marekani

  1. JamiiForums Tanzania Marekani awaomba NATO kuungana dhidi ya China

    Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Anthony Blinken ameufungua mkutano na washirika wa jumuiya ya kujihami ya NATO kwa kuwaomba wanachama wenzake kushirikiana nayo dhidi ya kitisho cha China. Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Anthony Blinken jana ametoa hotuba ya ufunguzi katika siku ya...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani: Kijana akijihami na Polisi, aua watu 10 kwa risasi sokoni

    Mtu mmoja aliyejihami kwa bunduki amewaua watu 10, pamoja na afisa wa polisi, kufuatia makabiliano ya saa kadhaa katika soko la mboga huko Colorado, polisi wa Marekani wanasema. Shambulio hilo huko Boulder lilitamatika wakati mtuhumiwa aliyejeruhiwa, aliyekuwa bila shati alipoondolewa kutoka...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Marekani yaiwekea vikwazo China

    Marekani imetangaza vikwazo vipya dhidi ya maafsaa wawili wa China kwa kile inachodai ni ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya waislam wa Uyghur, Xinjiang. Marekani ilishirikiana na Umoja wa Ulaya, Canada na Uingereza kwenye vikwazo ivyo. Vikwazo ivyo viliwalenga Wang Juzheng na Chen...
  4. JamiiForums Tanzania Yaelezwa Marekani haiwezi tena kushinda vita

    Mchambuzi wa masuala ya kivita Bing West, ambaye ni mstaafu wa Pentagon na chuo cha kijeshi ametoa sababu kwanini Marekani imeshindwa vibaya kwenye vita vyake vitatu katika kipindi cha miaka 50 kwenye nchi za Vietnam, Iraq na Afghanistan. Pamoja na hivyo pia ametoa utabiri kwa uoni wake...
  5. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Marekani atuma salamu za Pongezi kwa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Tanzania

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametuma salamu za pongezi kwa Rais mpya wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ambaye ameandika historia ya kuwa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kamala Harris amesema pia Marekani ipo tayari kushirikiana na Tanzania kuboresha mahusiano baina ya nchi...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani ndio wauzaji wakuu wa silaha duniani na soko lao linazidi kuongezeka

    Marekani imeongeza soko lake la uuzaji wa silaha kwa nchi zingine hadi asilimia 37 katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, kulingana na Taasisi ya Utafiti yenye makao yake nchini Sweden. Kuongezeka kwa kiwango cha uuzaji silaha kwa Marekani, Ufaransa na Ujerumani kulisawazishwa na kupungua...
  7. JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia ripoti ya chimbuko la Corona inayotarajiwa kutolewa wiki hii

    Baada ya subira ya muda mrefu, hatimaye ripoti ya timu ya wataalamu wa Shirika la Afya Duniani, WHO iliyopewa kazi ya kuchunguza chanzo cha maambukizi ya virusi vya corona inatarajiwa kutolewa wiki hii. Ujumbe huo uliwasili Wuhan mwezi Januari kufanya uchunguzi kwa muda wa mwezi mmoja katika...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wamfuatilia Abu Yasir Hassan anayesakwa na Serikali ya Marekani kwa ugaidi Mozambique

    Gazeti la Nation.Africa Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME US sanctions Tanzanian linked to terrorism in Mozambique la nchini Kenya linaripoti habari hii ya mtanzania kuwekwa ktk listi ya mtu hatari, kiongozi wa magaidi na anayefadhili ugaidi katika jimbo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Marekani kuchanja wote kufikia Mei mosi

    Mabibi na mabwana tuna cha kujifunza hapa: Fact Sheet: President Biden to Announce All Americans to be Eligible for Vaccinations by May 1, Puts the Nation on a Path to Get Closer to Normal by July 4th | The White House Habari yenyewe ni kuwa: 1. Marekani kuchanja wote kufikia May 1. 2...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duh! shamba la bibi linaendelea kuchumwa, shehena lakamatwa Marekani lililojaa wadudu kutokea Tanzania

    Wenzetu kwenu huko kila kitu kinachumwa kwa kwenda mbele, vyote hivyo ni dili, inashangaza kizazi cha sasa mnaojiita "walioelimika" bado mnaliwa kama ilivyokua kwa mababu zenu japo sitashangaa maana maprofesa wenu ndio hao wanafuata vikombe vya maji ya tangawizi Madagascar na kutangaza eti...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mama Samia: Mataifa yanajifunza mengi kutoka Tanzania, hata Marekani sasa ina Makamu wa Rais Mwanamke

