to legal experts, under the laws currently in effect, Trump...
  7. JamiiForums Tanzania Mfumo wa mashitaka wa Marekani ni wa ajabu sana, kosa moja dogo unaweza kusomewa mashitaka 20

    Sijajua kama ni Marekani peke yake ama kuna nchi nyingine zina mfumo wa mashitaka wa ajabu namna hii. Kwakuwa Marekani mambo yao mengi yako wazi inakua ni rahisi kujua. Kosa moja dogo kwa Marekani unaweza kusomewa mashitaka 20. Kwa mfano, hapa kwetu ukiua mtu, utasomewa tu shitaka la kuua...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani: Waliobadili jinsia waondolewa marufuku ya kujiunga na Jeshi iliyowekwa na Donald Trump

    Rais Joe Biden ameondoa marufuku iliyowekwa na Donald Trump ya kuwapiga marufuku watu waliobadili jinsia kujiunga na jeshi. Marufuku hiyo ilitangazwa na Bw. Trump mwaka wake wa kwanza akiwa rais wa Marekani. ''Watumishi waliobadili jinsia hawatakabiliwa na uwezekano wa kuondolewa au kutengwa...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Don Nalimison ni raia wa Marekani au Tanzania, vipi maandalizi ya kitabu chake"AMERICAN LAND"

    Kuhusu Uraia wa Don Nalimison na maandalizi ya kitabu chake.
  10. B

    JamiiForums Tanzania BRELA inakimbiza wawekezaji

    BRELA INAKIMBIZA WAWEKEZAJI. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241 Mfumo kama mfumo wa kusajili kampuni ni mzuri na unarespond haraka ila watendaji bado kabisa. Nitatoa mfano na sina shaka kila mdau ambaye anasajili ama amewahi kusajili kampuni au biashara kupitia mfumo mpya wa Brela...
  11. JamiiForums Tanzania CUF: Vikwazo vya Marekani na Uingereza dhidi ya Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA MISIMAMO YA MAREKANI NA UINGEREZA DHIDI YA WATANZANIA KUKANYAGA ARDHI ZA MATAIFA HAYO: CUF- Chama Cha Wananchi kimepokea Matamko ya Mataifa makubwa ya Marekani na Uingereza kwa namna tofauti. Wakati Marekani ikipiga Marufuku Maafisa walioshiriki kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa 2020...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani yaidhinisha Dawa ya VVU ya kutumika mara 1 kwa mwezi badala ya vidonge vya kila siku

    Idara ya Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA), imeidhinisha dawa aina ya "Cabenuva" iliyoundwa dhidi ya virusi vya Ukosefu wa kinga ya mwili (VVU) kutumika mara moja kwa mwezi. Maafisa wa Marekani walitangaza kwamba idara hiyo ya FDA imeidhinisha dawa inayoitwa "Cabenuva", ambayo inaingizwa...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani yapata Waziri wa Ulinzi wa kwanza mweusi

    WASHINGTON – The Senate on Friday confirmed Lloyd Austin as the nation's first Black defense secretary, the second nominee of President Joe Biden to be confirmed by the chamber. Austin is a retired four-star Army general who will be the first Black secretary of defense. He was the first Black...
  14. JamiiForums Tanzania McConnell proposes delaying impeachment trial until February so Trump team can prepare

    (CNN)Senate Minority Leader Mitch McConnell is proposing that the Senate give former President Donald Trump's legal team two weeks to prepare for the upcoming impeachment trial once the Senate receives the article and delay its start until mid-February. McConnell's proposal to Senate Majority...
  15. JamiiForums Tanzania Vikwazo vya Marekani: NEC yasema hatua za kisheria zifuatwe pale panapoonekana pana kasoro

    Wakati Marekani ikitangaza kuweka vikwazo kwa baadhi ya maofisa wa Serikali ya Tanzania kwa madai ya kuvuruga uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imejibu madai hayo ikisema zipo sheria za kufuata kama kuna kasoro. Taarifa ya kusudio la kuweka vikwazo vya visa kwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kiapo cha Rais wa Marekani kina maneno machache (35) tofauti na cha Rais wa Tanzania, siyo lazima kusema "Mungu nisaidie"

    Wiki mbili zilizopita nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mahubiri ya mchungaji Matsai wa KKKT kimara kuhusu viapo. Uelewa wa mahubiri yale ukanivuta kujifunza namna viongozi mbalimbali wanavyokula viapo vyao vya utumishi nikianzia wa hapa nyumbani na jana nilifuatilia kiapo cha Rais Joe Biden wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wahaya wanadai makamu wa Rais Marekani ni damu yao

    Baadhi ya wahaya wanadai na wako serious makamu wa Rais mpya wa Marekani Kamala Harris ni damu yao. Labda utetezi wao ni kutokana na jina lake la kwanza. Ki ukweli Kamala Harris baba yake ni asili ya Jamaica aliyehamia Marekani Donald Harris na mama yake Shyamala Gopalan ni mhindi aliyehamia...
  18. JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tunaosubiri United States Presidential Inauguration!

    Yes wakuu, Muda si mrefu POTUS anachukua kiti chake kimya. Maeneo ya Capitol building naona ulinzi umeimalishwa hatari, naona jet fighters za SANDF na SAA zinapita pita flani kuhakikisha ulinzi. Sijui inaugural ball itakua leo Leo ama?
  19. JamiiForums Tanzania Umebaki muda mfupi tu wa Rais mpya wa Marekani kuapishwa. Balozi wa Marekani Tanzania hatima yake haijulikani

    Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aunga mkono hatua ya Marekani ya kuwawekea vikwazo waliovuruga uchaguzi mkuu wa mwaka jana

    On the last day of the Trump Administration and the eve of the Biden's, the US has sent clear and unmistakeable warning to dictators who stole elections in Tanzania and Uganda: No impunity for your violent and fraudulent actions! And there's more to come! Chanzo: Ukurasa wake wa twitter. PIA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…