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amewataka wanawake wa Tanzania kujiamini kwani wanawake ni jeshi kubwa. Mama Samia amesema mataifa mengi huko duniani hujifunza kupitia Tanzania ndio maana hata Marekani sasa ina makamu wa Rais mwanamke na hilo ni jambo jema. Chanzo: TBC Maendeleo hayana vyama!
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ime-deport mzungu mmoja aliyeshiriki vurugu huko Marekani katika Capitol riots ya Jan 6th

    Kuna mzungu mmoja mjinga kwa jina la Isaac Sturgeon alienda kufanya fujo katika Jan 6th capitol insurrection in Washington DC ambapo supporters wa Trump walienda kuzuia Joe Biden kuwa confirmed kama rais wa Marekani. Baada ya kufanya fujo na kushindwa kuzuia Biden kuwa confirmed kama rais mpya...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vya Marekani vyaiondoa Huawei kwenye nafasi ya kwanza hadi ya nne China

    Miaka 3 iliyopita serikali ya Marekani iliiwekea vikwazo vya kiuchumi kampuni ya vifaa vya mawasiliano ya China, Huawei kwa sababu za kiusalama. Vikwazo vilianza kung'ata mwaka jana Huawei ikaamua kuuza kampuni yake tanzu ya Honor ili na yenyewe isije kufa kwa vikwazo vya Marekani. Sasa...
  14. JamiiForums Tanzania Uzembe wako ndio Umasikini wako: Kazi hizi za 'Kichovu' zinalipa mno Ulaya/Marekani- Ila uwe 'Kidume' kweli

    Salaam, Kuna watu huwa wanawaponda sana wenzao waliopo Ng’ambo hasa Ulaya na Marekani wakidai kuwa ni ‘Wabeba Maboksi’ tu na hawana lolote. Kituko ni kuwa ukichunguza haohao wanaoitwa Wabeba Maboksi wengi tu ‘wametoboa’ na sasa wana maisha yao mazuri huko waliko. Mwingine anaweza kunidadisi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Michezo Wasafi FM Maulid Kitenge, Kuzurura kote Ulaya na Marekani bado tu Kiingereza kinakutesa?

    Umeniangusha mno leo ambapo hapo Studioni Kwako ulikuwa na Wageni (Wazungu) Wawili akiwemo Mjerumani Mr. Alvaro ambaye ni Mkufunzi wa Soka la Vijana na Wanawake. Kiingereza chako cha Kumkaribisha Mjerumani Mr. Alvaro kwa Kumwambia ' Welcome Tanzania ' badala ya kusema (Kumwambia) ' Welcome to...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waagiza takwimu za wagonjwa wa korona na chanjo vitolewe

    Ambassador to Tanzania. I want to talk to you about COVID-19, and how we can work together to prevent its spread and help all of us stay safe. Since the start of the Covid-19 pandemic, almost two and a half million people have died of the disease. The loss is staggering, and no country has...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru na rais Biden wa Marekani wapigiana simu na kujadili mambo muhimu kuhusu ukanda huu

    Rais Biden wa Marekani ameanza shughuli za kikazi na kama ilivyo kawaida kwa Marekani, rais mpya lazima aanze kwa kushauriana na viongozi wenye ushawishi mkubwa kwenye kila kanda, hapa kaongea na rais Uhuru ili kuwekana sawa kwenye baadhi ya mambo muhimu yanayoihusu Afrika...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Marekani: Benki zaanza kukataa pesa za wateja wao

    Baadhi ya benki za Marekani ambazo hazitaki tena wateja kuweka akiba Benki zaomba wateja wake kuweka akiba zao kwingineko. Baadhi ya benki tayari zimeanza kukataza wateja wake kuweka pesa zao benki. Wateja wa moja ya benki ya kubwa Marekani ya JPMorgan ndio wa hivi karibuni kukumbana na tukio...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Maji nayo yakatika mkoani Texas, Marekani, wananchi Wachota barafu kwa matumizi

    CBS NEWS Wakati Mbunge Edward Cruz akishutumiwa vikali kwa kujijali mwenyewe na familia yake kwa kuwakimbia wananchi wenye majanga kwenda safari ya mapumziko kisiwani Cancun Mexico maelfu ya wakazi mkoani Texas Marekani wamejikuta hawana maji kufuatia mabadilko makubwa ya tabia nchi. Baadhi...
  20. JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zazindua mpango wa uundaji wa mfumo mpya wa ulinzi wa anga wa Arrow-4

    Habari! Israel imetangaza Alhamisi kuwa inashirikiana na Marekani katika mpango wa uundaji wa mfumo mpya wa ulinzi wa anga dhidi ya makombora ya balistiki unaojulikana kama Arrow-4 ambao unajumuisha kizazi kijacho cha vizuizi (interceptors) ambao utachukua nafasi ya mfumo uliopo wa Arrow-2 kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…